Unataka Kupata Mimba, Basi Tambua Kusoma Kalenda Ya Mzunguko Wako Wa Hedhi.

Wanawake wengi  wamekuwa wakiniuliza maswali mengi sana kuhusiana na jinsi ya mwanamke kupata mimba au kuzuia kutopata mimba. Naamini maelezo yafuatayo ukisoma kwa makini unaweza kupata ufahamu na kujibiwa maswali yako yote ambayo yamekuwa yanakutatiza.


NUKUU: Pia ni vizuri kuzingatia na kutochanganya Kalenda ya mzunguko wa hedhi tunayoongelea hapa na ile ‘kalenda ya mwaka’ inayohusu tarehe za miezi 12 ya mwaka ambayo huwa tunaitundika ukutani huko nyumbani na maofisini kwetu!

Wanawake wamegawanyika katika makundi makubwa 4 linapokuja suala la siku za hedhi

  • Mzunguko mfupi yaani siku 22
  • Mzunguko wa kati yaani siku 28
  • Mzunguko mrefu yaani siku 35
  • Na mzunguko usio wa kawaida yaani siku 15

Kama mwanamke ana mzunguko wa hedhi wa siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za mzunguko wa hedhi kama hapa chini:

1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, (8), 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22.

Kisha ahesabu kuanzia ile siku ya 22  kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.

Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye siku ya (8)  ya kalenda yake. Hivyo siku ya (8) ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana mzunguko wa hedhi wa siku 22.

Akumbuke kwamba siku ya 1 ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

Siku ya 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, (15), 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28.

Kisha ahesabu kuanzia ile siku ya 28 kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.

Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye siku ya 14.

Inamaana kwamba siku ya 14 ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana mzunguko wa hedhi wa siku 28.

Akumbuke kwamba siku ya 1 ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

Kama mwanamke ana mzunguko wa hedhi wa siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote mzunguko wa hedhi kama hapa chini:

1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, (21), 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30, 31, 32, 33, 34, 35.

Kisha ahesabu kuanzia ile siku ya 35 kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.

Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye siku ya (21).

Inamaana kwamba siku ya  (21) ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye anamzunguko wa hedhi ya siku 35.

Akumbuke kwamba siku ya  1 ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

Kama mwanamke ana mzunguko wa hedhi usiokuwa wa kawaida wa siku  15, basi kuna uwezekanano wa kutopata mimba kabisa kama inavyoonyesha hapa chini:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za mzunguko wa hedhi kama kawaida:

Siku ya (1), 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15.

Kisha ahesabu kuanzia ile siku ya 15 kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.

Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye siku ya  (1).

Inamaana kwamba, siku ya (1) ya kuingia kwake hedhini ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana mzunguko wa hedhi wa siku   15.

Akumbuke kwamba siku ya  (1) ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa kundi hili anaweza kupata mimba!

Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa.

NUKUU: Mwanamke wa aina hii anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linakuwa tayari kurutubishwa.

Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au kuhisi ule ute mweupe mwepesi kama yai la kuku ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa kurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza kutokwa damu ya hedhi. Pia wanawake wa kundi hili huwa wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!

Je, Ufanye Nini Ili Uzae Mtoto Wa KIUME?

Ili mwanamke aweze kuzaa mtoto wa KIUME, inabidi alale na mwanaume siku ile ya mimba ambayo ni siku ya 15.

Je, Ufanye Nini li Uzae Mtoto Wa KIKE?

Ili mwanamke aweze kuzaa mtoto wa KIKE, inabidi alale na mwanaume siku 3 kabla ya ile siku ya mimba (yaani siku 3 kabla ya ile fertile day)

Hii inaondoa uwezekano wa mbegu za kiume kulirutubisha yai, kwani mbegu zote za kiume zitakuwa zimeshakufa ndani ya siku mbili za mwanzo na kuziacha zile za kike zikidunda kwa siku moja zaidi zikilisubili yai lifike!

Je, Kama mzunguko wako wa hedhi ni siku 15, Je, ufanye nini ili nipate mtoto wa kike?

Ili mwanamke mwenye mzunguko wa hedhi wa siku 15 aweze kuzaa mtoto wa KIKE, inabidi alale na mwanaume siku 3 kabla ya siku ile ya bleed (yaani siku 3 kabla ya ile siku anayoanza kutokwa damu ya hedhi)!

Kwa mwanamke wa kundi hili inabidi tukumbuke kwamba, siku yake ya mimba ndiyo siku hiyo hiyo anayoanza ku-bleed!

Je, Nini Suluhisho Kwa Wagumba?

James Herbal Clinic tunazo dawa nzuri za asili zenye uwezo mkubwa wa kuondoa tatizo la ugumba au utasa. Pia unaweza kutuna namba yako ya WHATSAP ili tukuunganishe na darasa letu la masomo ya afya.

Je, unahitaji huduma? Basi, wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibu sana!

 

3 thoughts on “Unataka Kupata Mimba, Basi Tambua Kusoma Kalenda Ya Mzunguko Wako Wa Hedhi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *