U. T. I ni neno la kiingereza linalotamkwa kwa kifupi lakini kirefu chake ni, “Urinary Tract Infection” likimaanisha, “Maambukizi katika njia ya Mkojo. ”
Ugonjwa huu humpata mtu yeyote bila kujali jinsia au umri.
VISABABISHI VYAKE
Ugonjwa wa UTI unaweza kusababishwa na vijidudu vya namna nyingi. Bakteria aina ya Escherichia Coli kwa kiasi kikubwa ndo wanaosababisha ugonjwa huu wa UTI japo bakteria wengine wapo.
Upande wa wanawake, tatizo la fangasi katika sehemu za siri imekuwa ni tatizo kubwa sana. Uwepo wa fangasi hasa kwenye uke na maeneo jirani pia huweka mazingira ya mvuto kwa bakteria kuvamia maeneo hayo na kuleta maradhi ya UTI.
NOTE: Kwa wanaume mara nyingi kutokana na maumbile yao na mfumo mzima wa mkojo na viungo vyake, hawa siyo waathirika wakubwa wa UTI.
DALILI ZA UTI
Dalili za UTI huwa kama ifuatavyo:
1. Kusikia maumivu wakati wa kukojoa.
2. Kuhisi homa
3. Kuhisi uhitaji wa kukojoa mara Kwa mara na pia mkojo kuwa na hali ya kuunguza wakati wa kukojoa
4. Kuhisi maumivu ya tumbo chini ya kitovu au mgongo.
5. Mkojo kuonekana kuwa wenye rangi ya damu au usaha.
6. Kutokwa na uchafu wenye harufu sehemu za siri, hasa tatizo hili linapokuwa la muda mrefu.
MADHARA YA U.T.I
Vimelea wa UTI wanapoingia sehemu ya uke, wanaweza kushambulia na kuharibu sehemu zifuatazo:
1. Tabaka la juu la mlango wa kizazi na kusababisha uvimbe wa shingo ya kizazi.
2. Kuziba kibofu cha mkojo au mirija ya mkojo.
3. Kuharibu figo za muhusika.
NINI SULUHISHO
Kupitia tiba ya asili tatizo hili huondoka kabisa na kumfanya muhusika kuwa na amani. REDEEMER ni dawa nzuri ya asili inayotumika kutibu magonjwa sugu na ya kawaida pia. Huondoa tatizo la UTI kwa urahisi sana.
REDEEMER inapatikana James Sanitarium Clinic, kwa mawasiliano tupigie:
Arusha: 0752389252 / 0712181626
Dar-Kigogo Polisi: 0768221346 / 0658221346 / 0683221346
Mikoa ya Mtwara, Lindi, Songea, na Ruvuma: 0752 416 341
E-mail: samsonferdinand5@gmail.com
Karibu sana.