Watu wengi wenye ugonjwa wa pumu pia wana matatizo sugu ya muda mrefu ya pua na njia ya hewa. Matatizo haya yanaweza kuwa ni: Kuvimba kwa tishu puani(rhinitis) Kuvimba kwa tishu kwenye njia ya hewa ndani ya mifupa usoni mwako(sinusitis) Kuvimba kwa njia ya hewa pamoja na tishu za puani.…
ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA MLANGO WA KIZAZI KULEGEA(INCOMPETENT CERVIX). JE, NINI MADHARA YAKE?
Mlango wa kizazi kulegea, pia huitwa mlango wa kizazi kutokuwa na uwezo, ni hali ambayo hutokea pale tishu dhaifu za mlango wa kizazi zinaposababisha au kuchangia kujifungua mtoto kabla ya muda wake au kuharibika kwa mimba. Kabla ya ujauzito, mlango wako wa kizazi, yaani sehemu cha chini ya mji wa…
JE, UNAJUA CHANZO CHA KIKOHOZI KIKAVU? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE?
Kikohozi kikavu ni kikohozi ambacho hudumu kwa muda wa wiki nane au kwa muda mrefu mara kinapompata mtu mwenye umri mkubwa, au wiki nne kwa watoto wadogo. NUKUU: Kikohozi kikavu ni hali ambayo inapompata mtu humfanya kukereka mno. Hali ya kikohozi kikavu inaweza kumfanya muhusika akakosa usingizi kabisa na akajisikia…
ZIJUE SABABU ZA TUMBO KUJAA GESI, DALILI NA MADHARA YAKE.
Chakula kutokusagwa au mchafuko wa tumbo ni msemo wa kawaida ambao huelezea masumbufu ndani ya tumbo lako la juu. Chakula kutokusagwa sio ugonjwa, bali kuna baadhi ya dalili unaweza kuzipata, ikiwa pamoja na maumivu ya tumbo na kujisikia tumbo kujaa gesi muda mfupi tu unapoanza kula. Ingawa hali ya tumbo…
ZIJUE SABABU NYINGI ZINAZOPELEKEA WANAWAKE WENGI KUTOKUSHIKA UJAUZITO?
Mwanamke kutokushika mimba kumegawanyika katika makundi makuu mawili. Kwanza ni hali inayoitwa “Primary infertility” ambapo mwanamke hana historia ya kupata ujauzito. Pili, kuna hali inayoitwa Sekondari infertility, hapa mwanamke anayo historia kama aliwahi kupata ujauzito haijalishi kama alizaa au alitoa ama iliharibika. NUKUU: Matatizo ya kutoshika mimba kitaalamu tunaita ‘infertility’…
FAHAMU VYANZO VYA UGONJWA WA KIFUA KIKUU(TB), DALILI ZAKE, MADHARA YAKE NA TIBA YAKE.
Kifua kikuu(TB) ni ugonjwa unaweza kuwa mbaya kabisa ambao huathiri sana mapafu. Bakteria wanaosababisha ugonjwa wa kifua kikuu(TB) husambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia matone madogo ya mate yanayotolewa baada ya kupiga chafya au kukohoa. Mara chache katika nchi zilizoendelea, maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu yalianza…