ZIJUE NJIA ZA KUKUFANYA UPATE UJAUZITO HARAKA

Unapojaribu kubeba ujauzito, tendo la ndoa hupewa kipaumbele sana kuliko ujuzi. Utahitaji kufanya kila kitu kitandani ili kuongeza uwezo wa kupata ujauzito.

Download this Man kissing his partner on a couch Free Photo

NUKUU: Hakuna njia zilizohakikishwa kwa ajili ya kutengeneza ujauzito. Walakini kuna mabadiriko machache ambayo yanaweza kusaidia kama vile muda na mzunguko wa mapenzi yako.

Je, Ni Kipindi Gani Unapaswa Ufanye Tendo La Ndoa?

 

Muda mzuri wa kuwa mjamzito ni pale unapokuwa katika siku za hatari. Siku za hatari huwa ni siku 5 kabla ya yai kupevuka, na pia siku ya yai kupevuka. Siku mbili kabla yai halijapevuka na siku ya yai kupevuka huwa zina uwezo mkubwa wa kukufanya upate ujauzito. Unaposhiriki tendo la ndoa katika siku hizo, kutakusaidia kuweza kupata ujauzito.

 Wakati yai linapopevuka, kifuko cha yai huachilia yai lililokomaa. Yai hutengeneza njia yake na kuelekea kwenye mrija wa uzazi na kuanza safari kuelekea kwenye mfuko wa uzazi.

In The News: More Sex Can Boost Fertility By Extending Your ...

NUKUU: Katika safari hii, mbegu ya mwanaume hukutana na yai la mwanamke na kulirutubisha. Mbegu za mwanaume zinaweza kuishi kwa muda wa siku 5. Kwahiyo kama unajaribu kubeba ujauzito, kusudi lako ni kuwa na mbegu zilizo hai kwenye mirija yako ya uzazi unapopevusha yai lako.

Je, unajuaje kama unapevusha yai lako? Kitu cha kufanya ni kuhesabu siku za mzunguko wako wa hedhi.

 

Tunza kalenda ya mzunguko wako wa hedhi. Kumbuka kuwa kila mzunguko huanza siku ya kwanza ya kipindi cha hedhi, na huisha siku ile kabla hujakaribia kipindi cha hedhi kinachofuata hakijaanza.

How To Calculate Safe Days For Not Getting Pregnant

NUKUU: Angalia mzunguko wako wa hedhi vizuri. Kama una mzunguko wa siku 28, kawaida utapevusha yai lako ndani ya siku 14.

Unaweza pia kuangalia dalili hizi, ambazo zinaashiria upevushaji wa yai:

 

  1. Badiriko Katika Uchafu Unaotoka Ukeni

 

Yai linapopevuka, uteute wako hubadirika na kuwa mwepesi ten mweupe kama ute wa yai la kuku

Pin on Women

Unaweza ukaona hapo juu jinsi ute huo unavyokuwa.

  1. Kupanda Kwa Joto La Mwili

 

Joto la mwili linakuwapo litaongezeka taratibu baada ya yai kupevuka. Unaweza ukapima joto kwa kipima joto kabla hujaamka kitandani asubuhi. Hii itakuonyesha kwamba yai lilipevuka na hukuweza kutambua kama yai lilipevuka. Hata hivyo, ikiwa kama utafuatilia joto lako kwa mizunguko michache, unaweza ukaona mtazamo wa nyuma ni siku gani katika mzunguko yai lilipevuka.

LH Ovulation Test, Ovulation Test Kit | Wondfo

NUKUU: Maduka ya madawa pia yanauza vipimo vya kubaini (counter ovulation kits) endapo kama yai limeshapevuka na kuona siku za hatari. Vipimo hivi huchunguza na kubaini kwenye mkojo mabadiriko ya homoni, na vinaweza kukufahamisha ni kipindi gani yai litakuwa limeshapevuka kabisa. Angalia maelezo ya kipimo na utapata taarifa nyingi zaidi.

Nafasi Gani Ni Bora Zaidi?

 

Tendo lolote la ndoa litakalofanya wakati wa siku za hatari pasipo kutumia kinga yoyote linaweza kusababisha ujauzito kutokana na mamilioni ya mbegu za mwanaume zinazomwagwa katika mshindo mmoja tu baada ya kufika kileleni. Kadiri mbegu za mwanaume zinapoingia ukeni, tayari mwanamke anayo nafasi ya kupata uajauzito.

Can having sex lead to weight loss? | TheHealthSite.com

NUKUU: Hakuna style yoyote iliyothibitishwa kuongeza uwezekano wa mwanamke kupata ujauzito wakati wa kushiriki tendo. Walakini bado zipo style kadhaa zinaweza kuwa nzuri kuliko zingine zinazoweza kurahisisha mbegu za mwanaume kuogelea vizuri kabisa na kulifikia yai la mwanamke. Style ya kifo cha mende(mwanaume anakuwa juu ya mwanamke) na style ya mbuzi kagoma kwendwa(yaani mwanaume anakuwa nyuma ya mwanamke), hizi hurahisisha uume kuzama kwa ndani zaidi na kuzifanya mbegu za mwanaume zifike kwa ukaribu kwenye mlango wa kizazi wa mwanamke.

Katika style ya mwanamke kukalia mshumaa(yaani mwanaume analala chali halafu mwanamke anakuja juu yake), raha hukolea zaidi. Lakini bado mwanamke anaposimama baada ya kufanya tendo la ndoa, hashindwi kupata ujauzito. Mbegu huogelea vizuri sana. Mbegu zinapowekwa ndani ya uke, bado huwa zina uwezo wa kuufikia mlango wa uzazi ndani ya dakika 15.

Sperm with damaged DNA may cause some repeat miscarriages ...

Ingawa huhitaji kuinua miguu yako baada ya kufanya tendo la ndoa, au hata kulala chali ili kuzisaidia ziweze kufika huko, kamwe haziwezi kukuumiza.  Ukiweka mto chini ya kiuno chako pia kunaweza kusaidia mbegu kuweza kuogelea katika mwelekeo sahihi.

Je, Unapaswa Kufanya Tendo La Ndoa Mara Ngapi?

 

Unaweza kujifunza kwamba, tabia ya kufanya tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza ubora na kiwango cha mbegu au shahawa. Baadhi ya tafiti zimeonyesha kwamba mbegu zina ubora mzuri pale zinapokuwa zimekusanywa baada ya vipindi 2-3 vya kujizuia. Pia tafiti zinaonyesha kwamba uwezo mkubwa wa kupata ujauzito unaonekana kwa wana ndoa ambao wanashiriki tendo la ndoa siku 1-2.

Blødninger etter sex kan virke skremmende, men som regel er det ...

NUKUU: Kufanya tendo la ndoa mara 1 au kila baada ya kuingia katika siku za hatari kunaweza kuongeza uwezo wako kupata ujauzito. Jaribu kufanya tendo la ndoa mara kwa mara lakini usijilazimishe kujiingiza katika ratiba mbaya. Inaweza kukusababishia msongo wa mawazo usiokuwa na maana. Hata hivyo, kufanya tendo la ndoa ni pale unapojisikia vizuri mwilini mwako.

Je, Kupaka Vilainishio Kunaweza Kuathiri Uwezo Wa Kupata Ujauzito?

 

Inaonyesha theluthi ya wanawake hutumia vilainishio wakati wa kufanya tendo la ndoa, lakini kumekuwapo na maswali kwamba yawezakuwa bidhaa hizi zikaathiri ubora wa mbegu.

Astroglide Gel Personal Lubricant | Walgreens

 

NUKUU: Katika uchunguzi wa maabara inaonyesha kuwa vilainishio kama vile mafuta ya K-Y na Astroglide hupunguza mwendo wa mbegu kwa asilimia 60%-100%.

Njia Zingine Za Kupata Ujauzito

 

Kubadirisha mtindo au style ya kushiriki tendo la ndoa sio njia pekee ya kuthibitisha uwezekano wa kupata ujauzito. Hapa kuna mambo mengine machache unaweza kuyafanya kuongeza uwezo wako wa kuzaa;

 

  1. Kufikia Mshindo

 

Kwa mwanaume, kufika kileleni ni muhimu sana ili kuweza kumpatia mwenza wake ujauzito. Ingawa mwanamke sio mpaka afike kileleni ndio apate ujauzito, lakini pia ile hali yake ya kufika kileleni inaweza kusaidia kuzivuta manii karibu na kuweza kulifikia yai. Je, mwanamke una tatizo la kufika kileleni? Jaribu kuliondoa tatizo hilo ili uweze kupata ujauzito kwa urahisi.

 

  1. Rekebisha Uzito Wako: Kuwa mzito sana au mwembamba sana kunaweza kupunguza uwezo wako wa kupata ujauzito.

 

Je, Unapaswa Umuone Daktari Kipindi Gani?

 

Kama umekuwa ukijaribu kutafuta ujauzito kwa muda mrefu, lakini usibahatike, basi onana na daktari mtaalamu wa mambo ya uzazi.

 

Je, unapaswa usubiri muda gani kabla hujaonana na daktari? Hii inategemeana na umri wako.

  • Wanawake wenye umri mdogo chini ya miaka 35 wanapaswa kufanya vipimo angalau hata mara 1 kwa mwaka.

 

Fanya utaratibu wa kuonana na daktari haraka endapo kama utaona dalili hizi, ambazo zinaweza kuathiri uwezo wako wa kupata ujauzito;

 

  • Vipindi vya hedhi kubadirika au kukosa hedhi kabisa
  • Tumbo la kizazi kuuma sana
  • Maambukizi katika via vya uzazi(Pelvic Inflammatory Disease au PID)
  • Historia ya mimba kuporomoka
  • Kupasuliwa kwa tatizo la henia kwenye korodani

 

 

  • Wanawake wenye umri wa miaka 35 au zaidi ya hapo, wanapaswa waonane na daktari wa mambo ya uzazi baada ya miezi 6

Fanya utaratibu wa kuonana na daktari haraka endapo kama utaona dalili hizi, ambazo zinaweza kuathiri uwezo wako wa kupata ujauzito;

 

  • Vipindi vya hedhi kubadirika au kukosa hedhi kabisa
  • Tumbo la kizazi kuuma sana
  • Maambukizi katika via vya uzazi(Pelvic Inflammatory Disease au PID)
  • Historia ya mimba kuporomoka
  • Kupasuliwa kwa tatizo la henia kwenye korodani

 

Nipende kuishia hapa ndugu msomaji, karibuni sana katika James Herbal, Mungu awabariki sana.

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626,

 

Arusha-Mbauda

 

Pia kama tuna darasa zuri katika mtandao wa telegramu, unaweza ukatuma namba yako ya whatssap ukapewa link ukajiunga na darasa. Karibuni sana.

One thought on “ZIJUE NJIA ZA KUKUFANYA UPATE UJAUZITO HARAKA

  1. Somo lenu ni zuri sana lakini mm nashanga nilifanya mapenz tarehe 23/7/2021lakini nashangaa tangu tarehe 26/7/2021 nikienda choon nikijitawaza nakuta ute mweupe nikiwa najitawaza je tatizo ni nini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *