JE, NINI HUMFANYA MWANAMKE KUTOKWA NA DAMU UKENI BAADA YA TENDO LA NDOA?

Mwanamke kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa ni jambo la kawaida. Ingawa mara nyingi huitwa kutokwa na damu ukeni, lakini mara nyingi hali ya kutokwa na damu kwa wanawake wenye umri mdogo hutokea kwenye mlango au shingo ya kizazi. Hata hivyo maeneo mengine ya sehemu za siri za mwanamke pamoja na mfumo wa mkojo nazo zinaweza kuhusika.

Zipo sababu nyingi kwanini mwanamke hutokwa na damu baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa. Tatizo hili kitaalamu tatizo hili huitwa, “Postoital bleeding.”

Post-coital dysphoria: HALF woman in Britain suffer sexual ...

NUKUU: Kama unatokwa na damu ukeni baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa, basi jitahidi kutafuta ushauri hospitali kwa daktari wa mambo ya uzazi.

Je, Ni Husababisha Damu Kutoka Ukeni?

Kutokwa na damu ukeni baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa, huwa ni ishara au dalili magonjwa haya yafuatayo:

  • Salatani ya mlango wa kizazi
  • Kuvimba kwa mlango wa kizazi
  • Maambukizi katika via vya uzazi(PID)
  • Maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile pangusa, nk
  • Uke kukauka kutokana na kupungua kwa ute au kukoma kwa hedhi
  • Kuharibika kwa uke kutokana na msuguano wakati wa tendo la ndoa
  • Kuchubuka kwa shingo au mlango wa uzazi
  • Mzunguko wa hedhi kubadirikabadirika
  • Vidonda ukeni vitokanavyo na maambukizi ya zinaa
  • Salatani ya tumbo la uzazi
  • Mlango wa kizazi kutokeza nje ya uke

 

Bleeding After Sex: Causes, Risk Factors, and More

 

NUKUU: Kwa mifano hii, kutokwa kwa damu baada ya tendo la ndoa kunaweza kuwa ni ishara ya salatani ya uke au mlango wa kizazi.

Je, Vipimo Vyake Hufanyikaje?

 

Kutegemeana na dalili zozote zingine pamoja na historia ya matibabu uliyowahi kutumia, basi daktari anaweza kupendekeza baadhi ya vipimo kama vile;

 

  • Vipimo vya uzazi au ujauzito(kutegemeana na umri wako)
  • Vipimo kwenye nyonga ambapo daktari huingiza vidole viwili ukeni
  • Kuangalia kwenye mlango wa uzazi kwa kutumia chombo kiitwacho, “speculum.

NUKUU: Kama tatizo linasababishwa na ukavu wa uke, basi wanaweza kupendekeza kwamba ujaribu kutumia mafuta kupakaa ukeni wakati unapotaka kufanya tendo la ndoa.

 

Vipimo Vya Uchunguzi Wa Shingo Ya Mlango Wa Uzazi

 

Yafaa kwamba wanawake wote wenye umri kuanzia miaka 25-64 waweze kupata vipimo mara kwa mara kwa ajili ya shingo ya kizazi ili kusaidia kuzuia salatani ya shingo ya kizazi.

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626,

 

 

Arusha-Mbauda

 

Pia tunatoa ushauri bure na masomo ya afya kila siku katika GROUP letu katika mtandao wa TELEGRAM. Unahitaji kujiunga na darasa letu, tuma namba yako ya WHATSSAP tuweze kukupatia link yetu.

 

Karibuni sana!

 

83 thoughts on “JE, NINI HUMFANYA MWANAMKE KUTOKWA NA DAMU UKENI BAADA YA TENDO LA NDOA?

  1. Hellow habali ,mimi mkewangu anatatizo hilo kipi nifanye ? Naombeni ushauri.

    Whatsapp number
    0623629321
    Naombeni msaada.

  2. Habari, mm ni binti wa miaka 21 nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu nikimaliza hedhi hata kabla ya hedhi sio nyingi sana lakini ni ya utelezi ,kila nikipimwa naambiwa ni uti natumia dawa lakin shida inarudi ,nilikua naomba ushauri

  3. Habari mm ni binti wa miaka 21 nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu kabla ya hedhi na hata baada ya hedhi nilikua naomba ushaur na piah wakati nashiriki tendo piah natokwa na damu sio mara zote lkn

      1. Hapana sijawah ila mara ya mwisho nilienda hospital nikaambiwa hormone imbalance nikapewa dawa tuuu trust lily lkn hali inaendelea

  4. Habari ndugu,naomba ushauri kila nikisex natokea na damu ndani ya siku mbili hivi, alafu tumbo linakuwa linauma Sana Tena Sana ila baada ya siku hizo mbili tumbo linakuwa limepoa, pili, siku zaku haziemdi SawA siku zote, tatu bado sijapata mtoto, me, ute wauzazi siupati na nimuda Sana, naomba ushauri wako nini nifanye, nini nitumie Asante

  5. Natokwa na damu pindi nafanya tendo la ndoa na kuhis maumiv makali chini Ya kitovu jehh nini shidahh???

    1. Pole sana Maliam hizo ni dalili za PID pia na mirija kuziba. Unaweza ukatuma namba yako ya whatssap ili tuweze kukuunganisha na darasa letu

  6. Mke wangu jana katokwa na damu wakati ninamaliza tendo na akasema hana maumivu yeyote na anasema haijawah kumtokea
    Tatizo inaweza kuwa ni nini

    1. Pole sana, uliwahi kupima tumbo lako la uzazi? Hizo ni dalili za kuziba kwa mirija ya uzazi. Unaweza ukatuma namba yako ya whatssap ili uweze kuunganishwa na darasa letu

  7. Habari,naomba kusaidiwa jambo, mchumba wangu anasumbu na kutokwa damu ukeni na maumivu ya tumbo, na kichefuchefu pia na hii imetokea mara baada ya kukutana kimwili Kwa muda wa siku Tano mfululizo na baada ya sikunya Tano kuuma kitovu na kutapika kukaanza, siku ya sita mida kabla ya mchana ndio amenzwa na hiyo shida itakua ni nini doctor?

    1. Pole sana, je aliwahi kupima tumbo lake la uzazi? Pia unaweza ukatuma namba yako ya whatssap tukakuunganisha na darasa letu

  8. Habare ,nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu nikishiriki tendo la ndoa na kila asubuh nikiamka kipind ambacho sio cha hedhi je ni ishara ya nn

  9. habar mm nan mchumba wangu shida iliyopo n kwamba tukikutana kwenye tendo hutokwa na damu sijaelewa nn tatizo.

  10. Habare, minasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu ukeni kipind sio cha hedhi nilienda hospital nikaambiwa sina shida ila hormone hazija balance nikapewa dawa nitumie miez mitatu ila shida bado inaendelea na wakati wa kushiriki tendo damu inatoka tuuuu naomba ushaur maana nimeshakata tamaa

  11. Hali hii imenitokea hiv karibuni nikifanya tendo la ndoa damu inatoka kdogo, na sihisi maumivu yoyote na hii imetokea baada ya mwezi mmoja wa kukosa hedhi ila sina mimba je shida itakuwa nni? 0747429813

  12. Hali hii inatokea hiv karibuni nikifanya tendon la ndoa damu inatoka kidogo, na sihis maumivu yyte na period yang haieleweki inaweza kutoka kidogo au isitoke kabisa naomb kuunganishwa Kweny darasa 0717535516

  13. Mm hutokea pia hali hii ingawa sio mala kwa mala pia mzunguko wangu wa hedhi umevurugika, napata damu kidogo wakati wa hedhi naomba uniunge kwenye group lako tafadhari.

  14. Nina miak 20 n Mara ya pili kufany mapenz na nkimaliza natokwa na damu kidogo je? Nini shida. 0653792147

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *