Mwanamke huingi kweye hedhi kwa wastani wa muda wa siku 3-7. Kwa kipindi hiki hutoa damu kwa wastani wa milimita 30-80 kwa siku, damu ikiwa nyekundu bila mabonge yoyote. Kiasi hiki cha damu ni sawa na kutumia pedi 2 mpaka 3 kwa siku bila kulowa damu chepechepe.
Kuna wakati mwanamke anaweza kupata damu yenye mabonge, yaani iliyoganda na nyeusi. Hali hii huashiria kiasi cha damu anachopoteza ni kingi zaidi ya kawaida.
Je, Nini Vinasababisha Hali Hii?
Hali zifuatazo zinaonyesha kuwa kisababishi cha tatizo hili kwa mwanamke, nazo ni kama ifuatavyo:
- Sindano au madawa ya vidonge vya uzazi wa mpango endapo atatumia bila kufuata ushauri wa daktari
- Kuporomoka kwa mimba
- Vitanzi vya kuzuia mimba(Intrauterine contraceptive devices)
- Maambukizi katika via vya uzazi (Pelvic Inflammatory Disease au PID kwa kifupi)
- Vivimbe kwenye ukuta wa mji wa uzazi(Endometrial Polpsy)
- Uvimbe kwenye mji wa mimba(Uterine Fibroids)
- Saratani ya ukuta wa mji wa uzazi ama shingo ya kizazi.
Je, Nini Dalili Zake?
Dalili za tatizo hili huwa kama ifuatavyo:
- Kuhisi Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi
- Kuhisi Maumivu maeneo ya mbavu upande wa kushoto au kulia
- Kuhisi Maumivu mgongoni hasa wakati wa siku za hatari ama siku za hedhi
Tiba Zake
James Herbal Clinic tuna dawa aina tatu zinazoondoa tatizo kwa uhakika haijarishi kuna magonjwa mengine ndani yake. Vitamaka, Fresh Herb na Card Herb ni dawa ambazo kwanza ni viondoa sumu, zinaua bakteria na vimelea mbalimbali ambavyo huenda vimesababishwa na maambukizi. Pia ni dawa zenye wingi wa virutubishi kwani hujenga mfumo wa uzazi na kuurejesha katika mfumo wake wa awali.
Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626
Karibuni sana!