Ndugu mpendwa leo napenda tuangalie Kwa ufupi tu sababu na dalili za vidonda vya tumbo pamoja na Tiba zake.
VISABABISHI
1. Msongo wa mawazo
2. Matumizi ya vyakula visivyo vya asili yake hasa vilivyokobolewa Kama vile unga wa sembe, ngano iliyokobolewa, maandazi, chapati, chips, nk.
3. Matumizi ya vivywaji vya viwandani Kama vile soda, juisi, nk.
4. Kukaa muda mrefu bila kupata chakula Kwa muda wake sahihi.
DALILI ZAKE
1. Maumivu ya tumbo baada ya kula chakula ama mara uhisipo njaa.
2. Maumivu makali sehemu ya chembe ya moyo nayo husambaa mpaka mgongoni.
3. Kuhisi Kiungulia mara Kwa mara
4. Kichwa kugonga ama kuhisi vichomi.
5. Maumivu ya kiuno
6. Kutapika ama kuhara damu.
Tiba Yake
James Herbal Clinic tuna dawa nzuri za asili zenye uwezo wa kuondoa matatizo haya, nazo ni CARD HERB na FRESH HERB.
James Herbal Clinic tunapatikana Arusha na nje ya mkoa wa Arusha kwa mawakala zetu.
Kwa mawasilino tupigie kwa namba zifuatazo:
Arusha: 0752389252 au 0712181626
Dar es Salaam-Ubungo River Side: 0762391503 au 0715391503
Dar es Salaam-Kigogo Polisi: 0658221346 au 0683221346
Shinyanga: 0763869874
Ruvuma: 0752416341
Simiyu: 0758306602
Pia unaweza tembelea tovuti yetu: www.jamesherbalclinic.or.tz