Fahamu Mambo Yanayosababisha Mwanamke Kutokwa Na Damu Ukeni Baada Ya Kushiriki Tendo La Ndoa.

Kutokwa na damu ukeni baada ya kumaliza kushiriki tendo la ndoa, kunaweza kuwa na sababu mbalimbali. Magonjwa yanayoathiri uke peke yake yanaweza kusababisha aina hii ya kutokwa na damu. Nayo huwa ni pamoja na haya yafuatayo: Kukoma kwa hedhi: Hali hii huambatana na ukuta wa uke kuwa mwembamba, mkavu na…

Hatari Ya Magonjwa Yasiyoambukizwa Na Jinsi Ya Kujiusha Nayo

Moja ya makosa makubwa ambayo watu wamekuwa wanafanya kwenye maisha yao katika karne hii ni kudharau mambo ambayo ni muhimu sana, lakini huja kujutia baadaye wakati wameshayapoteza. Huwa tunakazana kutafuta fedha na mali na kusahau vitu muhimu sana, ambavyo tumepewa bure kabisa, mpaka pale tunapovipoteza ndipo tunajua gharama yake halisi.…

Je, Kwanini Magonjwa Mengi Leo Yanatokana Na Ulaji Hasa Vyakula Vya Nyama?

Epuka Sana Ulaji Wa Nyama Ili Usipate Magonjwa Faida za kiafya na maisha ya Kanisa la Waadventista Wasabato zimefuatiliwa hadi jinsi wanavyoishi na kula. Tangu miaka ya 1800, Waadventista Wasabato wametekeleza siri nane za afya ambazo hupunguza hatari yao ya ugonjwa wa moyo na saratani … sababu mbili kuu za…

Zijue Faida Za Mwanamke Anapofika Kileleni

Je, unajua kwamba kuna faida mbalimbali za kiafya kwa mwanamke kufika kileleni? Hapa ninakuletea umuhimu wa mwanamke kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa: Huondoa Maumivu Kufika kileleni humsaidia mwanamke kuondokana na maumivu mbalimbali anayoweza kuwa anayahisi mwilini mwake. Hutoa oxtin ambayo husaidia kutoa homoni ya endorphin mwilini. Homoni ya…

Je, Unaweza Kupata Ujauzito Huku Ukiwa Na Maambukizi Ya UTI?

Maambukizi ya UTI, kusema kweli hakuna mtu anayeweza kuwaza kwamba tatizo hili haliwezi kumpata. Maambukizi haya yanaweza kusababisha dalili za masumbufu kiasi kwamba zinaweza kuvuruga utaratibu wa siku moja baada ya nyingine. Lakini kuna wakati ambapo maambukizi ya UTI yanapokuwa yanakupatia changamoto hasa pale unapokuwa ukijaribu kupata mimba. Kutibu maambukizi…