Shambulio La Moyo
Shambulio la moyo hutokea wakati moyo unaposhindwa kusukuma damu na oksijeni ya kutosha ili kusaidia viungo vingine katika mwili wako. Shambulio la moyo ni hali mbaya, lakini haimaanishi kwamba moyo umeacha kududunda.
Kwa mujibu wa takwimu za sasa zinaonyesha kuwa karibia watu milioni 64.7 wanaugua ugonjwa wa shambulio la moyo duniani kote ambapo watu milioni 6.7 wanapatikana Marekani na inagharimu bilioni 30.6 kwa ajili ya matibabu.
Kazi ya moyo
Moyo wako husukuma damu ili kubeba oksijeni na virutubisho kwa ajili ya mwili wako wote. Shambulio la moyo ni wakati moyo wako unaposhindwa kusuka damu kama inavyopaswa. Haimaanishi moyo wako umesimama.
- Unapokuwa na shambulio la moyo, moyo wako husukuma damu kidogo
- Kiasi kwamba husababisha majimaji kujaa kwenye mapafu na sehemu zingine za mwili
- Majimaji mengi kwenye mapafu hukufanya ushindwe kupumua
- Majimaji mengi kwenye miguu huifanya kuvimba
- Kama figo zako hazipati damu ya kutosha, hutengeneza mkojo kidogo, hivyo mwili una majimaji mengi
- Majimaji hayo mengi huufanya moyo kufanya kazi kwa nguvu nyingi mno
- Hatimaye shambulio la moyo linaweza kuwa baya zaidi
- Majimaji mengi mwilini kitaalamu tunaita, “Congestion”.
Je, Nini Kinasababisha Shambulio La Moyo?
Tatizo lolote linalofanya moyo wako kuwa dhaifu linaweza kusababisha shambulio la moyo. Mifano ya kawaida ya matatizo hayo ni:
- Shinikizo la juu la damu au presha ya kupanda
- Mishipa ya damu kuziba
- Matatizo ya valvu za moyo (valvu kuziba wakati damu inaposukumwa)
- Matatizo mengine yanayoweza kusababisha moyo kushindwa kufanya kazi ni mdundo wa moyo usio wa kawaida, idadi ndogo ya chembe nyekundu za damu (anemia), matatizo ya tezi, na kudhoofika kwa misuli ya moyo.
- Matatizo mengi husababisha kushindwa kwa moyo tu baada ya miaka mingi. Walakini, shida zingine, kama vile mshtuko mkubwa wa moyo, zinaweza kusababisha shambulio la moyo haraka sana.
Mara nyingi, shambulio la moyo wa lina sababu zaidi ya moja.
Je, Dalili Za Shambulio La Moyo Zinakuwaje?
Dalili hizi unapaswa uzitambue na kuchukua maamuzi ya matatibabu hara mno, nayo ni kama haya yafuatayo:
- Kuhisi kama unashindwa kupumua hasa unapolala chali
- Kuhisi uchovu muda wote
- Miguu kuvimba
Dalili kawaida huja polepole. Mara ya kwanza unaweza kuhisi kukosa pumzi tu unapopanda ngazi na kugundua uvimbe mdogo tu wa mguu mwishoni jioni. Baadaye, unaweza kuhisi kukosa pumzi au uchovu unapofanya shughuli za kawaida.
James Herbal Clinic tuna habari njema kwako:
Tunapendekeza kuwa jipatie pakeji ya dawa za asili zenye uwezo wa kuondoa vyanzo vya shambulio la moyo bila kupata madhara.
Kama unahitaji huduma, basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,
Arusha-Mbauda,
Karibu sana!