Uvimbe sehemu ya njia ya mkojo hutokana na maambukizi ya bacteria kama vile UTI, nk. Hali hii mara nyingi huwapata wanawake. Visababishi vyake kwa kawaida hutokana na maambukizi ya bacteria amabayo tayari yameshapita katika utupu wa mwanamke; lakini hali hii ni mara chache sana hutokana na maambukizi kwenye mkojo unaotoka kwenye figo.
Wanawake wengi wanaopatwa na maambukizi haya katika kibofu cha mkojo mara nyingi vibofu vyao hupanuka kutokana na kubana mkojo hasa wanapohisi kwenda kukojoa wakati kibofu kikiwa kimejaa.
DALILI ZAKE
Kwa kawaida dalili zake huwa kama ifuatavyo:
- Kuhisi Maumivu makali sehemu ya tumbo la chini hadi mgongoni.
- Kukojo mkojo wenye Maumivu.
- Mkojo wenye harufu mbaya tena wenye muonekano yenye rangi ya ukungu kutokana na mkusanyiko wa usaha.
- Kuhisi hamu ya kukojoa hata kama kibofu kikiwa tupu.
TIBA ZAKE
James Herbal Clinic tuna dawa aina ya Redeemer ambayo ni antibiotic ikiwa pamoja na Fresh Herb ndizo huondoa matatizo haya kwa wanawake.
James Herbal Clinic tunapatikana Arusha na nje ya mkoa wa Arusha kwa mawakala zetu.
Kwa mawasilino tupigie kwa namba zifuatazo:
Arusha: 0752389252 au 0712181626
Dar es Salaam-Ubungo River Side: 0762391503 au 0715391503
Dar es Salaam-Kigogo Polisi: 0658221346 au 0683221346
Shinyanga: 0763869874
Ruvuma: 0752416341
Simiyu: 0758306602
Kupata blog ya kitaalamu unayoweza kuitumia kukjuifunza elimu juu ya vyanzo vya magonjwa na dalili zake, tembelea: www.jamesherbalclinic.or.tz