UJUE UVIMBE WA FIBROID AINA YA SUBSEROSAL. JE, NINI DALILI ZAKE?

Takribani asilimia 33% ya wanawake hupatwa na tatizo la uvimbe kabla hawajafikia umri wa miaka 50. Haijalishi ni watu wengi kiasi gani wanaoathiriwa na tatizo hili, lakini bado inaonyesha tu kuwa watu mbalimbali wamekuwa wakipatwa na uvimbe wa fibroid aina tofautitofauti. Baadhi ya wanawake kamwe hawatambui hata dalili za uvimbe, huku wengine wanalalamika kuona dalili za uvimbe kila siku.

Fibroids: Types, Causes, and Symptoms

NUKUU: Hali ya uvimbe inaweza kutofautiana kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine mwenye vipimo vya uvimbe wa fibroid kutegemeana na aina ya uvimbe ulio nao. Inafaa sana kwako kufahamu ni aina gani ya uvimbe wa fibroid uliyo nayo. Kwa namna hiyo basi, utapaswa upate vipimo na uchunguzi mzuri ili kuweza kubaini kama kweli ni uvimbe wa fibroid aina ya Subserosal ili  uweze kupata matibabu sahihi.

Je, Uvimbe Wa Fibroid Aina Ya Subserosal Unamaanisha Nini?

 

Uvimbe wa fibroid aina ya subserosal huota nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke(uterus). Uvimbe huu unaweza kujipachika mfuko wa uzazi moja kwa moja au bua nyembamba. Ni uvimbe unaoweza kutofautiana katika maeneo mbalimbali, ambayo yanaweza kuonyesha kwanini una uvimbe wa fibroid.

Uvimbe wa fibroid mara nyingi huwa sio kama salatani, na hata hivyo sio wenye kuogofya sana katika maisha yako.

Uterine Fibroids | Her Health Ed.

NUKUU: Hata hivyo, uvimbe wa fibroid aina ya subserosal unaweza kusababisha dalili mbalimbali zinazoweza kukunyima raha katika mwili wako. Kama ukianza kuona dalili za fibroid zinaanza kukunyemelea katika afya ya mwili wako, ni vyema kufika hospitali haraka.

Je, Dalili Za Uvimbe Aina Ya Subserosal Zinakuwaje?

 

Kwasababu ya eneo lake linalokuwa nje ya ukuta wa mfuko wa kizazi, basi uvimbe aina ya subserosal husababisha aina mbalimbali za dalili kuliko uvimbe wa fibroid aina ya intramural na submucosal, ambao wenyewe huota ndani ya ukuta au uwazi wa mfuko wa uzazi. Kwa ujumla, uvimbe aina ya subserosal  una athari kidogo sana katika utendaji kazi wa mfuko au tumbo la uzazi na athari kubwa katika viungo vya uzazi vinavyokuwa jirani na mfuko wa uzazi, kama vile kibofu cha mkojo. Dalili za kawaida za aina hii ya uvimbe huwa kama ifuatavyo:

  • Kuhisi kukojoa mara kwa mara
  • Kuhisi tumbo kujaa sana
  • Kukosa choo au tumbo kuunguruma
  • Maumivu au vichomi katika tumbo la chini
  • Tumbo kuwa kubwa

Ovarian Cysts and Fibroids: What's the Difference? | USA Fibroid Centers

NUKUU: Kusema kweli, kila mwili wa mwanamke uko tofauti, na dalili unazozipata zitategemeana na idadi za vivmbe vilivyoota pamoja na ukubwa wake, pia na mambo mengine.

Ikiwa kama utajihisi kuwa una uvimbe wa fibroid, tafadhali nenda kapate vipimo haraka ili uweze kuanza matibabu mapema.

Je, Una Uvimbe Wa Fibroid Aina Ya Subserosal?

Nipende kukushauri tu kuwa,  ni daktari mtalaamu tu ndiye anaweza kukuambia kuwa una uvimbe wa fibroid aina ya Subserosal. Kupima na kutambua kuwa ni uvimbe wa fibroid aina ya Subserosal, inahitaji atumike daktari bingwa aliyebobea kwa kutumia maarifa ya juu sana katika utabibu. Wataalamu wa eksrei katika vituo vya tiba hasa katika hospitali kubwa zinazohusiana na magonjwa ya uvimbe, hutumia sana moja ya njia zifuatazo za vipimo:

 

  1. Ultrasound

 

Wakati daktari wa eksirei anapotumia kipimo cha ultrasound ili kuchunguza tumbo lako la uzazi, mashine hutengeneza picha kwa kutumia sauti ya mawimbi. Lazima wapitishe kifaa juu ya tumbo lako au kukiingiza ndani ya uke wako.

Your Guide to a Career in Diagnostic Medical Sonography – International  Education Consultants | Study Abrod | Lagos, Nigeria

Unaweza ukaona hapo juu jinsi daktari anavyoweza kuchunguza uvimbe huo kwa njia ya Ultrasound.

 

  1. Kipimo Cha MRI(Magnetic Resonance Imaging)

 

Kipimo cha MRI hutumia mionzi na mawimbi ya radio ili kutengeneza picha ya mfuko wako wa uzazi(uterus). Unaweza ukahitaji kipimo cha MRI ikiwa kama kipimo cha Ultrasound hakitoi picha ya kuridhisha.

Envision awarded full MRI Licence - Envision

NUKUU: Endapo kama ukipokea utambuzi mzuri, basi James Herbal Clinic tunaweza kukusaidia kuondoa tatizo hilo kwa kutumia tiba zetu za asili.

Je, Waweza Kuishi Kwa Raha Huku Ukiwa Na Uvimbe Wa Subserosal?

 

Kuishi na dalili za uvimbe wa fibroid aina ya subserosal  kunaweza kuwa ni vigumu sana, lakini kuna tumaini kubwa pia. James Herbal Clinic tuna dawa nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa uvimbe wa fibroid, nazo ni REDEEMER, FRESH HERB na VITAMAKA.

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626.

 

Arusha-Mbauda

 

James Herbal Clinic pia tunatoa masomo ya afya bure katika GROUP letu kwa njia ya mtandao wa TELEGRAM. Unaweza ukatuma namba yako ya WHATSSAP tukakupatia link yetu ukaweza kuungana nasi katika kujifunza maswala juu ya afya na pia utapata ushauri bure.

 

Karibuni sana!

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *