Mirija Ya Uzazi: Je, Mwanamke Anaweza Kupata Mimba Huku Akiwa Na Mrija Mmoja Tu?

Swali: Una mrija mmoja tu wa uzazi. Je, inawezekana kupata mimba?

Jibu ni ndiyo. Mirija ya uzazi iko miwili ambayo mayai hupitia ili kutoka kwenye kifuko cha mayai (ovary) hadi kwenye mji wa mimba. Kila mwezi wakati wa mzunguko wa hedhi, kifuko kimoja cha mayai(ovary) hutoa yai. Huu ni mchakato unaoitwa ovulation yaani upevushaji mayai. Kisha yai husafiri chini ya moja ya mirija ya uzazi. Yai hilo linaweza kurutubishwa au lisirutubishwe na mbegu za mwanaume. Ikiwa yai litarutubishwa, linahitaji kushikamana na ukuta wa mji wa mimba (uterus) ili kuanza ujauzito.

3,400+ Ovary Fallopian Tube Stock Photos, Pictures & Royalty ...

Unaweza kuwa na mrija mmoja tu wa uzazi ikiwa kama umefanyiwa upasuaji kutokana na maambukizi ya PID au mimba kutunga nje ya kizazi au uvimbe kwenye tumbo la uzazi. Mimba inayotunga nje ya tumbo la uzazi, huwa ni yai lililorutubishwa mabalo hutunga na kuanza kuweka mizizi yake kwenye mrija wa uzazi nalo haliwezi likaishi. Pia, kuwa na mrija mmoja tu kunaweza kuwa kitu ambacho kipo wakati wa kuzaliwa, inawezekana ukazaliwa huku ukiwa na mrija mmoja tu wa uzazi. Lakini bado unaweza kupata mimba huku ukiwa na mrija mmoja tu  ikiwa:

  • Una angalau kifuko(ovary) kimoja cha mayai kinachofanya kazi,
  • Una mzunguko wa kila mwezi
  • Mrija wa uzazi uliobaki ni mzuri

Ikiwa huwezi kupata mimba baada ya kujaribu kushika mimba kwa angalau miezi sita, basi fika katika kituo cha afya onana na daktari wa magonjwa ya wanawake au mtaalamu wa uzazi (endocrinologist). Unaweza pia kuonana na mtaalamu wa afya ikiwa unafahamu masuala ya afya ambayo huathiri mrija wa uzazi mmoja au yote miwili. Mtaalamu wako wa huduma ya afya anaweza kuzungumza nawe kuhusu matibabu ambayo yanaweza kuongeza nafasi zako za ujauzito.

Je, Suluhisho Ni Nini?

James Herbal Clinic tunazo dawa nzuri za asili zenye uwezo mkubwa wa kutatua matatizo ya uzazi kwa wanawake na wanaume pia.

Unahitaji huduma, basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Pia unaweza kubonyeza hapa: wa.me/255752389252 ili kuungana nasi katika darasa letu la masomo ya afya.

Arusha-Mbauda,

Karibu sana!