ZIJUE SABABU ZINAZOMFANYA MWANAUME KUTOKUWA NA HISIA AU HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA.

Je, Nini Kinasababisha Kuwa Na Hisia Za Chini Sana Za Mapenzi?

 

Hisia za chini za mapenzi humaanisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Hii ni hali ya kupoteza kabisa hamu ya kushiriki tendo la ndoa kila inapofikia muda wa kufanya tendo la ndoa na mke au mpenzi wako, na viwango vya kupungua kwa hisia za mapenzi hutofautiana katika maisha yako yote.

Low libido when a mans sex drive is too low not unusual

NUKUU: Hata hivyo, kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa kipindi kirefu kunaweza kusababisha mtafaruku kwa wanandoa ndani ya nyumba. Inaweza kuwa ishara ya matatizo ya kiafya.

Hapa nitapenda kuelezea visababishi vichache vya kukosa hisia za mapenzi au hamu ya kufanya tendo la ndoa.

  1. Kupungua Kwa Homoni Ya Testosterone

 

Homoni ya testosterone ni ya muhimu sana kwa mwanaume, nayo hutengenezwa kwenye korodani. Homoni hii inahusika na kujenga misuli pamoja na mifupa, na katika kuamsha uzarishaji wa mbegu za mwanaume au manii. Viwango vya homoni ya testosterone pia humfanya mwanaume kuwa na hisia au hamu ya kufanya tendo la ndoa.

Viwango vya kawaida vya homoni ya testosterone vinatofautiana. Hata hivyo, wanaume wenye umri mkubwa wanatakiwa kuwa na kiwango kidogo cha homoni ya testosterone. Pale viwango vya homoni ya testosterone vinapopungua, hamu ya kufanya tendo la ndoa pia hupungua.

Kupungua kwa homoni ya testosterone ni sehemu ya kawaida katika umri wa mtu. Hata hivyo, kushuka kwa homoni ya testosterone kunaweza kupelekea kupungua kwa hisia za tendo la ndoa.

Kama unasumbuliwa na tatizo hili unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zetu za mawasiliano hapo chini.

  1. Matumizi Ya Madawa Bila Ushauri Wa Daktari

 

Utumiaji wa madawa fulani ya vidonge kunaweza kupunguza viwango vya homoni ya testosterone ambayo kwa upande mwingine, inaweza kupelekea kupungua kwa hisia au hamu ya tendo la ndoa.

Kwa mfano, madawa ya magonjwa ya moyo kama vile shinikizo la damu(blood pressure) yanaweza kuzuia mwanaume ashindwe kudindisha au kukojoa au kufika kileleni.

Utumiaji sigara, pombe, marijuana, madawa ya kulevya kama vile opiates yanaonyesha pia kuwa chanzo cha kusababisha kupungua kwa uwezo wa kuzarisha homoni za testosterone. Hali hii inaweza kupelekea mwanaume kutokuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa. Sumu zitokanazo na uvutaji sigara huharibu uwezo wa uzarishaji wa mbegu au manii na hivyo mwendo wake kuwa tofauti kabisa na manii zenye afya.

Man Holding A Smoking Cigarette In Hand Stock Video - Download Video Clip  Now - iStock

NUKUU: Kama ukiwa na athari za kushuka kwa homoni ya testosterone kutokana na matumizi ya vidonge, basi fika hospitali haraka ukaweze kupata vipimo na ushauri.

  1. Huzuni Au Mawazo

 

Huzuni hubadiri sehemu zote za maisha ya mtu. Watu wenye huzuni hukosa hamu ya kufanya mambo yao ikiwemo tendo la ndoa. Kukosa hamu au hisia ya mapenzi pia ni athari ya madawa yatumikayo kwa ajili kuondoa hali hiyo.

  1. Magonjwa Ya Muda Mrefu

 

Unapojisikia vibaya kutokna na athari za ugonjwa wa muda mrefu, kama vile maumivu makali ya muda mrefu, hamu ya kufanya tendo la ndoa hutoweka katika akili yako. Magonjwa fulani kama vile, salatani, yanaweza kupunguza pia uzarishaji wa viwango vya  mbegu au manii. Magonjwa sugu mengine ambayo yanaweza kusababisha ukakosa hamu ya tendo la ndoa ni pamoja na haya;

  • Kisukari aina ya 2
  • Uzito au kitambi
  • Shinikizo la juu la damu
  • Mafuta mengi mwilini
  • Mapafu, moyo, figo na ini kushindwa kufanya kazi

Type 2 diabetes: Stories from the community | Personal Transformation |  TransformingHealth.org

NUKUU: Kama unasumbuliwa na magonjwa sugu, basi nakushauri ufike hospitali muda ili uweze kupata ushauri. Unaweza pia kumuona mshauri wa ndoa kama vile Chris Mauki au daktari wa magonjwa ya uzazi.

  1. Umri Kuwa Mkubwa

 

Viwango vya homoni ya testosterone, ambavyo huambatana na kukosa hamu au hisia ya tendo la ndoa, huwa viko juu sana pale mwanaume anapokuwa bado katika hali yake ya ujana. Katika miaka ya uzee, mwanaume anaweza kuwa anachukua muda mrefu kufika kileleni pale anaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wake, na hivyo hata hisia zenyewe au nyege, nazo huchelewa kuzipata. Umme wake unaweza ukasimama lakini usiwe mgumu sana, na huchukua mud asana kuja kusimamisha uume wake.

NUKUU: Hata hivyo James Herbal Clinic tunazo dawa ambazo zina uwezo mkubwa wa kuondoa tatizo hili.

  1. Msongo Wa Mawazo

 

Ikiwa umetatizwa na hali au vipindi vyenye kutatanisha, basi hamu ya tendo la ndoa hupungua. Hii ni kwasababu msongo wa mawazo unaweza kuvuruga viwango vyako vya homoni. Mishipa yako ya ateri inaweza kusinyaa wakati wa msongo wa mawazo. Kusinyaa huku kwa mishipa huzuia damu kuweza kutiririka na hivyo kusababisha uume kushindwa kusimama.

Young Men And Depression - Where To Go For Advice in East BerkshireNUKUU: Hivyo basi, msongo wa mawazo unaathiri pande zote mbili; kwa mwanaume na mwanamke pia na kusababisha matatizo katika mambo ya ndoa. Msongo wa mawazo ni vigumu sana kuepukana nao. Matatizo ya mahusiano, kupeana talaka, kufiwa na mwenza uliyekuwa ukimpenda sana, matatizo ya kiuchumi kama vile kufirisiwa au mikopo, kufiwa na mtoto, ni baadhi ya matukio ya maisha ambayo yanaweza kuathiri hisia au hamu ya tendo la ndoa.

  1. Kufanya Mazoezi Kupita Kiwango Au Kutokufanya Mazoezi Kabisa

 

Kutokufanya mazoezi au kufanya mazoezi kwa kupita kiwango kunaweza pia kumfanya mwanaume kukosa hisia au hamu ya kufanya tendo la ndoa. Kutokufanya mazoezi kabisa kunaweza kumfanya mwanaume kuwa na matatizo ya kifya ambayo yanaweza kuathiri hisia za mapenzi na kukosa nyege kabisa.

Health & Wellness - India Herbs Blog: Health Article: Are you over- exercising?

NUKUU: Kufanya mazoezi kila mara kunaweza kupunguza hatari ya magonjwa sugu kama vile uzito kuwa mkubwa, shinikizo la damu, kisukari, ambayo yote huambatana na kupungukiwa  na hamu ya kufanya tendo la ndoa.

  1. Athari Za Kupungua Kwa Hisia Za Mapenzi Katika Mwili

 

Kupungua kwa hamu au hisia ya mapenzi kwa mwanaume kunaweza kumfanya asitulie. Kukosa hisia ya mapenzi kunaweza kupelekea mwanaume kuwa na athari kubwa katika mwili wake, hasa kupungukiwa nguvu za kiume, kushindwa kusimamisha uume kwa muda mrefu na hivyo kushindwa kumridhisha mwanamke. Kupungua kwa nguvu za kiume kunaweza kumsababisha mwanaume kuwa na wasiwasi wakati wa kufanya tendo la ndoa.

Men are having less sex...this is why - The Big SmokeNUKUU: Hali hii inaweza kupelekea ugomvi kati yake na mke au mwenza wake, hali ambayo inaweza kusababisha kuwa na michepuko nje ya ndoa au kuwa na wapenzi wengi. Kushindwa kufika kileleni kutokana na kukosa nguvu za kiume kunaweza kusababisha kuhisi huzuni, kutokujiamini, na mwili kuharibika.

Mtazamo Unaotakiwa Kuufuata

 

Kutibu tatizo la kukosa hisia za mapenzi mara nyingi hutegemeana na visababishi vyake. Kama hali ya kukosa hisia inasababishwa na matatizo ya kiafya, utahitahi utumie tiba. Laikini kama tatizo hilo limesababishwa na mambo ya kisaikolojia, basi utahiji kumtembelea mshauri wa mambo ya ndoa.

Unaweza pia kuchukua hatua ya kuongeza uwezo wa hisia za mapenzi wewe mwenyewe. Mambo yafuatayo yana uwezo mkubwa wa kuongeza hisia za mapenzi;

  • Kuishi mtindo mzuri wa maisha
  • Kupata muda mwingi wa kusinzia
  • Kula vyakula vyenye virutubishi vingi
  • Kutembelea maeneo mazuri kama vile kutali, nk.

 

Wapedwa kwa leo naomba niishie hapa katika makala hii, niwatakie siku njema wote mnaopitia makala hii.

Je, Unahitaji Huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626,

Arusha-Mbauda

Pia tunatoa masomo mbalimbali juu ya matatizo ya uzazi kwa njia ya whatssap na telegram. Hivyo unaweza ukatuma namba yako ukaunganishwa na darasa letu ukapata mafunzo na ushauri bure.

 

Karibuni sana

 

 

One thought on “ZIJUE SABABU ZINAZOMFANYA MWANAUME KUTOKUWA NA HISIA AU HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA.

  1. Binafsi ,najisikia usingizi sana ,ingawa nalala,pia nimepoteza hisia kabsa Leo ni siku ya 4 sjamgusa mke wangu hata alipo nichokoza uume haukuaimama kisawasawa na kujikuta Sina hamu kabsa .
    Shida inaweza kuwa ni nini.kimsingi Sina magonjwa yeyote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *