Je, Nini Cha Kufanya?
Zaidi ya asilimia 90% ya magonjwa yanatokana na mapungufu ya lishe.
“Chakula ni dawa yako, na dawa yako ni chakula chako.” Ni aina gani ya lishe/vitamin tunayohitaji katika maisha yetu ya kila siku ili kutufanya tuweze kuishi maisha marefu, kujisikia kijana au kuonekana mtu mkubwa? Hebu soma maelezo katika makala hii.
Ungependa kujisikia vipi kila siku? Amka kila siku asubuhi na ujisikie mwenye nguvu! Vipi kuhusu kupunguza uzito? Au kuwa na nguvu nyingi? Matatizo yote watu wanayapata hutokana na kuongezeka kwa uzito wa mwili. Mwili hauhitaji kuwa na uzito mkubwa zaidi. Punguza uzito na matatizo ya mwili wako! Inaonyesha kwamba zaidi ya asilimia 90% ya magonjwa yote, mbali na maambukizi na ajari hutokana na mapungufu ya virutubisho katika chakula.
Sehemu ya kusikitisha katika maisha yetu ni kwamba tunashindwa kujali milo yetu na kuifanya kuwa kama tiba za kuweza kutibu na kuzuia magonjwa, na matokeo yake miili yetu inapungukiwa na virutubisho muhimu. Itakuwa sababu nzuri ya kutumia pesa yako mwenyewe, kwa kuongeza lishe yako na kujizuia kumpa pesa mtu mwingine yeyote kwa baadaye kama vile daktari.
Nini maana ya afya njema?
Afya njema sio kwamba kutokuwa na magonjwa tu, bali pia ni pale unapoamka asubuhi na kujisikia mwili uko vizuri na una nguvu ambayo inaweza kukusaidia ufanikishe chochote unachotaka kila siku, kuwa na nywele nzuri zenye kung’ara, macho yenye uwezo wa kuona vizuri, ngozi laini, nk. Je, yaweza kuwa unasumbuliwa na matatizo kama haya? Au unapambana na aina ya magonjwa kadha wa kadha? Au unajisikia mara kwa mara mchovu kila kunapokucha asubuhi? Je, una changamoto zozote za afya? Unapaswa uchunguze lishe yako; jibu litakuwa kwenye chakula unachokula kila siku pamoja na mitindo ya maisha yako uliyochagua.
Kuna kiwango cha lishe ambacho kinahitajika katika mwili kila siku ili kukufanya uweze kufanya kazi vizuri. Ikiwa kama chakula chochote unachokula hakiupatii mwili wako lishe nzuri, kutakuwa na nafasi ambayo inahitaji kuzibwa. Uzibaji wa nafasi hii ndio tunayoitaja kijazirishio.
Je, sio vyema kutafuta njia ya kutuwezesha kuishi maisha ya muda mrefu, miaka 100 au zaidi, japokuwa wote tunajua kuwa ipo siku tutakufa? Je ni aina gani ya kijazirishio au vitamini au madini tunayohitaji katika maisha yetu ya kila siku ili kutuwezesha kuishi maisha marefu, kuonekana kijana badala ya mzee, na kuwa mwenye nguvu?
Je, nini kinachotufanya tuzeheke mapema au wanaume kupungukiwa na nguvu za kiume? Uzee huanza pindi mwili unaposhindwa kabisa kujikarabati wenyewe au kurudishia seli zilizochakaa mara tu zinapokufa? Mwili wa mwanadamu una seli trililioni 73. Seli hizi zinapokufa haraka kuliko mwili unavyoweza kuzirudishia, ndipo tunaanza kuzeheka. Lakini kama tungeweza kupunguza mlolongo wa kufa na kuchakaa kwa seli, tungeweza kuishi maisha marefu.
Kwahiyo, nini kinachofanya seli zife? Asilimia 50% ya utando wa seli una mafuta mafuta. Ni vigumu kupata mafuta mafuta ya kutosha kutoka katika vyakula vyetu tunavyotumia kama vile ugali wa sembe, mikate myeupe, chipsi, juisi za viwandani, nyama wa ng’ombe wa kisasa, kuku wa kisasa au samaki wa kufuga, nk. Upungufu wa mafuta mafuta haya huzifanya kuta za seli kuanza kuwa ngumu, namna ambayo huingiliana na kazi za kikemia katika mwili. Kuta za seli huanza kuwa ngumu na kuufanya utendaji kazi wake kuwa mbaya na kushindwa kufanya kazi vizuri.
Kinachofuata baadae huwa ni mkusanyiko mdogo mdogo wa vitu vichafu ndani ya seli na tishu ambao hupunguza utendaji kazi wa viungo vya mwili na kuharibu mfumo wa mwili mzima. Dhumuni la kula chakula kizuri ni kwa ajili ya kupata lishe au virutubishi ziweze kuingia ndani ya seli na zibadirishwe kuwa nishati ili kuupa mwili nguvu. Katika namna ya ubadirishaji, huwa kuna vitu vichafu ambavyo hutolewa nje.
Wakati uchafu unapotolewa hushindwa kuondoshwa, ndipo seli huanza kuugua na hatimaye kufa. Ikiwa kama kwa upande mwingine seli zinaweza kupokea lishe na kuondoa uchafu, ndipo huweza kuishi kwa muda mrefu. Na kadiri seli zinavyoishi kwa muda mrefu, ndipo nasi tunakuwa na uwezo wa kuishi kwa muda mrefu.
JAMES HERBAL CLINIC ina bidhaa zenye mafuta mafuta mazuri pamoja na vitamini, madini na lishe zingine ambazo ziko katika unga lishe mzuri unaoitwa NUTRI-REDEEMER. Ni faida gani unayoweza kupata unapoanza kutumia unga bora huu katika maisha yako ya kila siku? Sikiliza, kwanza kabisa:
- Utaamka asubuhi mwili wako ukiwa na nguvu kuliko ilivyokuwa mwanzo,
- Maumivu kwenye viunganishi vya mifupa hutoweka,
- Presha ya kupanda hutoweka
- Nywele huzidi kuchipuka kuwa nzuri bila mvi
- Ngozi ya mwili kuwa nyororo na kuwa kama kijana,
- Makucha kuwa mazuri, nk
Hayo ndio matokeo utakayoyapata baada ya kutumia unga bora wa NUTRI-REDEEMER katika maisha yako ya kila siku. Pia bonyeza link hii: Zijue Faida Za Unga Lishe Wa NUTRI-REDEEMER
Je, unahitaji unga mzuri huu kwa ajili ya kuwa na afya njema? Kumbuka kwa asilimia 50% ya seli zako zimetengenezwa kwa mafuta mafuta. Kuna vitu vingine ambavyo huzifanya seli kuwa zenye afya. Kitu cha kwanza ni protini. Protini hufanya kazi muhimu kiasi kwamba wanga na mafuta haviwezi kufanya. Protini inafaa sana kwa kukuza mwili, kutengeneza na kukarabati tishu za mwili. Ni kiambato(ingredient) cha seli zetu. Inarudishia seli mpya baada ya seli kufa. Tunahitaji ptotini bora. Na unaweza kupata protini hizi kutoka katika unga safi huu wa NUTRI-REDEEMER. Unga lishe huu hutoa kiwango kizuri cha protini ambacho miili yetu huhitaji, na hivyo kuusaidia mwili kuumba seli zenye afya. Na unapokuwa na seli zenye afya unakuwa na uwezo wa kuishi muda mrefu. Kumbuka kwamba protini chache ukijumlisha na kiasi kikubwa cha wanga husababisha matatizo ya homoni (homone imbalance) ambayo huanzisha hatua ya kuongeza:
- Uzito wa mwili
- Shinikizo la juu la damu (high blood pressure),
- Ugonjwa wa kisukari, na
- Magonjwa ya moyo
Kwahiyo kama ukipata mchanganyiko wa kiwango kizuri cha protini na wanga bila shaka utakuwa na seli zenye afya. Kila mmoja hujisikia vizuri sana anapokuwa na seli zenye afya nzuri.
Kitu Kingine Ni Mazoezi
Tunahitaji kufanya mazoezi kwa ajili ya kujenga misuli iliyolegea. Hali hii husaidia kuongeza uchomaji wa mafuta mwilini.
Je, Kuna Kitu Gani Unapata Unapotumia NUTRI-REDEEMER?
JAMES HERBAL CLINIC tuna njia na utaratibu pekee wa kuandaa mchanganyiko wa vyakula asili ili kutengeneza unga lishe bora na kuwa na wingi wa Protini iliyo safi. Mwili una mambo mengi sana ya kujilinda, kwanini uupatie kazi nyingi wakati unaweza kupata virutubishi safi kutoka kwenye unga bora wa Nutri-Redeemer.
Kuna mambo mengine tunahitaji kufanya kwa ajili ya seli zetu. Tunahitaji kuzilinda zisipatwe na viini melea. Viini melea ni vishambulizi, bakteria, sumu, na vitu vinavyoingia mwilini na kushambulia seli zetu kila siku kwa lengo la kuzishinda na kuziua.
Kwahiyo tunatambua kuwa kuishi kwetu kwa muda mrefu hutegemeana na jinsi seli zetu zinavyokuwa na afya, hakuna kipingamizi kuwa tunahitaji kulisha miili yetu, kukarabati na kurudishia seli zilizochakaa kutokana na matumizi ya vyakula vibaya, vinywaji vibaya, mazingira mabaya ya kuishi, moshi wa magari au sigara au viwanda, nk!
Protini husaidia kuzuia magonjwa ya moyo, kisukari, mafuta mengi kwenye damu, nk. Pia unahitaji kulinda seli zako zisije kushambuliwa na magonjwa(yaani magonjwa nyemelezi), na kujenga ngome inayozunguka seli zako kwa kutumia NUTRI-REDEEMER.
Kumbuka tunazungumzia kuongeza nguvu za mfumo kinga wa mwili. Ili kufanya hivi, NUTRI-REDEEMER hutoa maaskari wa kushambulia kwa niaba yako. Ikiwa kama hutaki kuikosa siku kutokana na ugonjwa au kuifanya hospitali kuwa kama sehemu yako ya pili kwa ajili ya kuishi, kwahiyo zuia magonjwa kwa uhakika kabisa kupitia unga mzuri wa lishe wa NUTRI-REDEEMER. Hivyo unaweza ukaagiza dozen ya unga huu kwa siku ya leo, na uache familia yako ifurahie faida za NUTRI-REDEEMER.
Kuna magonjwa mengi sana yanayowapata watu katika kipindi chetu leo. Watu wengi wana magonjwa mabaya zaidi ya matatu kwa wakati mmoja kama vile kisukari, matatizo ya macho, na kuishiwa nguvu za kiume. Wengine wanapatwa na magonjwa ya mshituko wa moyo na bado wanaendelea kuishi kila siku kwa kutumia vidonge vya mahospitalini vyenye kemikali huku wengine wakisumbuliwa na matatizo ya mfumo wa umeng’enyaji chakula kwa kukosa choo au kupatwa na vidonda vya tumbo, nk, kila siku wanakula lakini hawapati choo vizuri mpaka pale wanapopata matunda kwa wingi. Baadhi ya watu wanaona kuwa ni vigumu kupata usingizi wakati wa kulala usiku, hali ambayo huwaongezea msongo wa mawazo kila siku.
Kitu kingine kinachosaidia kuharibu afya ni pesa. Msongo wa mawazo kutokana na kuwa na kipato kidogo cha pesa ili kukidhi mahitaji mengi pia husababisha kuongeza matatizo ya afya ya mwili. Mazingira sio kitu kinachoweza kukusaidia, kama ilivyo katika karne yetu hii, wengi wetu tunaishi kila siku kwa kutegemea maji machafu, moshi tunaovuta kutokana na magari au wavutaji sigara, viwanda na kwenye majiko yetu pia. Vyakula tunavyokula leo vina wingi wa sumu na kemikali zitokanazo na madawa ya kuhifadhia vyakula ili viweze kudumu muda mrefu ili visiharibike. Mambo yote haya yanapunguza thamani ya afya zetu.
Wengine wanaofikiri kuwa wana pesa, wanakula kwa wingi vyakula vilivyosindikwa na hivyo kuharibu afya zao. Unategemea nini kwa mtu anayefanya mashindano kwa kiasi cha chupa za pombe nyama za kitimoto anazoweza kutumia? Unategemea nini unapokula kila siku nyama nyekundu kwa kila mlo? Unapokula kila siku aina hii ya chakula, jiandae kupata magonjwa makubwa kama vile kisukari, shinikizo la damu, kiharusi, matatizo ya figo, nk.
Kadiri unavyokula nyama nyingi nyekundu, ndivyo unavyohitaji kunywa pombe kwa wingi. Katika kuharakisha kufikia malengo hakuna nafasi ya kupumuzika wala kufanya mazoezi ya mwili, ambayo yatasababisha kuwa na mwili mkubwa. Kama hali hii inatokea itakufanya kupatwa na matatizo yote yanayoendana na uzito kama vile;
- Maumivu ya viunganishi vya mifupa (arthritis),
- Shinikizo la damu
- Saratani
- Ugumba na magonjwa mengine.
Mazoea ya kutumia vitu vingi vibaya haifai katika afya zetu. Punguza matumizi ya chumvi hasa za paketi, kwani chumvi nyingi inaweza kusababisha mkusanyiko wa majamaji kwenye tishu, ambayo inaweza kusababisha:
- Magonjwa ya moyo
- Moyo kushindwa kufanya kazi,
- Magonjwa ya figo,
- Matatizo ya hedhi,
Uchunguzi unaonyesha kwamba wanawake wengi kwenye nichi mbalimbali kama vile Nigeria wanaishi kwa muda wa miaka 46 tu wanazeheka, na wanaume miaka 47 tu wanaishiwa nguvu na kuwa kama wazee. Unaweza kusema huenda ni uongo lakini matangazo kwenye luninga na kwenye magazeti kuhusu vifo vya watu vitakudhihilishia jinsi mzunguko wa maisha unavyokuwa mfupi kuliko mwanzo.
Je, tufanyeje? Unaweza kugundua maelezo mafupi yatakayokupa msaada ambayo yanaweza kukuwezesha kuishi maisha marefu kwa msaada wa Mungu.
Zitii kanuni za afya ili uishi maisha marefu. Ibrahimu aliishi miaka 930 kwa kutumia matunda, mboga za majani, vyakula vya nafaka na karanga. Ni wangapi leo wanaokula kama alivyokuwa anakula Ibrahimu? Wengi wetu tunatumia vyakula vyenye makemikali badala ya vyakula vya asili. Matokeo yake ni kupatwa na magonjwa mengi ambayo hayatibiki hata kwa madawa ya hospitalini. Je, ni wachache tu ndio wanaofahamu kwamba baadhi ya magonjwa haya hutokana na upungufu wa vitamini, nafaka, mboga za majani, nk.?
Hebu sikiliza ushuhuda huu ambao nimeuona mimi kwa macho yangu: “Nikiwa mwanza, mama mmoja alikuwa akitumia uzazi wa mpango na alipoamua kusitisha matumizi hayo, hakuona vipindi vya hedhi tena kwa muda wa miaka 12, lakini baada ya kutumia tiba zetu pamoja na unga wetu wa NUTRI-REDEEMER kwa muda wa wiki 3, alianza kuona hedhi.
Lakini kabla ya yote, baadhi ya wanafamilia wa huyu mama walikuwa wakitumia miwani ili kurahisisha usomaji. Walikuwa ni watu wenye elimu za juu lakini kamwe hawakufahamu kuwa mfumo wao maisha katika ulaji ndio ilikuwa chanzo kikubwa cha matatizo ya macho. Walipoanza kutumia NUTRI-REDEEMER, kila mmoja aliacha kuvaa miwani. Kama unavyofahamu vizuri kwa watu matajiri wanavyokula vyakula vingi vizuri vya aina mbalimbali, lakini sio vyenye lishe ya kutosha kuweza kuwapatia uwezo wa kurutubisha mifumo ya macho yao. Ugali wa sembe, nyama nyekundu, maziwa ya kusidnikwa, maandazi, chipsi, vinywaji vya viwandani, sukari kwenye chai, chumvi nyeupe za paketi, mikate myeupe, keki, nk, haviwezi kuboresha mfumo wa macho zaidi ya kuuharibu.
Mama mwingine alikuwa Dar es Salaam, alikuwa na umri wa miaka 36, naye aliwahikupata mtoto mmoja tu na baada ya hapo hakufanikiwa kupata mtoto mwingine tena kwa muda wa miaka 9. Lakini baada ya kusikia shuhuda juu ya tiba tiba na unga wetu wa NUTRI-REDEEMER, kutoka kwa watu mbalimbali waliowahikutumia tiba zetu, ndipo akaamua kutumia unga wetu pamoja na tiba zetu. Baada ya mwezi mmoja mama huyu alipata ujauzito. Hakuweza kuamini kama kweli alikuwa na mtoto tumboni mwake mpaka alipojifungua. Aliendelea kutumia uji mzuri wa unga wa NUTRI-REDEEMER ili kujenga mfumo wa homoni za uzazi na hii ndio sababu wanawake wengi leo hawali matunda ya kutosha, wala mboga za majani za kutosha, wala nafaka za kutosha, badala yake wanakula chips kwa wingi, mikate na maandazi, vinjwaji vya viwandani na ndio maana homoni zinapotea.
Magonjwa mengi leo yanasababishwa na mapungufu ya virutubishi mwilini kama vile mvurugiko wa homoni (hormonal imbalance), kupungukiwa nguvu za kiume, mbegu za mwanaume kuwa nyepesi, nk. Unahitaji kurejesha virutubishi, basi tumia unga lishe wa NUTRI-REDEEMER kwa wingi na utapata uponyaji wa haraka tu. Labda nikupe ushuhuda mwingine, “Watu fulani walikuwa wakitumia vidonge vya hospitali ili kutibu matatizo ya moyo, nao hawakubadiri mfumo wa ulaji wao nyumbani; hali hii iliwafanya washindwe kupona haraka. Baadaye walianza kutumia unga wetu pamoja na tiba zetu na wakabadiri mfumo wao wa ulaji kwa kutumia vyakula vya asili. Hivi leo ni wazima kabisa na hawatumii madawa ya hospitali tena!
Mtoto fulani kutoka Geita alikuwa mdogo mwenye umri wa miaka 6, alisumbuliwa na ugonjwa wa kuishiwa damu mara kwa mara, lakini baada ya kuanza kutumia uji wa unga wa NUTRI-REDEEMER pamoja CARD HERB, hivi sasa mtoto huyo ni mzima.
Je, ni hali gani tunayoiona katika jamii leo? Hebu angali katika vituo vya afya hivi leo? Watu wengi wanakufa kutokana na magonjwa ya salatani, moyo, kisukari, kiharusi, nk.
Magonjwa haya yote yanaepukika. Ugonjwa wa moyo unaua mamilioni ya watu kila mwaka. Wengi wetu tunanyemelewa na magonjwa mabaya. Kama hatupendi kufa angali tukiwa vijana; tunahitaji kufanya uchunguzi zaidi juu ya magonjwa haya, hivyo tutakuwa tayari kuelewa jinsi gani tunavyoweza kuyashinda.
Ugonjwa wa moyo ni hatari. Lakini ukoje?Sio ugonjwa unaoweza kuutambua kama unavyoona matatizo ya homa au baridi. Ni ugonjwa unaoua. Vyakula vibaya husababisha mkusanyiko wa mafuta machafu, ambayo hugandamana kwenye mishipa yako ya ateri, huzuia mtiririko wa hewa ya oksijeni na lishe na hivyo kushindwa kuingia kwenye misuli ya moyo wako. Wakati mishipa yako inapojawa na uchafu kwenye kuta zake, ndipo hujitokeza ugonjwa wa moyo.
Salatani ni ugonjwa unaogopeka na hutibiwa kwa gharama kubwa kuliko magonjwa yote hivi leo hapa duniani. Wengi wanatumia mamilioni ya pesa ili kutibu wagonjwa wao. Ijapokuwa imewezekana kutibiwa ugonjwa huu, lakini umeongezeka asilimia 44% tangu mwaka 1950. Salatani ya matiti imefikia asilimia 600% na salatani ya kibofu cha mkojo asilimia 100%. Katika kiwango hiki, ugonjwa wa salatani sio muda mrefu utazidi kiwango cha ugonjwa wa moyo ambao ndio kisababishi namba 1 cha vifo vya watu duniani.
Kwa upande wa wanawake, ugonjwa unaoogopeka hasa ni salatani ya matiti. Mnamo mwaka 1950, katika wanawake 20 ni mwanamke mmoja tu ndiye aliweza kupatwa na salatani ya matiti. Hivi sasa ni mtu mmoja tu kati ya watu wanane ndiye anaweza kupatwa na salatani ya matiti. Ni asilimia 18% tu ya wanawake waliopimwa salatani ya matiti ndio watakao weza kuishi angalau kwa muda wa miaka mitano. Kama salatani inakuwa ugonjwa wa kuogopeka hivi, bila shaka kila mmoja wetu ataweza kuelewa na kutambua athari zake. Wengi wetu hufikiri kuwa salatani ni kitu ambacho kiko kwenye chimbuko lako: baadhi ya familia huupata ugonjwa wa salatani, lakini wengine hawaupati. Lakini hii sivyo. Ni asilimia 20% tu ya ugonjwa wa salatani ndio huwa wa kurithi. Wengine hupatwa na ugonjwa huu kutokana na mapungufu ya lishe mwilini. Wengi wetu tunatiwa hofu na ugonjwa wa salatani bila kutambua kuwa kiharusi huua wanawake wengi zaidi kuliko salatani ya matiti, na wanaume wengi kuliko salatani ya kibofu cha mkojo.
Vipi kuhusu kiharusi? Magonjwa mengi ya kiharusi husababishwa na tatizo la aina moja ambalo husababisha shambulio la moyo(heart attack). Mishipa ya ateri inayokuwa kwenye ubongo huwa migumu na kujawa na uchafu kwenye kuta zake, hatimaye huziba na kuzuia mtiririko wa damu na kushindwa kuingia katika sehemu muhimu za ubongo na kusababisha shambulio la moyo.
Ugonjwa wa kiharusi ndio kisababishi cha kwanza cha ulemavu leo!
Tukio la ugonjwa wa kisukari limepanda na kufikia asilimia 600%. Mmoja kati ya watu 20 anaweza kuwa na ugonjwa wa kisukari. Ni ugonjwa unaotisha katika afya zetu. Kadiri unavyoishi kwa muda mrefu ndivyo hatimaye utakapopata nafasi ya kupatwa na ugonjwa huu. Huhitaji kuukaribia sana ugonjwa wa kisukari. Unaua taratibu, hadi mtu anapoteza uhai wake. Nipende kukushauri kuanzia sasa, achana na matumizi ya chai, badala yake, tumia uji wa unga lishe wa NUTRI-REDEEMER ili ujenge mfumo kinga thabiti wa mwili wako na kujiepusha na magonjwa hatarishi kama niliyoyataja hapo juu.
Mungu akubariki sana!
Je, unahitaji huduma? Basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,
Pia tembelea darasa letu la masomo ya afya, bonyeza link hii: wa.me/255752389252
Arusha-Mbauda,
Karibu sana!