JE, WAJUA VISABABISHI NA DALILI ZA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO(ULCERS)?

Ndugu mpendwa leo napenda tuangalie Kwa ufupi tu sababu na dalili za vidonda vya tumbo pamoja na Tiba zake.

VISABABISHI 
1. Msongo wa mawazo
2. Matumizi ya vyakula visivyo vya asili yake hasa vilivyokobolewa Kama vile unga wa sembe, ngano iliyokobolewa, maandazi, chapati, chips, nk.
3. Matumizi ya vivywaji vya viwandani Kama vile soda, juisi, nk.
4. Kukaa muda mrefu bila kupata chakula Kwa muda wake sahihi.

DALILI ZAKE
1. Maumivu ya tumbo baada ya kula chakula ama mara uhisipo njaa.

2. Maumivu makali sehemu ya chembe ya moyo nayo husambaa mpaka mgongoni.
3. Kuhisi Kiungulia mara Kwa mara
4. Kichwa kugonga ama kuhisi vichomi.
5. Maumivu ya kiuno
6. Kutapika ama kuhara damu.

JE, NINI SULUHISHO?
Dawa yetu nzuri aina ya FRESH HERB yenye mchanganyiko wa mimea mbalimbali ya vyakula, ndio suluhisho pekee kwa ajili ya kuondoa vidonda vya tumbo. Ni dawa ambayo hutenda miujiza Kwa mgonjwa.

Karibuni sana ndugu Wapendwa, leo naomba tuishie hapa.

James Sanitarium Clinic tunapatikana Arusha Kwa Mworombo. Kwa mawasiliano tupigie 0752 389 252/0712 181 626.

Kule Songea-Ruvuma Kwa mawakala zetu piga 0752 416 341.

Barua pepe: samsonferdinand5@gmail.com

2 thoughts on “JE, WAJUA VISABABISHI NA DALILI ZA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO(ULCERS)?

  1. asumbuliwa sana na kiungulia mno mno sipati usingizi inanikera sana hii hali, je ni ipinjia sahihi ya kuiondoa hii hali? Sababu ni kweli huwa natumia sana chapati asubuhi kama mlo wa asubuhi, ni kweli natumia sana soda na juice za viwandani yaani za kwenye chupa na box ispokuwa pia ni mvivu wa kula, kwa sasa najitahidi sana kula ila hii haiishi, je nifanye nini na nipo nje ya nchi ningekuwa Tanzania popote pale mlipo ningekuja tu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *