Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au kwa kitaalamu Nervous System, ambapo katika mifumo hii kuna mfumo mkuu, central nervous system (ubongo na uti wa mgongo) na pia kuna mfumo wa pembezoni ambao ni kazi za mwili mbali na ubongo na uti wa mgongo (peripheral nervous system), mfumo huu wa pembezoni hujumuisha kazi za misuli, mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula tumboni, uwezo wa kuhisi baridi au joto, kugusa vitu na kujua ukali wa ncha ya kitu na kadhalika.
Matatizo haya ya kiafya (miguu au mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo:
- Mtu kuhisi ganzi
- Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni au mikononi,
- Kuhisi kama umevaa soksi au gloves wakati hujavaa,
- Kuhisi kama kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,
- Kushindwa kushika au kunyanyua kitu,
- Kuchoka kwa misuli na kadhalika.
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo naomba uyafahamu:
- Kupungua kwa virutubisho mwilini, katika hili tunamaanisha mwili kutokuwa na vitamini vya kutosha na hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).
- Matumizi ya dawa, mtu kuwa katika matumizi ya baadhi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi huweza kumsababishia mtumiaji matatizo ya neva.
- Uzito mkubwa wa mwili: Hali hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo lionekane tofauti na ilivyo kawaida, kubadilika huku husababisha baadhi ya neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na misuli au uzito wa mwili na hivyo kusababisha neva hizo zishindwe kufanya kazi vizuri, matokeo yake ni wewe kuanza kuhisi maumivi au kufa ganzi kwa miguu.
- Ugonjwa wa kisukari: Mtu mwenye tatizo la kisukari huwa hatarini zaidi kuugua au kupata matatizo ya neva, (diabetic polyneuropathy).
- Shinikizo la damu: Mtu kuwa na shinikizo kubwa la damu (High blood pressure) pia ni kihatarishi kinachoweza kumfanya mtu apate ugonjwa huu wa neva.
Baadhi ya vitu hatarishi vinavyoweza kumfanya mtu apate matatizo haya, vinaweza kuepukika kwa mtu kuyabadili maisha yake mfano, kama ulikuwa hufanyi mazoezi ya mwili, basi ujitahidi kuupa mwili mazoezi ili kupunguza uzito wa mwili, kuepuka magonjwa ya kisukari na kuepuka kuwa na shinikizo kubwa la damu, kula chakula chenye virutubisho vya kutosha kama vile PHYTOGUARD, NEOTONIC, nk.
MATIBABU
James Herbal Clinic tuna dawa za asili zenye uwezo mkubwa wa kuondoa visababishi vya tatizo hili. Ikiwa kama unahitaji huduma tafadhari tupigie simu: 0752389252 au 0712181626
Ukiachaaaaa hizo sababu ulizotajaaaaa,vipi sababu zingine hasa magonjwaaaa? Hiyo dawa ni sh.ngapiiii?
Ni shilingi 35,000 tu
morogoro nazipata wapi
nipo morogoro mjini namba yangu 0769384883
Morogoro tunasafirisha tu kutoka Arusha
Mikono imekufa ganzi muguu wakushoto inawaka moto wakulia kama vile imepooza nasikia maumivusehemu za figo nakojoakwa shida,naomba tiba
Je, unaweza kutupigia sumu kwa namba hii: 0752389252 au 0712181626?
Miguu yangu nahic hali ya uchovu hasa sehemu za unyayo na maumivu kwa mbali je hali hii inaweza ikawa mbaya zaid kufikia hali ya kuwaka moto?
Na ni yapi matibabu yake?
Tatizo hilo linapojitokeza huwa ni dalili za matatizo ya moyo hasa mwendo wa damu kuwa mzito au damu kuwa chafu au damu kuganda, nk.
Thanks a lot
Mimi Nina maumivu ya mkono wa kushoto na mgongo kuwaka Moto naweza kupata dawa?
Emmanuel uko mkoa gani ndugu? Je, unaweza kutuma namba yako ya whatssap?
Je tatizo la tezi dume mnazo dawa? Yaani kuvimba
Hapana kwa sasa hatuna ndugu yangu
I think the habbit of drinking of water daily can be the main solution
Mimi naskia mguu wa kushoto unapata moto na kama vichomi je ni dalili za ugonjwa upi
Ninatatizo la miguu kuwaka moto msaada
0710009001
Ninatatizo la miguu kuwaka moto msaada
0710009001
Mimi miguu huwa inauma mpaka nashindwa kutembea
Naitwa hemedy nipo dar es salaam Nina tatizo la mguu wa kulia kuwaka Moto toka kwenye nyayo mpaka kwenye mapaja uku juu vp mtanisaidiaje
Je, unaweza kutuma namba yako ya whatssap
Hili ttzo lako ni kama langu linaweza likaanza pajan kinashuka mpka unyayoni alafu unahs vichomi na maumiv kama kuwaka moto vinauma hatar na usiombe kuwa na bardi utaomba poo🙌😩😩
Barikiwa sana
Nina tatizo la miguu na mikono,kuwaka moto,ganzi,na misuli kuvuta,miguuni ni nyayo adi magotini,mikono ni viganja adi mabegan
0759383533
Karibu sana dada