Ikiwa kama kila ukifanya tendo la ndoa halafu mwanaume unatokwa na mbegu dakika chache mara baada ya kumaliza tendo la ndoa hata kama hajainuka kusimama, tambua kuwa hiyo ni dalili mojawapo mbegu za kiume sio bora. Ndugu msomaji naomba usome makala hii kwa makini kabisa mpaka uimalize halafu utambue suluhisho la tatizo hili.
Je, Ubora Wa Mbegu Za Kiume(Sperm Analysis) Unakuwaje?
Â
Â
Â
Kwa kawaida kazi ya uchunguzi wa ubora wa mbegu za kiume hufanyika hospitalini ambapo mbegu zako za kiume huchukuliwa na kuchunguzwa na daktari mwenye uzoefu. Lakini inafahamika wazi kuwa unaweza kufanya tendo la ndoa kila siku za hatari kila siku na bado usimtungishe mimba mkeo ama mpenzi wako. Tatizo linaweza kuwa kwa baba au mama au wote wawili. Kwa upande wa mwanaume unaweza kujitambua kuwa huna mbegu bora kutokana na muonekano wa manii zako pamoja na kiasi cha shahawa kinachotoka katika kila tendo la ndoa moja.
Je, Unaweza Kuzitambuaje Mbegu Zako?
Â
Â
Â
Â
- Wingi wa Mbegu za Kiume
Â
Â
Â
Mbegu za kiume kila tendo kamilifu moja linalofanywa zinatakiwa zisipungue milioni 40. Kiasi hiki sio rahisi kukitambua tu kwa macho. Lakini kila unapotoa uteute kidogo wa mbegu, basi kuna uwezekano wa kuwa na mbegu za kiume chache tu. Mshindo dhaifu au kufika kileleni haraka kirahisi rahisi ni moja wapo ya dalili kwamba mbegu unazotoa sio nyingi, inaweza kuwa na maji mengi badala ya kuwa na mbegu nyingi.
- Uzito wa mbegu za kiume na kuchelewa kuyeyuka
Â
Â
Kwa kawaida majimaji ya mbegu huwa na mbegu za kiume, na uteute huo huwa ni majimaji yanayobeba mbegu za kiume. Kazi ya uteute ni kusafirisha mbegu za kiume katika hali ya usalama mpaka kulifikia yai la mwanamke.
NUKUU: Ikiwa shahawa zitakuwa nyepesi, basi ndipo hutengena na mbegu haraka mno mara tu zinapotoka nje, na hivyo kuathiri uwezo wa mbegu kusafiri haraka na kulifikia yai.
- Uwezo wa mbegu kuogelea na kwenda mbele
Â
Â
Kwa kawaida mbegu za mwanaume zenye afya bora zina kichwa kikubwa kilichochongoka na mkia mrefu unaoanza mkubwa kichwani na kuishilia mdogo mkiani. Sifa hizi zinazipatia mbegu uwezo wa kuogelea kwenda mbele katika mstari ulionyooka. Lakini ikiwa kama mbegu za mwanaume zitasafiri katika mstari wa kupindapinda au maumbomaumbo, basi ndipo hupoteza uwezo wa kufika haraka ili kuliwahi yai. Hii ni kwasababu zinachoka haraka. Mbegu zinazoenda katika mstari mnyoofu zinawahi kufika kwakuwa safari inakuwa ni fupi tu.
- Uwezo wa kuishi
Â
Â
Â
Mbegu bora inafaa iishi sio chini ya masaa 72 kuanzia muda ule inapotoka kwa mwanaume na kuingia kwa mwanamke, maisha mafupi ya mbegu yanaifanya mbegu kuwa na wakati mgumu wa kuliwahi yai ili kulirutubisha.
- Rangi ya mbegu
Â
Â
Â
Kwa kawaida uteute wenye mbegu zilizo bora huwa una rangi nyeupe inayoelekea kuwa ya kijivu, na kwa wazee inakuwa nyeupe na kuelekea kuwa ya njano. Kwahiyo huwezi kuona rangi hii mara kwa mara kwasababu mbalimbali za kiafya, hasa kutokana na ulaji wa chakula na hali ya hewa. Lakini kwa watu wazima kuanzia miaka 40 kwenda juu, ni kawaida sana kuonekana wenye rangi nyeupe au njano.
Je, Nini Chakufanya Unapoona Dalili Hizi?
Â
Unapoona dalili hizi au unapopimwa na kukutwa na dalili hizi, ikiwa kama ndoa yako upatikanaji wa mimba unakuwa mgumu, na ikiwa kama mama mara kwa mara hujikuta mbegu za kiume zinamtoka na kuchuruzika muda mchache mara baada ya tendo la ndoa, basi tambua kuwa ubora wa mbegu zako ni mdogo na kwahiyo unahitaji utatuzi wake. Hivyo basi, unashauriwa kula kutumia tiba huku ukila vyakula vyenye wingi wa madini ya Zinki na Chuma.
Tahadhari
Â
Unashauriwa usitumie pombe, sigara, madawa ya kulevya, kupiga punyeto, ulevi wa kupindukia, nk.
Je, unahitaji huduma? Tupigie: 0752389252 au 0712181626
Karibuni sana
Nashukuru kwa ushauri wenu mm nikijana nina miaka 23 hivi leo nimeona nisome maana nimzoefu sana wa kupiga nyeto nashindwa kuacha na nina mchumba tayari na ndio maana nikataka kujua nitalitatuaje tatizo hili kwakuwa na hitaji kuwa na familia ila kwa ushauri huu nitaufata na vyakula gani hasasa ni vile ili niwe imara zaidi maana bao moja thuu chali sipendi hali hii
Pole sana kaka je unaweza ukatuma namba yako ya whatssap?
0715353543
Barikiwa sana tayari tumeshakuunganisha darani mwetu
Mkuu please 0744265132
Karibu sana kaka katika James Herbal Group, tayari tumeshakuunganisha
Namm pia nina hiyo shida mkuu. 0786032211
0783 673503 niunge plz
Namba yangu ni 0715353543 hiyo apo doctor
Kaka David karibu sana kwenye group la darasa letu katika telegram
0625777844
Tayari nimeshakutumia link kwenye data yako fungua
Naombaa kuungwaa kwenyee group la afyaa kiongozii 0621758682
Karibu sana
Niunge kaka kwenye group
Derick tuma namba yako ya whatsap tukuunganishe
0710134688
Sawa fungua data yako ya whatssap utaona maelekezo humo
Naomba namba ya watcp mi yangu Ni 075252135
hii namba sio sahihi
0654535737 niunge nami
0767332059
Tayari nimeshakutumia link kwenye whatassap naomba ufungue data yako
0743268981
John tayari nimeshakutumia link yetu naomba ufungue data yako ya whatssap
Namb yangu wasutp 0686806142 please help me
Mazigwa tayari nimeshakutumia link yetu naomba ufungue data yako ya whatssap
0654535737 niunge nami
Ndugu Basteka tayari nimeshakutumia link yetu kwenye whatssap yako naomba ufungue data yako
0713598096
0712422195
Karibu sana kaka katika James Herbal Group
0683559290
Karibu sana mpendwa katika James Herbal Group, tayari nimekuunganisha.
0683559290
Karibu sana mpendwa katika James Herbal Group, tayari nimekuunganisha.
Niunge na mm 0768137896
Karibu sana kaka katika James Herbal Group tayari nimeshakuunganisha
Mkuu no 0672244496 na. Mm niunge
Karibu sana
0711548256
Habari sasa mimi niko na shida ukimaliza tendo la ndoa mbegu zinatoka nje
Habari
Na mm naombeni mniunge jaman
0622458875
Kaka Ramadhani karibu sana katika James Herbal Clinic
Kaka niunge 0754939129 plz
Karibu sana dada Ratifa tayari nimeshakuunganisha na group
0715330519
karibu sana
0655074291
Naomba niung me kwenye group la whtsp
Karibu sana tayari nimeshakuunganisha
0621941264
0774110609
Naomb niunge katik group
Karibu sana kaka katika group letu
0746458979 naomba uni join nikweze kupata darasa na mimi
Karibu sana kaka katika James Herbal Group tayari tumekuunganisha
0746458979 naomba uni join nikweze kupata darasa na mimi
0783 673503 niunge plz
0783 673503 niunge plz
Naomba na mm uniunge mkuu
0752795053 naomba kuungwa
0620374500
Dr. Habari yako nmesoma vizuri na kwa umakini sanaa maelezo yako na pia kuna dalili naziona kwangu pia mimi nina mke tayari sasa yapata mwaka wa nne natafuta mtoto sijafanikiwa kabisa naomba kupata msaada wako maana nahisi pia mimi nina tatizo pia
Pole sana je uko mkoa gani?
Unaweza kutuma namba yako ya whatsap pia ili tukusaidie
Karibu sana