JE, WAJUA CHANZO CHA HOMA YA MATUMBO(TYPHOID) DALILI, NA TIBA YAKE?

 

Mpendwa msomaji, naomba utege sikio nikueleze kwa kifupi tu uweze kujua habari ya homa ya matumbo.

 

Homa ya matumbo(Typhoid) kwa kawaida husababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhi.

Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kwa kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mtu aliyambukizwa.
Bakteria hawa hutoboa na kunyonya chakula kwenye matumbo ya binadamu.

Je,  Dalili Zake Ni  Zipi?

 

  • Homa kali

 

  • Kutoka kwa majasho mengi

 

  • Kuharisha (bila ya kutoa damu)

 

  • Mara nyingine, vitone vyekundu huonekana kwenye mwili.

 

Kwa kawaida, homa ya matumbo isipotibiwa hugawanyika katika hatua nne, kila hatua ikichukua takriban wiki moja.

Katika wiki ya kwanza:

 

  • Joto la mwili huongezeka

 

  • Kichwa huuma

 

  • Kukohoa

 

  • Damu kutoka kwa pua, ingawa tukio hili huwa ni nadra kutokea.

 

  • Maumivu ya tumbo pia huweza kutokea

 

 

Katika wiki ya pili:

 

  • Homa huongezeka

 

  • Mgonjwa huanza kupagawa, kama mwenda wazimu

 

  • Vitone vyekundu huanza kutokea kwenye kifua

 

  • Mgonjwa huharisha, takriban mara sita au nane kwa siku.

 

  • Kutapika kwa mgonjwa

 

  • Ini la mgonjwa huvimba

 

  • Homa ya mgonjwa huongezeka katika wakati wa alasiri kwenye wiki ya kwanza na ya pili.

 

 

Wiki ya tatu:

 

  • Matumbo hutoa damu.

 

  • Matumbo hutoboka

Wiki ya tatu ikimalizika, homa huanza`kutulia. Hii huendelea hadi wiki ya nne.

 

Kumbuka: Homa ya matumbo haiuwi binadamu. Ila pindi uonapo kati ya dalili zilizoainishwa hapo juu ni vema ukawahi Tiba katika James Herb Clinic. Kwa mawasiliano tupigie: 0752389252 au 0712181626