Ni kweli kwamba watu wengi tunapenda kununua vyakula kutoka “supermaket” kutokana na ubora wa bidhaa zake na wakati mwingine hata unafuu wa bei. Lakini ni vyema kujua pia kuwa siyo vyakula vyote vilivyomo humo ni vizuri kiafya. Katika makala ya leo, nakuletea orodha ya baadhi ya vyakula maarufu vinavyopatikana kwenye…
Mambo 12 Yanayosababisha Shinikizo La Juu La Damu (High Blood Pressure)
Na ieleweke kuwa, moyo ni msuli ambao husukuma damu na kuifanya isafiri mwili mzima. Damu inayokuwa na kiwango kidogo cha oksijeni husukumwa kuelekea kwenye mapafu, ambapo hewa ya oksijeni hujazwa tena. Hivyo basi, hewa ya oksijeni inapoingia kwenye damu husukumwa tena na moyo na kusafirishwa kila mahali mwilini mwako. Ile…
Vyakula Vinavyotuua Kimyakimya Bila Kujua Katika Mazingira Tunayoishi.
Tukumbuke kwamba uzima wa mtu unategemea sana kinga aliyonayo mwilini, kinga ambayo hujengwa na ulaji wa vyakula vyenye virutubisho vya aina mbalimbali. Kwa namna ambavyo Mungu ametuumba, mwili unapaswa kujilinda wenyewe dhidi ya maradhi ya kila aina, iwe ni uvimbe tumboni, magonjwa ya moyo, kisukari, homa, magonjwa ya maambukizi, nk.…
Je, Uvimbe Kwenye Tumbo La Uzazi (Fibrodi), Unaweza Kusababisha Mwili Kuwa Mnene Sana?
Wanawake wengi wanahitaji kufahamu, je vivimbe vya fibroid husababisha uzito wa mwili kuongezeka? Ndiyo, vivimbe vya fibroid vinaweza kusababisha kuwa mnene sana na uzito wa mwili kuongezeka moja kwa moja na kwa njia isiyo ya moja kwa moja. Visababishi Vya Vivimbe Vya Fibroid, Je Vinaweza Kuufanya Mwili Kupata Uzito Wa…
Fahamu Dalili 5 Za Kuvimba Kwa Mishipa Ya Korodani (Varicocele)
Je, Nini Maana Ya Varicocele? Varicocele ni kutuna kwa mishipa ya ndani ya pumbu inayobeba korodani (scrotum). Mishipa hii husafirisha damu iliyopungukiwa na oksijeni kutoka kwenye korodani. Varicocele hutokea wakati damu inapoingia kwenye mishipa badala ya kuzunguka kwa ufanisi nje ya korodani. Kwa kawaida varicoceles huanza wakati wa kubalehe na huendelea kukua. Kutuna…
Faida 9 Za Dawa Ya REDEEMER Katika Magonjwa Ya Mfumo Wa Uzazi
Redeemer ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa asali mbichi pamoja na mimea mbalimbali ya asili. Dawa hii husaidia kuondoa matatizo sugu na ya kawaida pia. Husaidia watu wa jinsia zote. Kwa kawaida dawa ya REDEEMER hutibu magonjwa mengi sana, lakini leo nitakuonyesha baadhi tu kama haya yafuatayo: Huondoa Na…