NUTRI-REDEEMER ni unga bora wa pekee uliotengenezwa kutokana na mchanganyiko wa vyakula vya nafaka vyenye virutubisho vingi vizuri tena vyenye afya bora mno. Moja ya mchanganyiko wa nafaka hizo ni ngano.
Unga huu unatumiwa kama maziwa tena una faida nyingi za afya kama vile kudhibiti uzito wa mwili, kuboresha uyeyushaji wa mafuta mwilini mwako, kuzuia ugonjwa wa kisukari, kupunguza magonjwa sugu ya uvimbe mwilini, kuzuia mawe kwenye figo, kuzuia saratani ya matiti, kukuza afya ya njia ya utumbo kwa wanawake, kurekebisha mfumo wa uzazi wa mwanaume na wa mwanamke, nk.
Unga huu pia huzuia mwili usipatwe na magonjwa ya saratani ya utumbo, hutuliza dalili za kukoma kwa hedhi na kuzuia mashambulio ya moyo. Kwa kutumia unga huu kama lishe mara kwa mara, basi unaweza kupata virutubisho vyote vilivyomo na kuzuia kutokea kwa magonjwa mbalimbali.
Je, Ngano Ni Nini?
Ngano ni nafaka ya kawaida kabisa na inapatikana karibia katika kila mahali. Utaipata kwenye mkate, keki, mandazi, chapati japokuwa wengi hutumia unga wa ngano iliyokobolewa ambayo haina faida hata kidogo.
Nafaka ya ngano ya asili yenye afya hutegemea Zaidi aina ya nafaka inayotumika chakula chenye afya kwa mwanadamu. Kwa mfano ngano ambayo haijakobolewa inachukuliwa kuwa mojawapo ya aina bora Zaidi ya ngano, hivyo basi, ngano inapokobolewa na kuondolewa tabaka la juu, afya yake huondolewa kabisa. Tabaka hili huwa lina virutubisho vingi mbalimbali kama vile Vitamini B3, B2, B1, folic acid, shaba(copper), chokaa(calcium), zink, nyuzinyuzi(fiber), Pamoja na chuma(iron), na unapovikosa hivi kwenye mlo wako unaweza kuwa na matatizo baadaye.
Ngano ina virutubishi vingi sana ambavyo vinafaa kwa afya ya mwili wako. Hivyo basi, NUTRI-REDEEMER ina Vitamini E, B, madini ya chumvi, shaba, chokaa, iodide, magnesium, zink, potassium, manganese, Sulphur, silicon, chlorine, ndio maana ni msingi mzuri wa lishe yoyote unapoitumia.
Thamani Ya Virutubisho Vya Ngano Kwenye Unga Wa NUTRI-REDEEMER
James Herbal Clinic tumekuandalia dawa tena ni chakula chenye vurutubisho vingi vya kutosha kwa ajili ya afya ya mwili wako. Ninavyoelezea hapo chini ni faida ya afya bora ya mwili wako kutoka kwenye NUTRI REDEEMER.
1. Kudhiti Uzito Wa Mwili
Ingawa ngano inafahamika kwa kudhitibi uzito wa mwili, kwahiyo NUTRI-REDEEMER ina nguvu sana kwa wanawake na wanaume. Unapoitumia kama chakula tena ni dawa, inasaidia sana kupunguza uzito wa mwili hasa unene au kitambi.
2. Huboresha Kazi Ya Uyeyushaji Mafuta Mwilini
Wakati kazi ya uyeyushaji mafuta mwilini inaposhindwa kufanyika, inaweza kupelekea kuwapo kwa mvurugiko wa mafuta. Baadhi ya mvurugiko huo ni mlundikano wa mafuta na hivyo kusababisha kitambi, shinikizo la juu la damu, nk. Hali hii inaweza kumfanya mgonjwa kuwa katika hatari ya magonjwa ya moyo.
Hii ndio maana James Herbal Clinic tunakushauri ubadiri mitindo ya ulaji wako, huku ukitumia NUTRI-REDEEMER kama chakula n ani dawa. Kwahiyo huboresha mmeng’enyo wa chakula wote, ambao hupelekea uunguzaji wa mafuta kuwa mzuri, na hivyo kuzuia matatizo haya yasiibuke katika sehemu ya mwanzo.
3. Huboresha Mbegu Za Mwanaume
Mbegu nyepesi za mwanaume inamaanisha kwamba manii unayoitoa wakati unapofika kileleni huwa ina mbegu chache mno kuliko kawaida. Kiwango chako cha mbegu huonekana kidogo kuliko kawaida ikiwa kama una mbegu milioni 15 kwa milimita za shahawa.
Hivyo, NUTRI-REDEEMER husaidia kabisa kuboresha mbegu za mwanaume kuwa nzito tena nyingi endapo kama utaitumia kama chakula na dawa.
4. Huzuia Kisukari Aina Ya Pili
Pale ugonjwa wa kisukari aina ya pili unapokuwa ugonjwa sugu, na unaweza kuwa hatari kabisa kama haudhibitiwi vizuri, pia ni ugonjwa ambao unaweza kubadirishwa ikiwa kama mgonjwa atajari mlo wake. Moja ya virutubishi vinavyopatikana kwa wingi katika NUTRI-REDEEMER ni magnesium.
Madini haya ni kipengele cha ushirikiano Zaidi ya vimeng’enya 300 ambavyo huathiri moja kwa moja jinsi mwili unavyotumia insulin na kutengeneza sukari. Hivyo, ukitumia NUTRI-REDEEMER kwa utaratibu unaotakiwa itakusaidia kudhibitisukari kwenye damu yako. Kwa kubadirisha tu vyakula vya wanga ukaachana navyo kabisa, ukatumia unga huu bora wa lishe, mgonjwa wa kisukari unaweza kudhibiti viwango vya sukari kwa urahisi mno.
5. Hupunguza Uvimbe Wa Muda Mrefu
Uvimbe wa muda mrefu kimsingi huhusiana na uvimbe wowote ambao umedumu kwa miezi michache. Uvimbe huo unaweza kusababishwa na sababu nyingi kama vile mmenyuko wa kichocheo hatari au tatizo la ndani ya mfumo kinga wa mwili. Japokuwa hauwezi kuonekana kuwa ni tatizo kubwa, kama usipofanyiwa vipimo, unaweza kusababisha aina Fulani za saratani na hata baraidi yabisi au gauti.
Kwa bahati nzuri, uvimbe wa muda mrefu ni kitu ambacho kinaweza kudhibitiwa na NUTRI-REDEEMER. Unga huu una betaine, ambao sio tu kwamba hupunguza uvimbe bali pia husaidia magonjwa mengine kama vile kupungua kwa kumbukumbu, ugonjwa wa moyo, kisukari cha kupanda, Pamoja na mifupa kuwa laini.
NUTRI-REDEEMER husaidia kuzuia mawe kwenye figo hasa kwa wanawake. Mawe kwenye figo hutengenezwa kutokana na muongezeko wa asidi ya nyongo. Kutokana na ukweli kwamba ngano ina nyuzinyuzi zisizoyeyuka ndani yake, lakini nakuhakikishia kwamba NUTRI-REDEEMER ina uwezo wa usagaji chakula tumboni na kuondoa uzarishwaji wa nyongo, na hivyo kuzuia mawe ya figo.
6. Huzuia Saratani Ya Matiti
NUTRI-REDEEMER ina vizuia saratani kwa wanawake, ambayo humaanisha kwamba huyeyusha na kuondoa madhara ya saratani na kuzuia aina mbalimbalia za saratani. Wakati viwango vya homoni ya estrogen vinapoongezeka na kujaa, ndipo husababisha saratani kwenye matiti. Wakati mbegu za nafaka zinapoongezeka na kuchochea viwango vya homoni ya estrogen kiasi kwamba hudhibitiwa muda wote, ndipo huzia saratani ya matiti.
Lishe hii hasa inafaa kwa wanawake walio katika kipindi kabla ya kuanza kukoma hedhi, ambao kwa kawaida wapo katika hatari ya kupatwa na saratani ya matiti. Zaidi ya hapo, ngano iliyo kwenye NUTRI-REDEEMER pia ina kundi la molekuli. Kwahiyo kundi la molekuli huchukua vipokezi vya homoni vinavyokuwa mwilini, ambavyo pia husaidia kuhifadhi mzunguko mkubwa wa viwango vya estrogen unaoangaliwa, ambao pia husaidia kuzia saratani ya matiti.
7. Huondoa Tatizo La Kukosa Choo
Kama nilivyoeleza hapo awali, NUTRI-REDEEMER ina wingi wa nyuzinyuzi au fiber na husaidia choo kuwa laini. Hii humaanisha kwamba mwili huhitaji uzarishaji wa asidi kidogo ya nyongo ili kuyeyusha chakula tumboni na kukifanya kuwa laini. Matokeo yake ni kwamba, kinyesi au choo unachotoa kinakuwa nil aini. Hali hii inaweza kuzuia saratani ya utumbo mpana isiweze kutokea na kuufanya utumbo mwembamba kuwa wenye afya hasa kwa wanawake.
8. Hutuliza Dalili Kabla Ya Hedhi Kukoma
Unapotumia mlo wenye wingi wa nafaka asili inafaa mno kwa wanawake waliofikia ukomo wa hedhi kadiri wanapoelekea kuwa katika ahatari ya magonjwa mbalimbali. NUTRI-REDEEMER itakusaidia sana unapokuwa na tatizo la shinikizo la juu la damu, ugonjwa wa moyo, na mwili kuwa na mafuta mengi ambayo husababisha mishipa ya damu kuwa na mafuta na kuwa migumu. Kwahiyo itakusaidia mno kuepukana na magonjwa ya kiharusi au shambulio la moyo.
9. Huzuia Shambulio La Moyo
Zaidi ya mara nyingi, madaktari hupendelea kuwashauri wagonjwa wa shambulio la moyo kutumia tiba za asili ili waweze kupona ugonjwa huo. Hii ni kwasabbau tiba hizi za asili hufanya kazi haraka kuponya magonjwa haya. Japokuwa haijulikani kwanini dawa za asili hufanya kazi vizuri kuliko madawa ya vidonge, ndio maana madaktari huhimiza matibabu ya vyakula na dawa za asili.
Vyakula vya nafaka kama vile ngano iliyopo kwenye NUTRI-REDEEMER na mchanganyiko wa vyakula vingine vyenye nyuzinyuzi(fiber), husaidia sana kupunguza kiwango cha shinikizo la juu la damu(high blood pressure) kwa mgonjwa, na hivyo kupunguza hatari ya kupatwa na shambulio la moyo. Kusema kweli, tiba za asili kama lishe huambatana na mapendekezo yote ya mazoezi yanayotakiwa ili kuondoa tatizo la moyo.
Nashukuru sana mpendwa msomaji wa Makala hii kuhusu faida za NUTRI-REDEEMER, ni chakula bora kwa afya yako pia ni dawa kwa magonjwa makubwa mwilini mwako.
Pia unaweza kutuma namba yako ya WHATSAP uweze kuunganishwa na darasa letu ujifunze zaidi juu ya afya ya mwili wako.
Je, Unahitaji Huduma? Basi tupigie 0752389252 au 0712181626,
Arusha-Mbauda,
Karibuni sana.!
.