Ugonjwa wa pangusa(Chlamydia) kwa kawaida huwa ni maambukizi ya zinaa unaosababishwa na bakteria wadogo sana, ambao kitaalamu huitwa Chlamydia trachomatis. Ni ugonjwa ambao pia umepewa jina la utani, “Maambukizi Ya Kimya kimya” kwakuwa unaweza ukaonyesha dalili kwa mbali au usionyeshe kabisa. Karibia asilimia 25%-50% ya wanaume wanaopatwa na maambukizi ya ugonjwa huu hushindwa kugundulika kwa urahisi kuwa wana maambukizi hayo.
NUKUU: Unaweza ukarejea katika makala yetu ya dalili za pangusa kwa wanawake, utaona pia kuwa nao huhangaika sana kuja kutambua kuwa ana ugonjwa wa pangusa. Mgonjwa anaweza kwenda kufanya vipimo lakini cha ajabu likaonekana tatizo la UTI au fangasi. Atachukua muda mwingi kwenda na kurudi lakini majibu yatakuwa yaleyale, na hatimaye tatizo litaonekana mwishoni kabisa kuwa ni maambukizi ya ugonjwa wa pangusa yakiwa tayari yamemuathiri.
Je, Ni Dalili Za Aina Gani Za Ugonjwa Wa Pangusa Zinazompata Mwanaume?
Dalili za maambukizi kwa wanaume huwa ni vigumu kuzitambua. Dalili zinaweza zisiwe za mara kwa mara na hazina utaratibu, ambazo wakati mwingine humpelekea mgonjwa kuamini kuwa sio maambukizi.
Dalili za maambukizi ya pangusa kwa wanaume huwa kama ifuatavyo:
- Kutokwa uchafu mweupe, au wenye ukijivu au majimaji kwenye uume
- Kuhisi maumivu, kutojisikia raha au kuhisi kuwaka moto kwenye uume hasa wakati wa kukojoa
- Uvimbe sehemu za korodani na kuhisi maumivu sehemu hizo
Dalili hizi zinaweza kuonekana ndani ya wiki 1-3. Dalili za ugonjwa wa pangusa kwa mwanaume huwa hazionekani sehemu za uume tu bali zinaweza kuonekana pia kwenye koo, macho na sehemu za njia ya haja kubwa. Inategemea na jinsi maambukizi yalivyoingia.
Dalili zifuatazo za maambukizi ya pangusa zinaweza pia kujitokeza:
- Maumivu katika njia ya haja kubwa, kutokwa uchafu au damu
- Matatizo ya macho kutokuona vizuri
- Koo kuwasha
Je, Nini Kitakachotokea Ikiwa Kama Tatizo Hili Halitatibiwa?
Maambukizi ya pangusa kwa wanaume yanaweza kuharibu mbegu za mwanaume na kusababisha majeraha katika mrija wa uzazi, hali ambayo inaweza kupelekea ugumba wa moja kwa moja.
NUKUU: Wanaume wenye ugonjwa wa pangusa pia hupatwa na matatizo ya miguu kuuma sehemu za jointi, macho kuwasha, mrija wa mkojo kuvimba, nk.
Je, Wanaume Wenye Maambuki Ya Pangusa Wanapataje Vipimo?
Kufanya vipimo mapema bila kuchelewa ni jambo moja la maana sana. Ikiwa kama ulifanya ngono na mpenzi mpya bila kutumia kinga, yaani mtu Yule una mashaka naye kuwa anaweza kuwa na maambukizi, japo ulikuwa hujawahi kufanya vipimo vya magonjwa ya zinaa, basi unapaswa ufanye vipimo bila kuchelewa.
NUKUU: Ieleweke kuwa maambukizi ya ugonjwa wa pangusa huenea zaidi kwa vijana wenye umri wa miaka 16-25.
Je, Nini Vinavyohitajika Kwaajili Ya Vipimo Vya Maambukizi Ya Ugonjwa Wa Pangusa?
Mgonjwa unahitaji kutoa mkojo ili upimwe, unaweza kujizuia kukojoa angalau kwa muda wa masaa 2 ili mkojo unapopimwa uweze kupata majibu sahihi. Ikiwa kama uliwahi kujishirikisha katika mambo ya ngono kinyume na maumbile na unaziona dalili zake, basi unahitaji kupata vipimo sehemu za njia ya haja kubwa au kwenye koo.
Matibabu
James Herbal Clinic tuna dawa za asili zenye mchanganyiko wa vyakula na mimea ya sili, nazo ni antibiotic na ni antioxidant zenye uwezo wa kuua bakteria hao. Tuna aina za dawa mbili nazo ni REDEEMER, NEOTONIC na FRESH HERB.
Unahitaji huduma, tupigie kwa namba: 0752389252 au 0712181626
Tunapatikana Arusha
Karibuni sana
Be blessed
Mimi kwenye pumbu ngozi ya juu imeanza kama kubandukabanduka. Yaani kama magamba yanatoka. Na hali hii inansababishia maumivu kama ikitokea hata nguo ikagusana na pumbu.
Je hii inaweza ikawa dalili?
Hiyo ni dalili ya fangasi
Mimi natokwa na husaa wa njano nanimetumia dawa Mara mbili napata nafuu baada ya sku tatu hali inarudi vilevile
Pole sana unatumia dawa ya aina gani? Je, unaweza ukatuma namba yako ya whatssap?
Admin anitachute wasap namba 0754770931
Karibu kaka nimeona namba yako
Nilianza kuwashwa kwa mapumbu nimekuna mpka xai nimefanya kama kukatika vidonda vidonda hadi kwenye uume nawashwa pia nimekuna pia nako kumechunika yani wakati mwengine Unahisi kama kuna moto vile kwenye pumbu ama kuna vitu vinatembea na pia kwenye uume umekuwa na mabaka kma chatu je hii ni dalili ya mgonjwa gani?
Jamni nisaidieni nawashwa kwa pumbu nikikuna zinatoka vidonda pia uume unawasha nao nimekuna pia umetoka vidonda,uume xai umebadilika rangi upande wa chini Umekuwa kma chatu una mabaka pia mda mwengine nahisi kuna vitu vyatembea ndani ya pumbu
Mimi napatwa na maumivu makali kwe uume wangu,eneo la kichwa kwa upande wa chini,panakuwa panauma na kama kuna kitu kinanitembea tembea!je hii ni dalili ya nini?
Je, uliwahi kupima hospitali?
Mimi natokwa na majimaji meupe kama mkoja vile je tatizo hapo ni nn
Pole ndugu Enoc je, unaweza kutuma namba yako ya whatssap?
Kuna namna nahisi kuwashwa kwenye uume kwa ndani ila pia nina kichomi kimenishika Leo siku ya nne je vina uhusiano na maambikizi?
Asante kwa makala nzuri
Mimi natoka na majimaji uumeni na kujikuna nyuma inaweza kuwa nini
Ninatatizo kama hili nalinanitesa
Mkubwa mm natokwa na usaha mweupe KWENYE uume na hapa juu Kuna vipele vidogo kama vitatu hivi nilivikamua vikatoka maji Baada ya kuelekea kupona leo vimezaliwa vingine pembeni hapo hapo nimekamua vinawasha balaa
Hizo ni dalili za kisonono kaka
Mko Arusha tu
Ndiyo kaka
Nimetokwa na malengelenge sehemu za siri kama upele sehemu ya juuu ya pumbu karibu na uume ni dalili ya ugonjwa gani
Ninasumbuliwa na vipele pembezoni mwa kichwa cha mboo vinawasha sana ukivikamua vinatoa maji na hutokea tena baada ya muda kama mwezi hivi ila nikipakaa cream iitwayo Gentrison vinapotea chap,ni dalili ya nini na ipi tiba yake na nini madhara yake kiafya?
Pole je, unaweza kutuma namba yako ya whatssap?
nawashwa na pumbu na pia linawaka moto.nimkuna mpk nahis nimechubua.dalili ilianza kuwashwa pumbu baada y hapo kukatokea Kama kiuvimbe pemben y pumbu lakin hakiumi kikaj kupotea,magamba kubanduka,nikaambiwa fangas lkn haziponi mwaka sasa.napat unafuu pekeyake. Kunanjia nyingin y matibab tofauti n vidonge n cream y kupaka????
Kaka Clement je unaweza kutuma namba yako ya whatssap
Nmetokewa na kitu Kama kishilingi hivi kwenye kichwa Cha uume lakin sina maumivu wakati wa kukojoa wala sitoi usaha tatizo hili linaweza kuwa nn no ya what’s app ni 0769425651
Natokwa na maji meupe mfano wa maziwa kwenye uume Kuna wakt nahis maumivu wakt wa kukojoa lakin mkojo wangu sio mchafu hii inaweza kuwa pangusa
0683666696
Mkuu nicheki whatsapp Maana ninavipele chini ya shiba la mboo vipele vidogo vidogo dizain ya vile vinavyootaga kwenye kiwiko cha mkono vimekua sugu aisee vinawaaha lkn havitoi maji ukivikuna vinatoa kama ungaunga flan dah
Mimi napata Kama vipele ila hutokea na kupotea sometimes viwili alafu vinakauka next time Tena hivohivo vinawasha kwa mbali only that
Inaweza kuwa ni nini
Nawashwa na mapumbu halafu kwenye umme chini kimetoka kipele yaan nikikigusa kinauma atari hivi hii inaweza ikawa dalili ya ugonjwa gani?
Pole sana kaka hizo ni dalili fangasi. Je, uko mkoa gani na unaweza kutuma namba yako ya whatssap ili tukusaidie?
Napata maumivu wakati wa kukojoa na nakojoa mkojo mdogo sana nakuwa kama nawaka moto, imefikia hatua hadi haja ndogo inasumbua nakuwa kama nawashwa washwa uume umepungua unatoa vitu kama usaa kila wakati.
+255762952111 Nifanye nn nipone?
Mm bwana shida n moja kwenye uume kimetokea kipele kina Kama kaugumu ndani na hakiumi Hadi ukikiminya Sana , kichwa kinagonga 24 hrs 7 days a week , Koo Kama limekauka flan hvi , mwili unachoka sanaaaa , nachemka Sana pia wakat mwingine Hadi nahic macho n yamoto , kzunguzungu kwa mbali , ( nmepima ngoma negative) shida inaweza ikawa ktu gan?
Napata maumivu wakati wa kukojoa na nakojoa mkojo mdogo sana nakuwa kama nawaka moto, imefikia hatua hadi haja ndogo inasumbua nakuwa kama nawashwa washwa uume umepungua unatoa vitu kama usaa kila wakati.
+255762952111 Nifanye nn nipone?
Kuna vijipele vinaniota vina maji kwa ndani huanza kuwasha na baadae kuuma Kama nimeungua na Moto vile.Hupotea kwa muda na hurudi Tena.Itakuwa ni nini hii
Kuna vijipele vinaniota vina maji kwa ndani huanza kuwasha na baadae kuuma Kama nimeungua na Moto vile.Hupotea kwa muda na hurudi Tena.Itakuwa ni nini hii
Natokwa na vijipele vidogo vidogo sehemu za uume na vinawasha Sana. Hutokea kwa muda na kupotea tena Kama mwezi mala kwa mala.Huwa vina maji ndani na huwasha sana na baadae kuuma Kama nimeungua hivi. Itakuwa ni nini hii na ushauri wowote tafadhari. Namba yangu ya Whats App ni 0743430310
0788138727 wasap
Karibu sana kaka
Napata maumivu wakati wa kukojoa
pia maumivu katika korodani ani kama kuwaka moto,na sehemu ya kichwa cha uume panafanya kuwasha karibu mda wote zaidi baada ya kukojoa
Pole sana kaka, je umewahi kupima matatizo ya maambukizi?