Aina 5 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Wakati Unapokuwa Na Presha Ya Kupanda!

Nchini Marekani, takribani mtu mmoja kati ya watu watatu  anaishi na shinikizo la damu yaani presha ya kupanda, ndiyo sababu mada ya mapendekezo ya chakula kwa shinikizo la damu inazidi kuwa maarufu zaidi siku hizi tulizo nazo. Kwa kawaida kutotumia mboga na matunda ya kutosha kunaweza kusababisha kuwepo kwa sodiamu nyingi na kupungukiwa…

Fahamu Dalili Na Madhara Ya Uvimbe Wa Utando Wa Ukuta Wa Ndani Wa Mfuko Wa Uzazi (Endometritis)

Endometritis ni kuvimba au kuharibika kwa utando au ukuta wa ndani wa tumbo la uzazi (uterus).Endometritis husababishwa na maambukizi kwenye mfuko wa uzazi. Inaweza kuwa kutokana na pangusa (chlamydia), kisonono (gonorrhea), au mchanganyiko wa bakteria wa kawaida ukeni. Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea baada ya kuharibika kwa mimba au unapojifungua. Pia ni kawaida…

Fahamu Dalili 9 Za Vivimbe Maji Kwenye Figo

Ugonjwa wa vivimbe maji kwenye figo huwa ni kundi la vifuko vilivyojaa majimaji (cysts) ndani au karibu na figo zako. Vivimbe hivi vinaweza kuzuia figo zako kushindwa kuchuja taka, uchafu au maji mengi kutoka kwenye damu yako. Ugonjwa wa vivimbe kwenye figo unaweza kusababisha figo zako kushindwa kufanya kazi kabisa. Je, Ugonjwa Wa Vivimbe Kwenye Figo Unakuwa…