Zijue Faida Za Unga Lishe Wa NUTRI-REDEEMER

NUTRI-REDEEMER ni unga bora wa pekee uliotengenezwa kutokana na mchanganyiko wa vyakula aina 6 za vyakula vya asili mojawapo ikiwa ni nafaka zenye virutubisho vingi vizuri tena vyenye afya bora mno. Moja ya mchanganyiko wa nafaka hizo ni ngano.

Unga huu unatumiwa kwa uji tena una faida nyingi za afya kama vile kudhibiti uzito wa mwili, kuboresha uyeyushaji wa mafuta mwilini mwako, kuzuia ugonjwa wa kisukari, kupunguza magonjwa sugu ya uvimbe mwilini, kuzuia mawe kwenye figo, kuzuia saratani ya matiti, kukuza afya ya njia ya utumbo kwa wanawake, kurekebisha mfumo wa uzazi wa mwanaume na wa mwanamke, nk.

Unga huu pia ni lishe bora kabisa kwa watoto wadogo kwani huwa chanzo kizuri kabisa cha nishati, kuboresha usagaji chakula, na kusaidia kuimarisha mfumo kinga wa mwili. Pia husaidia kuimarisha mifupa na meno na kupunguza hatari ya unene kupita kiasi.

Unga huu pia huzuia mwili usipatwe na magonjwa ya saratani ya utumbo, hutuliza dalili za kukoma kwa hedhi na kuzuia mashambulio ya moyo. Kwa kutumia unga huu kama lishe mara kwa mara, basi unaweza kupata virutubisho vyote vilivyomo na kuzuia kutokea kwa magonjwa mbalimbali.

Je, Ngano Ni Nini?

Ngano ni nafaka ya kawaida kabisa na inapatikana karibia katika kila mahali. Utaipata kwenye mkate, keki, mandazi, chapati japokuwa wengi hutumia unga wa ngano iliyokobolewa ambayo haina faida hata kidogo.

Nafaka ya ngano ya asili yenye afya hutegemea Zaidi aina ya nafaka inayotumika kama chakula chenye afya kwa mwanadamu. Kwa mfano ngano ambayo haijakobolewa inachukuliwa kuwa mojawapo ya aina bora Zaidi ya ngano, hivyo basi, ngano inapokobolewa na kuondolewa tabaka la juu, afya yake huondolewa kabisa. Tabaka hili huwa lina virutubisho vingi mbalimbali kama vile Vitamini B3, B2, B1, folic acid, shaba(copper), chokaa(calcium), zink, nyuzinyuzi(fiber), Pamoja na chuma(iron), na unapovikosa hivi kwenye mlo wako unaweza kuwa na matatizo baadaye.

Uji Power: Traditional drink gaining cult following in Nairobi

Ngano ina virutubishi vingi sana ambavyo vinafaa kwa afya ya mwili wako na kwa watoto wadogo pia. Hivyo basi, NUTRI-REDEEMER ina Vitamini E, B, madini ya chumvi, shaba, chokaa, iodide, magnesium, zink, potassium, manganese, Sulphur, silicon, chlorine, ndio maana ni msingi mzuri wa lishe yeyote unapoitumia.

Thamani Ya Virutubisho Vya Unga Wa NUTRI-REDEEMER.

James Herbal Clinic tumekuandalia chakula pia ni dawa yenye virutubisho vingi vya kutosha kwa ajili ya afya ya mwili wako. Ninayoelezea hapo chini ni faida ya afya bora ya mwili wako kutokana na unga wa NUTRI REDEEMER.

Faida Ya Unga Wa NUTRI-REDEEMER Kwa Watoto Wadogo

Unga wa NUTRI-REDEEMER una faida kadhaa kwa watoto, na huwapatia nyongeza ya lishe kwenye miili yao.

1. Huboresha Afya Ya Ubongo

Faida ya unga wa Nutri-redeemer ni huboresha afya ya ubongo wa mtoto pia ina wingi wa mafuta ya Omega 3.  Asidi hizi za mafuta zinapendekezwa sana kwa watoto kwa sababu ya ukuaji wa ubongo. Ukuaji wa ubongo kwa watoto ni muhimu kama vile ukuaji wa mwili wote na hii ni moja ya faida muhimu za unga wa Nutri-redeemer kwa ajili ya ubongo.

2. Humsaidia Mtoto Kupata Usingizi Mololo

Faida nyingine ya unga wa Nutri-redeemer ni kwamba huchochea usingizi   mzuri kwa watoto na watu wazima. Tryptophan ni amino acid muhimu ambayo husaidia kutengeneza serotonin na hii hubadilika kuwa melatonin ambayo ni homoni inayosaidia kupata usingizi mzuri. Ikiwa mtoto wako ana shida ya kupata usingizi, basi mpatie uji wa unga wa NUTRI-REDEEMER kabla ya kulala na kiasi kidogo  kipande cha tunda, kunaweza kuwa na manufaa katika kuupa mwili tryptophan inayohitajika kwa ajili ya uzalishaji wa melatonin, ambayo inaweza kusababisha usingizi bora. Kwa watoto wadogo, unga wa NUTRI-REDEEMER unaweza kuwa chaguo lako.

3. Huongeza Viuasumu(antioxidants)

Antioxidants ni visombo vinavyozalishwa mwilini au hupatikana kwenye baadhi ya vyakula vya asili ambavyo husafisha au kupunguza madhara ya uharibifu wa seli na molekuli zinazoweza kudhuru zinazojulikana kama Free radicals. Faida za unga wa NUTRI-REDEEMER ni kubwa sana na ukiufanya kuwa lishe kwa mwanao atafaidika sana.

4. Una Wingi Wa Madini Ya Magnezium

Magnésiamu ni moja ya madini manne yenye thamani sana mwilini. Kwa hivyo, upungufu wowote wa madini haya utaonekana kwa urahisi katika maisha ya kila siku. Magnésiamu ni madini muhimu katika kuimarisha mifupa, kuboresha mtiririko wa damu na kupunguza msongo wa mawazo.  Pia huleta ahueni kwa wasichana ambao wanakabiliwa na maumivu wakati wa hedhi, miguu kuchomachoma, na hisia za hasira. Kwa watoto wanaokabiliana na Pumu, ambayo inaongezeka kutokana na viwango vya hatari vya ubora wa hewa, magnesiamu inaweza kusaidia. Madini haya ya ajabu yanapopungua mwilini, husababisha madhara na hivyo kupunguza shughuli nyingi na ukosefu wa umakini kwa watoto. Mtoto anapokunywa kila siku uji wa NUTRI-REDEEMER hufaidika kupata madini ya Magneziam.

5.Una Wingi Wa Madini Ya Zinki

Madini ya Zinki inaonekana kuwa kirutubisho muhimu ambacho mwili hauwezi kuzalisha au kuhifadhi. Kwa sababu hii, ni muhimu sana kuongeza madini ya zinki kwa kutumia unga wa NUTRI-REDEEMER. Zinki inahitajika kwa ajili ya michakato mingi katika mwili kama vile ukuaji wa mwili,utendaji wa mfumo kinga wa mwili, kuponya jeraha au kidonda haraka, kurejesha kumbukumbu, nk.

6. Una Wingi Wa Madini Ya Fosforasi

Faida za kiafya za madini ya fosforasi ni pamoja na kusaidia ukuaji wa mifupa, kusaidia usagaji chakula vizuri, kuondoa sumu mwilini, kupambana na uchovu na udhaifu, kuzuia ugonjwa wa mifupa kuwa laini na matege na kuhakikisha ubongo unafanya kazi vizuri.

7. Una Wingi Wa Vitamini B

Unga wa NUTRI-REDEEMER una chanzo kikubwa cha vitamini B na hutoa sehemu kubwa ya mahitaji yako ya kila siku ya thiamini na niacin. Thiamin ni muhimu kwa ukuaji wa seli, na utendakazi na ni muhimu katika kuzarisha nishati.

8. Huzuia Pumu (asthma) Kwa Watoto

Huku viwango vya uchafuzi wa mazingira vikiongezeka kila mara, watoto wengi wako katika hatari ya kupata pumu katika umri wao wa utotoni. Hata hivyo, mtoto anapotumia uji uliotengenezwa kutokana na unga wa NUTRI-REDEEMER hupunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa pumu ya utotoni kwa angalau asilimia 50%.

Faida Ya Unga Wa NUTRI-REDEEMER Kwa Wakubwa

1. Kudhiti Uzito Wa Mwili

Ingawa ngano inafahamika kwa kudhitibi uzito wa mwili, kwahiyo NUTRI-REDEEMER ina nguvu sana kwa wanawake na wanaume. Unapoitumia kama chakula tena ni dawa, inasaidia sana kupunguza uzito wa mwili hasa unene au kitambi.

2. Huboresha Kazi Ya Uyeyushaji Mafuta Mwilini

Wakati kazi ya uyeyushaji mafuta mwilini inaposhindwa kufanyika, inaweza kupelekea kuwapo kwa mvurugiko wa mafuta. Baadhi ya mvurugiko huo ni mlundikano wa mafuta na hivyo kusababisha kitambi, shinikizo la juu la damu, nk. Hali hii inaweza kumfanya mgonjwa kuwa katika hatari ya magonjwa ya moyo.

Hii ndio maana James Herbal Clinic tunakushauri ubadiri mitindo ya ulaji wako, huku ukitumia NUTRI-REDEEMER kama chakula n ani dawa. Kwahiyo huboresha mmeng’enyo wa chakula wote, ambao hupelekea uunguzaji wa mafuta kuwa mzuri, na hivyo kuzuia matatizo haya yasiibuke katika sehemu ya mwanzo.

3. Huboresha Mbegu Za Mwanaume

Mbegu nyepesi za mwanaume inamaanisha kwamba manii unayoitoa wakati unapofika kileleni huwa ina mbegu chache mno kuliko kawaida. Kiwango chako cha mbegu huonekana kidogo kuliko kawaida ikiwa kama una mbegu milioni 15 kwa milimita za shahawa.

4. Huboresha Mfumo Wa Usagaji Chakula Kwa Wanawake

Kama ilivyojadiliwa hapo awali, ngano ina wingi wa nyuzinyuzi(fiber) ambazo   husaidia katika usagaji chakula mzuri tumboni. Hii ina maana kwamba mwili unahitaji kiwango kidogo cha utengenezaji wa nyongo ili kukisaga chakula kilainike na kiweze kupita kwenye utumbo. Kama matokeo, kuna uzarishaji mdogo wa asidi ya nyongo na enzyme katika kinyesi. Hii inaweza kuzuia saratani ya utumbo mpana isitokee na kwa ujumla kuifanya afya ya utumbo kuwa bora, hasa kwa wanawake.

5. Huzuia Kisukari

Ingawa aina ya pili ya kisukari ni hali ya kudumu na inaweza kuwa hatari sana ikiwa haitadhibitiwa vizuri, pia ni ugonjwa ambao unaweza kubadilishwa ikiwa mtu atazingatia zaidi mlo wake. Moja ya virutubisho vinavyopatikana kwa wingi kwenye NUTRI-REDEEMER ni magnesiamu.

6. Hupunguza Uvimbe Sugu

Uvimbe sugu kimsingi huwa ni uvimbe wowote ambao umekaa kwa muda wa miezi kadhaa michache. Unaweza kusababishwa na sababu mbalimbali kama vile mmenyuko wa kichocheo hatari au shida ndani ya mfumo wa kinga. Ingawa huenda isisikike kama tatizo kubwa sana, ikiwa haitadhibitiwa, inaweza kusababisha aina fulani za saratani, na hata ugonjwa wa bawasiri.

Kwa bahati nzuri, uvimbe wa muda mrefu ni kitu ambacho kinaweza kudhibitiwa na NUTRI-REDEEMER huku ukiwa na dozi yake. NUTRI-REDEEMER ina betaine, ambayo sio tu kwamba inapunguza uvimbe lakini pia husaidia na magonjwa mengine kama vile ugonjwa wa Alzheimer, kurudisha kumbukumbu, kuthibiti ugonjwa wa moyo, kisukari cha aina ya 2, na kuzuia mifupa kuwa laini.

7. Huzuia Mawe Kwenye Nyongo

Unga wa NUTRI-REDEEMER husaidia kuzuia mawe kwenye nyongo (gallstones) kwa wanawake. Mawe ya nyongo huundwa kutokana na uzarishwaji mwingi wa asidi ya nyongo. Kutokana na ukweli kwamba NUTRI-REDEEMER ina wingi wa nyuzinyuzi (fiber) ndani yake, hivyo ina uwezo mkubwa wa kufanya usagaji chakula kuwa rahisi na inahitaji uzarishaji mdogo tu wa asidi kwenye nyongo, na hivyo kuzuia mawe kwenye nyongo.

8. Huzuia Saratani Ya Matiti

Ngano iliyomo kwenye unga wa NUTRI-REDEEMER ina anticarcinogenic kwa wanawake, ambayo ina maana kwamba inakabiliana na madhara ya kansa na kuzuia aina fulani za kansa. Wakati viwango vya estrojeni vinapoongezeka na kufikia kiwango kikubwa, ndiposa husababisha saratani ya matiti. Ngano ya ngano huongeza viwango vya estrojeni ili viendelee kudhibitiwa wakati wote, hivyo kuzuia saratani ya matiti.

Hii inafaa hasa kwa wanawake walio katika kukoma hedhi, ambao kwa ujumla wako katika hatari zaidi ya kupata aina hii ya saratani. Zaidi tena, unga wa NUTRI-REDEEMER pia una lignans. Lignans husaidia kuchukua vipokezi vya homoni mwilini, ambayo pia husaidia kudhibiti viwango vya juu vya homoni ya estrojeni inayozunguka, ambayo husaidia kuzuia saratani ya matiti.

9. Huzuia Shambulio La Moyo

Mara nyingi zaidi kuliko hivyo, madaktari wanapendelea matibabu na uponyaji wa asili kwa wagonjwa ambao wameshapatwa na mashambulizi ya moyo. Hii ni kwa sababu matibabu haya hufanya kazi haraka na pia hayana madhara hata kidogo mwilini mwako. Ingawa haijulikani kabisa kwa nini tiba za asili hufanya kazi vizuri zaidi kuliko madawa ya vidonge, lakini bado madaktari huhimiza kutumia matibabu ya asili.

Mchanganyiko wa vyakula vya nafaka vya asili pamoja na mbegumbegu vilivyotengeneza unga safi wa NUTRI-REDEEMER, vina wingi wa nyuzinyuzi (fiber) nyingi za lishe vina uwezo wa kupunguza viwango vya shinikizo la juu la damu kwa wagonjwa, ambayo hupunguza uwezekano wa kupata shambulio lingine la moyo. Bila shaka, lishe yenye afya inahitaji kuambatana na mazoezi yote yanayopendekezwa ili iwe yenye matokeo.

Je, Unapataje Unga Huu?

Unahitaji kupata unga huu, basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibu sana!