Ndugu msomaji nimeamua kulitoa somo hili kwa upana zaidi na kwa kulichanganua ili kila mmoja apate kuelewa kuwa PID ni nini, ina dalili gani, na madhara gani!
Kwanza neno PID ni neno la kiingereza ambalo kirefu chake ni “Pelvic Inflammatory Disease”, ambalo kwa Kiswahili maana yake ni maambukizi ya magonjwa katika via vya uzazi.
Maambukizi katika via vya uzazi kwa kawaida hujulikana kama PID, ni maambuki yanayoathiri viungo vya uzazi vya mwanamke. PID hakika hutokana na mchanganyiko mbalimbali wa magonjwa ya zinaa, hasa yaliyosababishwa na bacteria wa Pangusa(Chlamydia) au kisonono. Ugonjwa wa PID unapokaa muda mrefu bila kutibiwa, unaweza kusababisha uharibifu mkubwa usiobadirika katika mfumo wa uzazi wa mwanamke, hasa katika mfuko wa kizazi(uterus), vifuko vya mayai(Ovaries), na mirija ya mayai(fallopian tubes).
Ugonjwa huu unapokaa muda mrefu bila kutibiwa humfanya mwanamke kupatwa na ugumba. Inaonyesha asilimia kubwa leo katika jamii, wanawake wengi wamekuwa wakisumbuka na ugonjwa huu.
Je, Nini Kinachosababisha Ugonjwa Huu Wa PID?
Ugonjwa wa kisonono pamoja na Pangusa(Chlamydia) ndio vyanzo vikuu vya maambukizi katika via vya uzazi wa mwanamke.
Mwili wa mawanamke unapokuwa na afya kamili, mlango wa kizazi huwa na nguvu ya kuzuia bakteria wasiweze kuingia katika viungo vya ndani vya uzazi kutoka ukeni.
Hata hivyo wakati mlango wa kizazi unapokuwa wazi na kuruhusu magonjwa ya zinaa kuingia, hasa kisonono na pangusa, mlango wa kizazi hupata maambukizi na kisha hupoteza uwezo wake na hivyo kuruhusu maambukizi na bacteria kuingia na kufika juu kwenye viungo vya uzazi.
Je, Jinsi Gani PID inavyokupata?
Japo inakuwa tayari imesababishwa na magonjwa mengine ya zinaa, PID huambukizwa kwa urahisi ikiwa kama mtu atashindwa kufuata njia za kuepukana na mienendo ama tabia mbaya. Hapa kuna mambo ambayo huwafanya wanawake kupatwa na tatizo hili kwa urahisi sana, nazo ziko kama ifuatavyo:
- Kuwa na wapenzi wengi ama kutoka nje ya ndoa
- Kuanza mambo ya mapenzi mapema hasa chini ya miaka 25
- Kupiga bomba ukeni yaweza kusaidia vimelea kuingia ndani na kusababisha maambukizi katika viungo vya uzazi
Je, Nini Dalili Za Ugonjwa Wa PID?
Kama ilivyo katika magonjwa mengi ya zinaa, PID inaweza kuendelea kwa kuonyesha dalili za kawaida ama kutokuonyesha dalili zozote. Hali hii yaonyesha kuwa ni vyema sana kufanya uchunguzi wa vipimo mara kwa mara kwa daktari. Kama PID ikianza kuonyesha dalili zozote, zaweza kuwa kama ifuatavyo;
- Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
- Kutokwa na uchafu ukeni, hasa wenye rangi ya njano unaoelekea kuwa kijani kwa mbali ukiwa na harufu mbaya.
- Kuhisi Maumivu ama hali ya kuungua wakati wa kukojoa
- Homa
- Kuhisi kichefuchefu ama kutapika
- Kuhisi Maumivu wakati wa tendo la ndoa ama kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa.
- Kupata hedhi katikati ya hedhi, yaani waweza kupata hedhi mara 2 ndani ya mwezi 1.
Je, Unawezaje Kutambua Kuwa una PID?
Kadri inavyoonyesha kuwa huna dalili zozote za PID, ni vyema kila mara kwenda katika zahanati ama hospitali ili kupata vipimo kuweza kukuhakikishia kuwa uko salama, na hauna maambukizi yoyote ya zinaa.
Wanawake wadogo chini ya umri wa miaka 25, mara nyingi wanapatwa na janga la maambukizi haya kwa urahisi, na inafaa wapate vipimo angalau hata mara moja kwa mwaka. Pia unapoona dalili zozote tofauti, naomba usisite kufika hospitalini ili kufanya uchunguzi na kuhakiki tatizo lako.
.
Hakuna kipimo maalumu cha PID, lakini hata hivyo daktari anaweza kupima maambukizi kwa kuchukua vitu vinavyotoka ukeni, ama mkojo. Vipimo hivi hupelekwa maabara kwa ajili ya uchunguzi ambao hubaini kuwa huenda una vimelea wanaosababisha maambukizi. Ikiwa kama daktari atakuwa amefikiria tu ama kudhania, unaweza kuambiwa uende ukapate vipimo vingine zaidi, vikiwemo;
- Vipimo vya Ultrasound ambavyo hurusu kuona picha ya viungo vyako vya uzazi kwa kutumia sauti za mawimbi.
- Kipimo cha Endometrial biopsy, ambacho kinamaanisha kuwa kwamba daktari wako atachukua ute ute kidogo kutoka ndani ya uke kwa ajili ya upimaji mwingine zaidi.
- Kipimo kupitia kifaa cha kuingiza ndani ya uke.
Je, Maambukizi Ya PID Yanaweza Kupona?
Ni vyema kufanya vipimo na kuanza matibabu mapema kadri iwezekanavyo. Vinginevy PID inaweza kuendelea na kukomaa na kusababisha madhara makubwa katika mfumo wa uzazi ambayo yaweza kushindwa kutibika. Lakini uanzapo kufanya matibabu yafaa pia hata mwenzi wako apate matibabu japo hajaonyesha dalili zozote. Ikiwa kama hatapata matibabu, anaweza kukufanya upate tena maambukizi mara unaporudi kufanya mapenzi na yeye. Hakikisha pia unamaliza matibabu yako kulingana na maelekezo ya tabibu wako ijapokuwa unaona dalili za maambukizi zinatoweka. Kumbuka pia unapotumia vidonge kwa muda mrefu na vikashindwa kukusaidia, PID huzidi kukua na kusababisha majipu ndani ya uzazi ambayo humfanya mgonjwa kutokwa na vitu kama usaha ukeni. Hali hii yaweza kusababisha madhara makubwa hasa katika vifuko vya mayai na kwenye mirija ya uzazi pia.
Je, Ugonjwa Huu Waweza Kutibika?
PID inapona kwa kutumia tiba za asili zenye uwezo wa antibiotic tu. Napenda kusisitiza kuwa JAMES HERBAL CLINIC tunazo dawa za antibiotic ambazo ni VITAMAKA, REDEEMER na FRESH HERB. Hata hivyo inafaa ieleweke kuwa upatikanaji wa tatizo hili hutegemeana na jinsi gani PID imeharibu mwili wako. Ikiwa kama mgonjwa kawahi kupata vipimo na kuanza matibabu, basi uponaji wake utakuwa ni wa haraka pia. Lakini kama tatizo litadumu muda mrefu, linaweza kusababisha madhara makubwa hasa ugumba kwa mwanamke.
Jinsi Gani Unaweza kuepukana na PID?
Asilimia 90% ya maambukizi katika via vya uzazi(PID) husababishwa na Kisonono pamoja na Pangusa(Chlamydia). Kama ilivyo magonjwa mengine ya zinaa, mara nyingi huambikizwa kwa njia ya kujamiiana. Japo kuepukana na maambukizi ya PID unashauriwa kuwa na mpenzi mmoja unayemwamini na kutumia Kondom wakati unapofanya tendo la ndoa. Kama nilivyosema awali pia, kuwa yafaa kutembelea katika vituo vya afya mara kwa mara ili kuhakiki afya yako. Hata kama umeshawahi kupata aina moja ya ugonjwa wa zinaa, bado inachukua mpaka kufikia kuwa PID, hivyo unapokuwa na mazoea ya kufanya uchunguzi wa vipimo kwa ajili ya afya yako, yaweza kukusaidia kujikinga na tatizo la PID.
Je, PID inaweza Kusababisha Nini?
Unapofanya vipimo na kuanza matibabu mapema, PID haiwezi kusababisha madhara yoyote mwilini mwako. Hata hivyo, ikiwa kama utazembea na kuliacha tatizo hili likakaa kwa muda mrefu, PID inaweza kusababisha madhara yafuatayo;
- Maumivu ya nyonga ama tumbo ya mara kwa mara, hasa wakati wa tendo la ndoa ama kipindi cha upevushaji mayai, kutokana na majeraha yanayokuwa katika mirija ya uzazi.
- Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija ya uzazi ambayo hupelekea mirija kuziba.
- Kubeba mimba nje ya kizazi. Yai lililorutubishwa hushindwa kufika kwenye mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi. Hali hii inaweza kumfanya mwanamke kuvuja damu nyingi sana.
- Ugumba kwa mwanamke: PID inapokuwa sugu humfanya mwanamke kushindwa kushika ujauzito.
Je, Wawezaje Kuiondoa PID?
James Herbal Clinic tuna dawa nzuri zenye mchanganyiko wa mimea ya asili, nazo ni antibiotic zenye uwezo wa kuua vimelea hao na kuondoa PID. Dawa hizo ni VITAMAKA, REDEEMER, na RESH HERB.
Je, unahitaji huduma? Kwa mawasiliano tupigie: 0752389252 au 0712181626
Nataka kujua kama pid ikianza kupona unaona dalili gan?
Dalili utakazoziona ni pale maumivu au uchafu unapoacha kutoka
Mimi pia nahtaj npo tanga nna hzo dalili
Karibu sana dawa zipo
Ntazipataje dawa hzo nko singida
Singida tunasafirisha tu
Nazipataje kwa watu wa zanzibar hzo dawa tunahitaji kwa wingi
Ndiyo nishawahi
Na mimi pia nahitaji hiyo dawa mnapatikana wapi 0654086156
Tunapatikana Arusha Mbauda
Mke wangu analo hilo tatizo na amechoma sindano, vidonge na bado tatizo linaendelea. Je na mm mwanaume nahitaji matibabu?
Ikiwa kama ni maambukizi hata mwanaume naye anahitaji matibabu pia
Na mm pia nahitaj xawa nipo Iringa
Tuma namba yako ya whatssap
Je kutokwa na uchafu wakati wa period weny rangi ya kama kijivu na maumivu makali ya tumbo na nyonga ni dalili ya nini …
Nipo morogoro
Ni dalili za maambukizi dada. Tuma tu namba yako ya whatssap uunganishwe na darasa letu
Kama PID disease inaweza kusababishwa na bacteria wa kisonono na pangusa je mtu huyu hata kua namaambukiz ya magonjwa hayo na vipi kwa atakae sex nae hato pata maambukizi
Pia naye atapata maambukizi na ndio maana wanapaswa kutibu wote
Niko makambako Nina ndg yangu anateseka Sana na ugonjwa huu Naweza pata dawa
Dawa zipo tunaomba namba zako za whatssap kwa ajili ya mawasiliano
0759293319
Karibu sana katika James Herbal Group tayari tumeshakuunganisha
Naomba niunganishe kwenye group nahitaji matibabu na masomo zaidi 0759293319
Karibu sana
Nitazipataje hizo dawa nipo kigoma
Nitazipataje hizo dawa nipo kigoma
Naomba utume namba yako ya whatssap tuweze kuwasiliana vizuri
Niko Geita,mke wng ana tatizo la maumivu chini ya kitovu upande wa kushoto,anajihisi kichefuchefu, kichwa kinauma na anatokwa na uchafu ukeni kama uji uji ila haunuki, je hizo zaweza kuwa dalili za PID? Au ni ovarian crysts?
Nitazipataje hizo dawa hapa kigoma, mnapatikana wapi
Samahani tungeomba utume namba zako za whatssap tuweze kukusaidia
0676647842
Karibu sana dada tayari tumekuunganisha na group letu
0788374652 naomba kuugwa kwenye group
Kari sana dada
Nitapataje dawa hizo nipo arusha
0748350637
Karibu sana, tayari nimeshakuunganisha na group
Dawa ya kutibu pid sh. Ngapi
Ni shilingi 65,000
Nami nipo morogoro napataje ?
Nahitaji dawa nipo arusha
Karibu sana, tupo Mbauda Pepsi
Nahtaji dawa Nipo dar .
Dar ukiagiza tunakusafirishia tu. Tuma namba yako ya whatssap
Naomba kuadiwa kwa group no 0744812014 me GETRUDA
Karibu sana katika Group letu tayari nimeshakuunganisha
Hello mke wangu anatokwa na vitu vyeupevyeupe mfano Wa maji ya chele alafu kunawasha ,kuwasha kwake hadi kunauma je Dokta hilo ni tatizo gani??? Nipo ruvuma songea mjini
Niko dar na nimeanza matibabu je na mwenza wangu anatakiwa apate matibabu na yey pia 0756553725 WhatsApp number
Pole sana hizo ni dalili za fangasi
Ni lazima mtu uwe na dalili zote hizo au hata ukiwa na nazo mbili ni dalili ya huo ugonjwa???
Hata akiwa na dalili moja au mbili inatosha kuashiria tatizo ulilo nalo
nina dalili hizo je nishingap?niko njombe 0752339895 whatsapp
Namba yako sio ya whatssap dada
Na mwanaume ana dalili gani?
Je,mtu mwenye PID anaweza kukosa kuingia katika siku zake?
Ndiyo, anaweza kukosa kuingia hedhi au akatokwa na hedhi yenye kuruka ruka
nahitaji dawa nipo msoma
Aisha ukiagiza tu utasafirishiwa
0745994934 dawa sh ngpi pia niunge kwenye group
Karibu sana dada Rozi tayari nimeshakuunganisha
0745718022 naomb kuungwa kweny group
Karibu sana mpendwa tayari tumeshakuunganisha na group
0763429615 naomba kuungwa kwa group
Naomba kuungwa ktk group 0745251121
Je P.I.D inaweza kumpata mwanaume na Kama jibu ni ndiyo nikwanjia gan humpata mwanaume?
Kumbuka kuwa PID ni maambukizi katika via vya uzazi kama vile kisonono, pangusa. Kwahiyo ni kupitia ngono magonjwa ya PID yanakupata
Je, unaweza kutuma namba yako ya whatssap?
Naftari, je unaweza kutuma namba yako ya whatssap?
Nawezaje kupata nipo dar es salaam
Je, unaweza kutuma namba yako ya whatssap
Habari nimeenda hospitali wameniambia hamna dawa za huu ugonjwa, hii haiwezi kusababisha madhara zaidi kwenye mwili wangu?
Ni ugonjwa gani unaouhisi
Me nipo morogoro napataje hizo dawa
Kwa ajili ya tatizo gani?
Naomba kuungwa grup plz 0622458875
nipo mwanza nawezaje kupata dawa
Zena popote ulipo ukiagiza tunakusafirishia tu. Pia tuma namba yako ya whatssap
Ukiagiza tu dada unasafirishiwa. Pia tuma namba yako ya whatssap
Hallow Kaka nami naumwa Sana naomba uniunge kwenye group nimehangaika na dawa hadi nimechoka 0762254133 no ya whatsap
Karibu sana
0788373652 naomba kuugwa kwenye group
Karibu sana dada
Naomba kuungwa kweny group namba 0629130885
Karibu sana dada katika James Herbal Group
Me Huwa natokwa na Ute mweupe je hiyoo ni dalili gani no 0679944643
Ubarikiwe sana
Add me please no 0679944643
Nimeshakuunganisha na darasa letu
Karibu sana
Natokwa na Ute mweupe je hiyoo ni dalili za nini
Dada umewahi kufanya vipimo vya ultrasound?