ZIJUE DALILI ZA KUTOKUWA NA UWIANO SAWA WA HOMONI(HORMONAL IMBALANCE).

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

 

Kwa kawaida dalili zake huwa ni tumbo kuunguruma, kuhisi uchovu wa mwili, nywele kunyonyoka, moyo kupepesuka, kukosa hamu ya tendo la ndoa, matatizo ya sukari kwenye damu, ugumba, nk. Hizo ni dalili chache tu nimependa kukuelezea juu ya kutokuwa na uwiano sawa wa homoni(hormonal imbalance).

11 unexpected signs of hormonal imbalance | Northwell Health

NUKUU: Lakini kumbuka kuwa vitu hivyo nilivyovitaja huathiri kila seli pamoja na mfumo wa mwili. Hali ya kutokuwa na uwiano sawa wa homoni inaweza kukudhoofisha au ukaugua. Baadhi ya mabadiriko ya homoni huwa ni ya kawaida, kama vile mabadiriko ya mzunguko wa hedhi kila mwezi pamoja na upevushaji mayai au mabadiriko ambayo hujitokeza wakati wa ujauzito. Hali ya kukoma hedhi ni muda mwingine kwa ajili mabadiriko ya kawaida ya homoni katika maisha ya mwanamke. Wanawake wengi wanaweza kupatwa na hali ya unene au uzito kuwa mkubwa, kutokwa na jasho jingi wakati wa usiku na kutokuwa na hisia za mapenzi wakati huo unapowadia.

 

Je, Vipindi Vya Hedhi Vinapobadirika Vinakuwaje?

 

Wanawake wengi wana mizunguko ya hedhi ambayo huchukua muda wa siku 21 na 35. Karibia robo ya wanawake huwa wanapatwa na hali ya vipindi vya hedhi kubadirika badirika. Hii inamaanisha kwamba mwanamke anakuwa na kipindi cha hedhi kifupi au kirefu kuliko kawaida au vipindi vya hedhi ambavyo humfanya kutokwa na damu nyepesi au kutokwa na damu muda mrefu kuliko kawaida. Baadhi ya wanawake wenye vipindi vya hedhi vyenye kubadirika wanaweza kupatwa na matatizo ya tumbo la chini kuunguruma au mayai kutokupevushwa.

Air pollution and noise could be causing diabetes in pregnant women

NUKUU: “Amenorrhea” ni neno la kitaalam ambalo humaanisha kukosa vipindi vya hedhi takribani miezi mitatu huku mwanamke akiwa sio mjamzito. “Menorrhagia” ni msemo wa kitabibu ambao humaanisha kutokwa na damu nyingi ya hedhi tena kwa muda mrefu.

 

Dysmenorrhea  humaanisha kuwa na maumivu na vichomi wakati wa vipindi vya ujauzito. Kipindi kirefu cha hedhi huwa ni kutokwa na damu ya hedhi kwa muda mrefu ambapo kipindi huchukua siku 8 au zaidi.

 

“Oligomenorrhea”  huwa ni hali ambayo vipindi vya hedhi hutokea kwa kurukaruka au zaidi ya kila siku 35. Nipende kukushauri tu kuwa fika hospitali haraka ikiwa kama unaamini kuwa hali ya kutokuwa na uwiano sawa wa homoni unaathiri mzunguko wako wa hedhi.

 

Je, Homoni Ya Progesterone Hukusaidia Kupata Usingizi Mnono?.

 

Kama unashindwa kusinzia au kupata kiwango kizuri cha usingizi, basi uwiano wa homoni unapaswa ulaumiwe. Progesterone ni moja ya homoni inayotengenezwa  na vifuko vya mayai ambayo hukusuadia kupata usingizi mnono. Kiwango kidogo cha homoni ya progesterone kinaweza kumfanya mwanamke akashindwa kulala na kupata  usingizi.

Lack Of Sleep And Hormone Havoc - Girls Gone Strong

NUKUU: Uchunguzi unaonyesha kuwa, wanawake wanaokaribia kukoma hedhi hupungukiwa na kiwango cha homoni ya progesterone. Hivyo, hali hii huchangia mwanamke kupatwa na jasho jingi mida ya usiku, ambayo mara nyingi humfanya mwanamke hukosa usingizi. Uonapo hali kama hii tafadhali fika hospitali ukaweze kupata vipimo haraka.

 

Je, Hali Ya Kutokuwa Na Uwiano Sawa Wa Homoni Inaweza Kusababisha Chunusi Usoni?

 

Wanawake wengi hutokwa na chunusi kila mwezi kabla au wakati wa kipindi cha hedhi. Hata hivyo chunusi sugu ni kitu tofauti. Chunusi ambayo huwa haiishi inaweza kutokana wingi wa androgen, homoni ya kiume kama vile testosterone kwa wanawake wanaume pia. Kiwango kikubwa cha androgen hutengeneza  mafuta ili kuzarisha chunusi. Androgen pia huathiri seli za ngozi ambazo huweka vinyweleo. Mafuta mengi pamoja na mabadiriko ya seli ya ngozi hurundikana kwenye vishimo na kusababisha chunusi.

 

Ukifika hospitali, daktari anaweza kukupangia utumie vidonge vya mpango wa uzazi, corticosteroids kama vile prednisone (anti-inflammatory medications), vidonge kwa ajili ya kuongeza nguvu  ya androgen ili kutibu matatizo ya homoni yanayosababisha chunusi.

Things To Look For When Selecting A Discomfort Doctor – Elements ...

Kuongezeka kwa androgen, kiwango kikubwa wakati mwingine huonyesha dalili za vivimbe kwenye vifuko vya mayai. Wanawake wenye vivimbe kwenye vifuko vya mayai wanaweza kupatwa na hali ya kutokushika ujauzito. Kiwango kikubwa cha homoni ya insulin kinaweza kuamusha uzarishaji wa androgen na kinaweza kuambatanishwa na hali ya kuzuia insulin. Kupungua kwa uzito wa mwili kunaweza kusaidia kurudisha hali ya kuzuia insulin.

NUKUU: Lakini JAMES & FERDINAND HERBAL CLINIC tunakushauri utumie dawa za asili ambazo zina uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya homoni nazo ni, CARD HERB, REDEEMER, MOTHER MEDICINE na VITAMAKA.

 

Je, Kutokuwa Na Uwiano Sawa Wa Homoni Kunaweza Kusababisha Hali Y a Uchovu Wa Mwili?

Uchovu huwa ni dalili za kawaida ambazo zinaweza kuwa na visababishi vingi. Kama vile homoni ya progesterone inapopungua na kuweza kusababisha kukosa usingizi, vile vile homoni ya progesterone inapokuwa nyingi inaweza kuufanya mwili kuwa mchovu.

Hali ya kawaida ya homoni isiyokuwa na uwiano sawa ambayo husababisha uchofu huwa ni kushuka kwa viwango vya homoni ya thyroid. Hali hii hupimwa kwa urahisi sana kupitia kipimo cha damu. Ikiwa kama kiwango chako kiko chini, unaweza ukachukua utaratibu wa matibabu ili kurejesha upya hali ya mwanzo ya mfumo wa homoni.

 21 ways to fall asleep naturally backed by science

NUKUU: Bila kujali hali yoyote yakutokuwa na uwiano sawa wa homoni unaoweza kutokea, unapaswa kupata usingizi mnono kila siku. Hii inamaanisha kuwa unapoenda kulala na kuamka masaa yasiyopishana kila siku hata kama ni siku  ya kupumzika. Jiepushe na ulevi wa pombe, unywaji wa kahawa, pia mazoezi wakati wa mchana. Imarisha tabia ya kulala usingizi mnono ili kuupatia mwili wako afya njema. Oga maji vuguvugu uamkapo, kunywa chai ya mdarasini na tangawizi na uhakikishe unaongeza asali, au sikiliza miziki yenye kuliwaza.

Je, Kukosa Nguvu Za Kiume Zaweza Kusababishwa Na Homoni Kushuka?

 

Homoni testosterone inaonekana kuwa ni homoni ya kiume, lakini wanaume na wanawake wana homoni hii. Kushuka kwa homoni ya testosterone kunaweza kusababisha kupungukiwa kwa hisia za mapenzi, yaani hamu ya tendo la ndoa inatoweka.

Kiwango kidogo cha homoni ya testosterone kinaweza kusabisha kupungukiwa hamu ya tendo la ndoa.

Je, Tunaondoaje Hali Ya Kutokuwa Na Uwiano Sawa Wa Homoni?

James & Ferdinand Herbal Clinic tuna dawa nzuri zenye uwezo wa kurejesha mfumo wa homoni kuwa katika uwiano sawa, nazo ni REDEEMER, MOTHER MEDICINE, na CARD HERB.

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626

 

Arusha Mbauda

 

Karibuni sana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *