Je, Madhara Ya PID Isipotibiwa Yanakuwaje? Madhara kutokana na maambukizi ya PID ambayo hayajatibiwa yanaweza kuchukua miaka mingi kuendelea. Matokeo ya tatizo hili yanaweza kuwa yenye maumivu makali. Yanaweza pia kusababisha uharibifu wa kudumu katika viungo vya uzazi. NUKUU: Madhara yanaweza kusababisha hali ya ugumba. Mwanamke anapokaa muda mrefu na…
Haya Ndio Mambo 6 Yanayomfanya Mwanamke Kupatwa Na Tatizo La PID
Ugonjwa wa maambukizi katika via vyauzazi (PID) ni maambukizi ya mirija ya mayai (fallopian tubes), vifuko vya mayai (ovaries), mfuko wa kizazi (uterus) pamoja na shingo ya kizazi (cervix). Ugonjwa huu usipotibiwa unaweza kusababisha makovu ama tishu kuotea na ikiwa na mkusanyiko wa ute mchafu kama vile usaha kwenye mirija ya mayai, na hivyo kuharibu…
Fahamu Aina Ya Vivimbe Maji Kwenye Vifuko Vya Mayai (Ovarian Cysts), Dalili Zake Na Madhara Yake.
Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke. Uvimbe huu ambao hupatikana ndani ya mayai ya mwanamke ndio unaojulikana kama “ovarian cyst”. Uvimbe huu hutokea kwa wanawake wa umri wowote ule na mara nyingi huonekana kwa wanawake waliofikia kikomo…
Mambo Yanayomfanya Mwanaume Au Mwanamke Kushindwa Kupata Mtoto
Katika suala zima la ugumba kwa mwanaume na mwanamke lazima kuwepo na vigezo vya uchunguzi. Kwa mwanamke mambo ya kuangalia ni historia yake katika matumizi ya madawa ya tiba alipokuwa mdogo au hata kama mama yake aliwahi kutumia aina fulani za madawa wakati wa ujauzito. Wataangalia kama ulivunja ungo kwa…
Zijue Sababu Zinazofanya Uke Kutoa Sauti Wakati Unaposhiriki Tendo La Ndoa
Uke kutoa sauti ni pale hewa inapopita na kuingia ndani ya uke. Hewa inapopita, baadaye hutoka ukeni na inaweza kusababisha sauti sawa na kujaa gesi tumboni na kutoka kwenye njia ya haja kubwa(kujamba). Kwa kawaida ni tukio la kawaida, na huwa ni hali inayojitokeza kwa nadra sana. Hata hivyo inaweza…
Fahamu Dalili 9 Za Kuziba Kwa Mirija Ya Uzazi
Kupima na kutambua tatizo lako la uvimbe kwenye mayai ni jambo la muhimu sana kwa ajili ya tiba, lakini wakati mwingine huwa ni rahisi sana kushindwa kuzigundua dalili hizi. Sasa hebu tuangalie jinsi zinavyokuwa: Hivi leo tunaona idadi kubwa ya wanawake wamekuwa wakiathiriwa sana na ugonjwa wa uvimbe kwenye mayai…