Bawasiri ni uvimbe unaokuwa na mishipa iliyotuna ambayo hupatikana ndani au maeneo ya chini (njia ya haja kubwa). Kwa namna nyingine, bawasiri huwa haionyeshi dalili, na watu wengine hata hawatambui kuwa wanalo tatizo hilo. Walakini, dalili zinapotokea, zinaweza kuwa kama hivi: Kutokwa na damu kwenye njia ya haja kubwa baada ya kujisaidia Kuhisi…
Haya Ndio Madhara Ya Uvimbe Wa Fibroid Unaposhindwa Kutibiwa Mapema
Fibroid ni aina ya kawaida ya uvimbe. Takriban 40% hadi 80% ya watu wenye tumbo la uzazi wana uvimbe wa fibroid. Hali hii mara Mara hutokea kwa watu walio na umri kati ya miaka 30 na 50. Mabinti ambao badi hawajavunja ungo, wao hawapatwi na uvimbe wa fibroid. Pia tatizo…
Haya Ndio Mambo 13 Yanayomfanya Mwanamke Hedhi Yake Kujirudia Mara 2 Ndani Ya Mwezi Mmoja.
Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi huwa sio hali ya kawaida ya mzunguko wa hedhi kwa mwanamke. Hali hii inaweza kujitokeza kwa kutokwa na matone ya damu baada ya kutoka hedhini, na mara nyingi mwanamke hali hii anaweza kuiona akiwa chooni baada ya kujitawaza au kujipangusa, au anaweza akatokwa na…
Fahamu Mambo Yanayosababisha Bakteria Kwenye Kizazi Chako
Ugonjwa wa maambukizi kwenye via vya uzazi (PID) ni maambukizi yanayokuwa kwenye tumbo la uzazi la mwanamke (uterus), vifuko vya mayai (ovaries), au mirija ya uzazi. Je, Nini Visababishi Vyake? PID ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria. Wakati bakteria kutoka ukeni au mlango wa uzazi wanaposafiri na kuingia kwenye tumbo lako la…
Fahamu Aina Za Vivimbe Vya Fibroid, Dalili Na Tiba Zake.
Je, Fibroid Ni Nini? Fibroid ni tishu ndogo ambazo huanza kuota ndani ama nje ya tumba la kifuko cha uzazi la mwanamke. Na ieleweke kuwa, wakati mwingine uvimbe huu hukua na kuwa mkubwa zaidi na kusababisha Maumivu makali ya tumbo la chini na kutokwa na damu muda mrefu kipindi cha…
Haya Ndio Madhara 4 Ya Uvimbe Wa Fibroid Kwenye Tumbo La Uzazi.
Kwa kawaida uvimbe wa fibroid huota ndani au nje ya mfuko wa kizazi chako. Vivimbe hivi huanza kama seli moja, ambayo baadaye hukua na kuzaliana kwa wingi. Hatimaye, uvimbe wa fibroid huongezeka ukubwa, mahali popote ukianza kuwa na ukubwa wa peasi na hata kufikia ukubwa wa tikitiki maji. Pia vivimbe…