Mirija ya mayai ni mirija miwili myembamba inayokuwa katika tumbo la uzazi, mmoja upande wa kulia mwingine kushoto, ambayo hulisaidia yai lililopevuka liweze kusafiri kutoka katika mfuko wa yai mpaka kwenye kifuko cha uzazi.
Kitu chochote kinapojitokeza na kuzuia yai lisiweze kusafiri mpaka kufika kwenye kifuko cha uzazi(uterus), humfanya mwanamke awe na hali ya kuziba kwa mrija ama mirija ya mayai. Hivyo, hali hii isipotibiwa mapema humfanya mwanamke kuwa mgumba.
Na ieleweke kuwa mrija unapoziba huwa tayari umeshajaa maji maji, usaha au damu. Mrija ulioziba unaweza kuvimba kabisa na kuwa na umbo baya kama unavyoona hapo juu kwenye picha. Hali hii mara nyingi huweza kubadirika pande zote mbili, na hivyo mirija iliyoathirika inaweza kuwa mikubwa zaidi. Mirija iliyoziba inaweza kusababisha ugumba kwa muhusika.
NUKUU: Mrija uliojaa damu kitaalamu huitwa “Hematosalpinx”, uliojaa usaha huitwa “Pyosalpinx” na uliojaa maji huitwa “Hydrosalpinx.” Hivyo basi, mgonjwa yeyote anapoenda kupima na kukutwa na matatizo hayo katika mirija yake, daktari huandika majina hayo kwenye kadi ya muhusika mgonjwa.
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
Dalili za kuziba kwa mirija ya mayai huwa kama ifuatavyo:
- Kutokwa uchafu sehemu za uke, wenye harufu mbaya.
- Kutokwa na uchafu wenye usaha sehemu za uke.
- Kubeba mimba nje ya kizazi
- Maumivu ya nyonga
- Maumivu ya kiuno ama tumbo la chini.
- Maumivu ya tumbo la chini upande wa kushoto ama kulia.
- Hedhi ya kubadirika badirika.
NUKUU: Kuziba kwa mrija wa uzazi ni hali ambayo husababisha mrija kuongezeka ukubwa, kutokana na kujaa maji, usaha au damu. Hivyo, kitu chochote kinachoziba mrija wa yai, mfano; maji au usaha hulizuia yai lisiweze kupata mbegu za kulirutubisha na hivyo kumfanya mwanamke asipate ujauzito.
Je, Nini Husababisha Mirija Ya Uzazi Kuziba?
Kuziba kwa mirija ya uzazi hutokana na mambo yafuatayo:
- Maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile Pangusa(Chlamydia), kisonono, kaswende, nk.
- Utoaji mimba
- Maambukizi ya UTI ya muda mrefu,
Je, Nini Madhara Yake?
Kuziba kwa mirija ya mayai kunaweza kumfanya mwanamke akawa mgumba.
Je, Unawezaje Kulizuia Tatizo Hili?
Kwa kuwa maambukizi katika via vya uzazi yaani PID(Pelvic Inflammatory Disease) ndio kisababishi kikubwa cha mirija kuziba, basi yafaa sana kila mmoja kujiepusha na magonjwa ya zinaa.
TIBA YAKE
James Herbal Clinic tuna tiba nzuri za asili zenye uwezo wa kuondoa matatizo haya bila upasuaji wa aina yoyote. Dawa hizi ni MULTI-CURE POWDER, VITAMAKA na FRESH HERB ni dawa pekee zenye uwezo wa kutibu magonjwa haya.
Kwa mawasiliano tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626
Karibuni sana!