Je, unajua kwamba kuna faida mbalimbali za kiafya kwa mwanamke kufika kileleni? Hapa ninakuletea umuhimu wa mwanamke kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa:
- Huondoa Maumivu
Kufika kileleni humsaidia mwanamke kuondokana na maumivu mbalimbali anayoweza kuwa anayahisi mwilini mwake. Hutoa oxtin ambayo husaidia kutoa homoni ya endorphin mwilini. Homoni ya endorphin hufanya kazi ya kupambana na maumivu mbalimbali mwilini.
- Huimarisha Mfumo Kinga Wa Mwilini.
Tafiti mbalimbali zimethibitisha kuwa mwanamke kufika kileleni husaidia kuimarisha mfumo wa kinga wa mwili mwake kutokana na baadhi ya homoni ambazo mwili unazitoa wakati wa tendo la ndoa.
NUKUU: Napenda kuwashauri sana wanawake wote wanaoshindwa kufika kileleni wafikirie nini kinawapata umri wao unapozidi kuongezeka.
- Hutunza Ujana
Je, unajua kwamba kufika kileleni humsaidia mwanamke kukabiliana na alama za uzee? Kufika kileleni hukuondolea wasiwasi na kukupa utulivu dhidi ya mashinikizo ya kimaisha ambayo hukuelemea na kukufanya uonekane mzee.
NUKUU: Sambamba na hilo, tafiti mbalimbali zimethibitisha kuwa mshindo au hali ya kufika kileleni mara moja ina mchango mkubwa katika kutunza uzuri na afya ya ngozi.
Angalia picha ya binti huyo ilivyo nzuri, ngozi nzuri na sura nzuri. Inaonyesha dada wa watu ukimwingia kidogo unapokuwa umemwandaa vizuri, yeye yupo tayari kukojoa au kufika kileleni haraka kabla wewe mwanaume bado.
- Huondoa Mfadhaiko
Kwa upande wa kisaikolojia, kufika kileleni humfanya mwanamke kuwa mtu mwenye furaha zaidi maishani. Mshindo huamsha upya upendo na mahabba jambo linalomuweka karibu zaidi na mumewe na kumfanya kuwa na raha na furaha katika maisha yake ya kimahabba.
- Huboresha Uzazi
Tafiti mpya zimethibitisha kuwa kufika kileleni huboresha na kuimarisha suala la uzazi kwa mwanamke kwa sababu huathiri sana mzunguko wa yai na kuongeza kiwango cha estrogen katika mwili wa mwanamke.
- Huchangamsha Mzunguko Wa Damu
Mshindo wa tendo huchochea na kuchangamsha mzunguko wa damu katika mwili, jambo linalosaidia kustawisha seli na viungo vya mwili. Huongeza mtiririko wa damu maeneo ya nyonga, husambaza virutubishi pamoja na vichocheo pale mwili unapohitaji.
Hitimisho:
Raha ya tendo la ndoa ni mridhishane na kuridhiana
Dalili za mwanamke aliye mtamu katika tendo la ndoa huwa kama ifuatavyo:
- Mwendo Wake
Mwanamke ambaye anapotembea kwa mwendo wake anaonyesha hali ya kujiamini na hali ya uanariadha na mwanamke ambaye sio mvivu awapo na mwanaume kitandani. Mwangalie mwanamke ambae anatembea asienyooka na macho yake yanaangalia mbele mara kwa mara badala ya kuangalia chini hali hizo zinaonyesha wazi kuwa mwanamke huyo hata ukimweka kwenye sehemu inayobana ataweza kujichomoa kwa urahisi.
- Mwanamke Asiye Na Kinyaa
Ingawaje uchafu ni kitu kibaya lakini uonapo mwanamke ambaye anajifanya yeye ni msafi sana na mwepesi wa kuona kinyaa jua basi mwanamke huyo atapata shida kutulia awapo na mwanaume kitandani. Mwanamke wa aina hiyo akilini mwake atakuwa na mkandamizo wa mambo na hivyo akili yake kushindwa kuwa huru kufanya vitu ambavyo vitamfanya aonyeshe ufundi ambao mwanaume anahitaji ili aweze kufurahia tendo la ndoa. NUKUU: Kuwa makini na wanawake wa aina hii kwani pia wanakuwa wepesi kulaumu wanaume kuwa hawajui kitu. Usibabaishwe na vipodozi au nguo za kichokozi hizo zaweza kuwa dalili za ukicheche.
- Asiyejua Kubusu Au Kuchumu
Ukitaka kujua mwanamke ambaye atakushangaza kitandani angalia mwanamke ambae anajua kutoa mabusu na anapenda kupiga busu. Usibabaishwe na uzuri wa sura au maumbile yake kwani utajikuta kitandani na mwanamke alie kama samaki aliekufa kwenye sahani. Njia nyingine ya kupima jambo hili mwangalie ushikapo mtoto mdogo chini ya miaka 2, angalia kama atambusu mtoto au la kama hawezi hata kumbusu mtoto basi kumbusu mwanaume mwenye ndevu itakuwa sawa sawa na kumwambia mwislam ambusu nguruwe.
- Analegeza Macho Kwa Urahisi
Mwanamke ambae ana ujasiri wa kumwangalia mwanaume machoni na kuyalegeza macho yake anaonyesha kuwa ana hazina ya maarifa ambayo hata akimwangalia mwanaume alievaa nguo anamwona kama vile yuko uchi tayari, anamfanyia manjonjo. Mara nyingi wanawake wenye kulegeza macho wamekuwa na mvuto mkubwa kwa wanaume.
- Jinsi Anavyokula Chakula
Wanasayansi wamegundua kuwa upo uhusiano mkubwa wa jinsi mwanamke anavyokula chakula na ufundi wake katika tendo la ndoa. Mwanamke ambaye anakula chakula polepole na anatafuna chakula kama vile anasikiliza utamu wa chakula kwa masikio yake anaashiria kuwa hufanya mapenzi kwa kufuata utaratibu au hatua fulani ambazo amejifunza. Kwa maneno mengine ni kama vile ana kitabu kichwani na ana uwezo wa kufuata maelekezo taratibu ili afuate hatua zote za muhimu katika kumridhisha mwanaume kitandani.
NISIWACHOSHE SANA WAPENDWA WANAGROUP, NAOMBA NIISHIE HAPA NIWAPATIE NAFASI YA MASWALI. KARIBUNI SANA.
Kwa mawasiliano, tupigie: 0768 559 670/0712 181 626,
Arusha-Mbauda.
Karibu sana!