Ikiwa kama kila ukifanya tendo la ndoa halafu mwanaume unatokwa na mbegu dakika chache mara baada ya kumaliza tendo la ndoa hata kama hajainuka kusimama, tambua kuwa hiyo ni dalili mojawapo mbegu za kiume sio bora. Ndugu msomaji naomba usome makala hii kwa makini kabisa mpaka uimalize halafu utambue suluhisho la tatizo hili.
Je, Ubora Wa Mbegu Za Kiume(Sperm Analysis) Unakuwaje?
Kwa kawaida kazi ya uchunguzi wa ubora wa mbegu za kiume hufanyika hospitalini ambapo mbegu zako za kiume huchukuliwa na kuchunguzwa na daktari mwenye uzoefu. Lakini inafahamika wazi kuwa unaweza kufanya tendo la ndoa kila siku za hatari kila siku na bado usimtungishe mimba mkeo ama mpenzi wako. Tatizo linaweza kuwa kwa baba au mama au wote wawili. Kwa upande wa mwanaume unaweza kujitambua kuwa huna mbegu bora kutokana na muonekano wa manii zako pamoja na kiasi cha shahawa kinachotoka katika kila tendo la ndoa moja.
Je, Unaweza Kuzitambuaje Mbegu Zako?
- Wingi wa Mbegu za Kiume
Mbegu za kiume kila tendo kamilifu moja linalofanywa zinatakiwa zisipungue milioni 40. Kiasi hiki sio rahisi kukitambua tu kwa macho. Lakini kila unapotoa uteute kidogo wa mbegu, basi kuna uwezekano wa kuwa na mbegu za kiume chache tu. Mshindo dhaifu au kufika kileleni haraka kirahisi rahisi ni moja wapo ya dalili kwamba mbegu unazotoa sio nyingi, inaweza kuwa na maji mengi badala ya kuwa na mbegu nyingi.
- Uzito wa mbegu za kiume na kuchelewa kuyeyuka
Kwa kawaida majimaji ya mbegu huwa na mbegu za kiume, na uteute huo huwa ni majimaji yanayobeba mbegu za kiume. Kazi ya uteute ni kusafirisha mbegu za kiume katika hali ya usalama mpaka kulifikia yai la mwanamke.
NUKUU: Ikiwa shahawa zitakuwa nyepesi, basi ndipo hutengena na mbegu haraka mno mara tu zinapotoka nje, na hivyo kuathiri uwezo wa mbegu kusafiri haraka na kulifikia yai.
- Uwezo wa mbegu kuogelea na kwenda mbele
Kwa kawaida mbegu za mwanaume zenye afya bora zina kichwa kikubwa kilichochongoka na mkia mrefu unaoanza mkubwa kichwani na kuishilia mdogo mkiani. Sifa hizi zinazipatia mbegu uwezo wa kuogelea kwenda mbele katika mstari ulionyooka. Lakini ikiwa kama mbegu za mwanaume zitasafiri katika mstari wa kupindapinda au maumbomaumbo, basi ndipo hupoteza uwezo wa kufika haraka ili kuliwahi yai. Hii ni kwasababu zinachoka haraka. Mbegu zinazoenda katika mstari mnyoofu zinawahi kufika kwakuwa safari inakuwa ni fupi tu.
- Uwezo wa kuishi
Mbegu bora inafaa iishi sio chini ya masaa 72 kuanzia muda ule inapotoka kwa mwanaume na kuingia kwa mwanamke, maisha mafupi ya mbegu yanaifanya mbegu kuwa na wakati mgumu wa kuliwahi yai ili kulirutubisha.
- Rangi ya mbegu
Kwa kawaida uteute wenye mbegu zilizo bora huwa una rangi nyeupe inayoelekea kuwa ya kijivu, na kwa wazee inakuwa nyeupe na kuelekea kuwa ya njano. Kwahiyo huwezi kuona rangi hii mara kwa mara kwasababu mbalimbali za kiafya, hasa kutokana na ulaji wa chakula na hali ya hewa. Lakini kwa watu wazima kuanzia miaka 40 kwenda juu, ni kawaida sana kuonekana wenye rangi nyeupe au njano.
Je, Nini Chakufanya Unapoona Dalili Hizi?
Unapoona dalili hizi au unapopimwa na kukutwa na dalili hizi, ikiwa kama ndoa yako upatikanaji wa mimba unakuwa mgumu, na ikiwa kama mama mara kwa mara hujikuta mbegu za kiume zinamtoka na kuchuruzika muda mchache mara baada ya tendo la ndoa, basi tambua kuwa ubora wa mbegu zako ni mdogo na kwahiyo unahitaji utatuzi wake. Hivyo basi, unashauriwa kula kutumia tiba huku ukila vyakula vyenye wingi wa madini ya Zinki na Chuma.
Tahadhari
Unashauriwa usitumie pombe, sigara, madawa ya kulevya, kupiga punyeto, ulevi wa kupindukia, nk.
Je, unahitaji huduma? Tupigie: 0752389252 au 0712181626
Karibuni sana