Maambukiz haya yenye kuchukiza hutokea kwasababu ya kukua kwa bakteria aina ya Candida albicans, na ni wa kawaida kabisa, kwani huathiri wanawake 3 katika wanawake 4 katika maisha yao.
Japokuwa maambukizi ya fangasi yanazidi kuongezeka kwa kasi, basi unapoona dalili kama vile muwasho mkubwa, ukiambatana na uchafu mwingi mweupe pamoja na hali ya kuwaka moto, basi usichelewe kimbia haraka maabara au hospitali ukapate vipimo.
Lakini yapo maambukizi mengine yanayofanana na ugonjwa huu na yanayweza kusababisha dalili zenye kufanana na fangasi, lakini matibabu yake ni tofauti.
Leo napenda nikuonyeshe baadhi ya maambukizi haya ili uyafahamu vizuri. Karibu katika makala yetu.
- Kisonono Na Pangusa
Maambukizi ya fangasi yana tabia ya kuzarisha uvimbe, na ndio maana unaona dalili hizo. Kitu chcochote kinachoweza kuonekana kama uvimbe kinaweza kusababisha uvimbe. Magonjwa ya maambukizi ya zinaa kama vile pangusa na kisonono yanaweza kusababisha hali hiyo.
NUKUU: Uchafu wa fangasi sehemu za siri mara nyingi huwa ni mzito tena mweupe, wenye muenekanao kama maziwa na hakuna maambukizi yoyote ambayo hayajirudii kwa asilimia 100%. Lakini watu wakati mwingine wanafikiri kuwa badiriko lolote linalojitokeza kama vile kutokwa uchafu mbaya ukeni huenda ni dalili za fangasi sehemu za siri hata kama ni magonjwa ya zinaa. Ingawa maambukizi ya pangusa na kisonono mara nyingi huwa hayajitokezi kwa dalili, lakini pale yanapoonyesha dalili, basi uchafu mbaya huwa ndio dalili mojawapo. Hivyo hali ya kuwaka moto wakati wa kukojoa inapoonekana, watu wengine wanaweza kufikiria kuwa ni dalili za fangasi.
Magonjwa ya pangusa na kisonono yanapokaa muda mrefu bila kutibiwa yanaweza kusababisha maambukizi katika via vya uzazi(yaani PID), hali ambayo baadaye inaweza kusababisha ugumba. Kwa bahati nzuri magonjwa yote haya mawili yanatibika vizuri endapo kama utafika James Herbal Clinic.
2. Malengelenge (Trichomoniasis)
Kama ulikuwa hujawahi kusikia gonjwa hili la maambukizi ya zinaa, basi unapaswa ulifahamu. Malengelenge ni moja ya magonjwa ya zinaa yanayoonekana mara kwa mara. Watu wengi hawalifahamu vizuri gonjwa hili. Ni ugonjwa mbaya sana japokuwa huwa hausababishi madhara ya muda mrefu au kukaa mwilini mwako kwa muda mrefu. Sio kila mmoja ataendelea na dalili za ugonjwa, lakini wanawake wanaweza kupatwa na dalili za muwasho, kuwaka moto, na uchafu mwepesi kama majimaji, au mweupe, au wanjano, au wakijani kwa mbali.
3. Bakteria Ukeni
Maambukizi haya kusema kweli huwa ni ya kawaida sana kwa wanawake wenye umri wa miaka 15-44. Bakteria wabaya ukeni wanaweza kuwa wengi zaidi kuliko bakteria wazuri. Kama jinsi yalivyo maambukizi ya fangasi, bakteria hawa wabaya wanaweza kusababisha kutokwa na uchafu mbaya ukeni ambao unaweza kuwa wakijivu kwa mbali wenye harufu kama shombo la samaki. Pia kunaweza kuwepo hali ya muwasho na kuwaka moto ukeni. Ingawa ni mbaya hapo awali, lakini habari njema ni kwamba unaweza kuusafisha kwa kuosha na dawa ya sili maeneo ya ukeni.
4. Mizio (Allergies)
Ingawa ni viungo vyenye uwezo, lakini pia sehemu za siri(uke) za mwanamke zina uwezo wa kuhisi. Kama unatumia sabuni, losheni au cream ambayo haikufai, inaweza kukusababishia muwasho na hali ya kuwaka moto kwasababu ya kuvimba kwa maeneo hayo. Vilevile vitu kama vile sabuni zenye manukato sana ambayo hata yakifuliwa kwenye taulo au shuka hayaishi yanaweza kuleta mizio kwenye maeneo yako ya uke. Kusema kweli, hakuna haja ya kusafisha uke kwa kutumia kitu chochote chenye marashi au manukato makali. Uke ni kama kiungo chenye uwezo wa kujisafisha chenyewe.
Je, Suluhisho Lake Ni Nini?
James Herbal Clinic tunazo dawa za asili zenye uwezo mkubwa wa kuondoa maambukizi haya kwa uhakika. Unaweza kutuma namba yako ya WHATSAP tukakuunganisha na darasa letu ili uweze kupata masomo ya afya.
Unahitaji huduma, basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,
Arusha-Mbauda,
Karibu sana!