JE, KUPATA HEDHI MARA 2 KWA MWEZI NI JAMBO LA KAWAIDA? JE, NINI HUSABABISHA NA NINI MADHARA YAKE?

Ni kawaida kabisa mwanamke kupata mzunguko wa hedhi wa siku 23-38, na hata mabinti nao pia hupata mizunguko yenye urefu wa siku kama hizo. Lakini kumbuka kila mwanamke ana utofauti wake, na kila mzunguko wa mtu unaweza kutofautiana kuanzia mwezi mmoja hadi unaofuata. Katika vipindi vya miezi kadhaa, mzunguko wako…

JE, NINI MAANA YA KUTOKUWA NA UWIANO SAWA WA HOMONI KWA WANAWAKE(HORMONAL IMBALANCE)?

Hali ya kutokuwa na uwiano sawa(hormonal imbalance) kwa wanawake hutokea pale vichocheo au homoni zinapopanda sana au kushuka sana kufikia viwango vya chini kwenye mkondo wa damu. Vichocheo au homoni huwa ni kemikali zinazozarishwa na tezi katika mfumo wa endocrine zinazoambia seli, tishu, pamoja na viungo, kitu gani cha kufanya.…

JE, NINI TOFAUTI KATI YA MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI NA MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO AU UTI?

Je, Nini Tofauti?   Kama ukipata masumbufu katika njia za siri au wakati unapokojoa, tambua kuwa una maambukizi. Aina mbili za maambukizi ambazo kwa kawaida huathiri maeneo haya huwa ni maambukizi katika njia ya mkojo au UTI pamoja na maambukizi ya fangasi. Aina hizi za maambukizi huwapata wanawake, lakini wanaume…