JE, WAJUA AINA ZA UVIMBE(FIBROIDS AU MYOMA), DALILI ZAKE NA VISABABISHI VYAKE?

Leo napenda nikufunulie Kwa kina lakini kwa ufupi tu. Tukiangalia tatizo la uvimbe Kwa kina mama sasa linazidi kuongezeka kwa kasi sana. Mabinti wengi na hata wanandoa wanazidi kupatwa na janga hili. Baadhi ya kina mama wamekuwa wakiondolewa kizazi kwa ajili ya tatizo hili.

Sasa hebu tuangalia ili tufahamu Kwa undani zaidi aina ya uvimbe, dalili zake na visababishi vyake.

AINA ZA UVIMBE(FIBROIDS)

Zipo aina kuu tatu za uvimbe:
1. Uvimbe unaotokeza juu ya tumbo la uzazi, na unaweza kuwa ndani ya kizazi pia, nao kitaalamu hujulikana, “Intramural Fibroids”. Dalili zake huwa kama ifuatavyo:
(a). Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi.
(b). Maumivu ya nyonga
(c). Maumivu ya mgongo
(d). Kukosa choo na tumbo kujaa gesi
(e). Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
(f). Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa hasa uvimbe unapokuwa sehemu ya shingo ya kizazi.

2. Uvimbe unaotokea ndani ya nyama ya Kizazi, nao kitaalamu hujulikana, “Submucosal Fibroids”. Uvimbe huu unaweza kujitokeza mmoja au zaidi ya mmoja(multiple) na ukawa mkubwa zaidi. Dalili zake ni:
(a). Kutokwa na damu ya hedhi muda mrefu, yaani wiki 2 hata mwezi mzima.
(b). Kuhisi maumivu makali Kama chango wakati wa hedhi.
(c). Kupata hedhi Mara mbili ndani ya mwezi au hedhi kuvurugika.
(d). Kukosa hedhi miezi 2-3
(e). Maumivu ya tumbo chini ya kitovu, mgongo na tumbo.

Aina hii ya uvimbe husabisha ugumba Kwa wanawake wenye umri wa kuzaa. Zipo njia kadhaa ambazo aina hii ya uvimbe husababisha ugumba, kwa mfano: uvimbe wa aina hii unaweza kuziba mirija ya mayai, na hivyo kuzuia mbegu za mwanaume zisirutubishe yai.

3. Uvimbe utokezao nje juu ya ukuta wa kizazi, nao kitaalamu hujulikana, “Subserol Fibroids”. Dalili zake huwa kama ifuatavyo:
(a). Kuhisi vichomi na maumivu tumboni
(b). Maumivu makali kutokana na vivimbe kushikamana tumboni.
(c) Kukosa choo na tumbo kujaa gesi
(d). Mgongo au nyonga kuuma
(e). Kuhisi kukojoa mara Kwa mara

VISABABISHI VYAKE

Sababu ianyopewa kipaumbele zaidi ni Wingi wa vichocheo vya estrogen ambavyo vipo katika miili ya wanawake hasa walio katika umri wa kuzaa, na vichocheo hivi ndivyo hufanya kazi katika mwili wa mwanamke na kumsababishia kupata siku zake.

JE, NINI SULUHISHO?

Suluhisho kamili la kuondoa tatizo hili ni kutumia tiba za asili zenye mchanganyiko wa vyakula. James Sanitarium Clinic tuna Dawa nzuri aina ya REDEEMER pamoja na FRESH HERB. Dawa hizi zinaondoa kabisa matatizo ya uvimbe na kurejesha mfumo wa mwanamke katika asili yake.

Kwa mawasiliano tupigie Kwa namba zifuatazo:
1. Arusha: 0752 389 252/0712 181 626

2. Dar Kigogo Polisi: 0767 465 169

Email: samsonferdinand5@mail.com

Karibuni sana.

One thought on “JE, WAJUA AINA ZA UVIMBE(FIBROIDS AU MYOMA), DALILI ZAKE NA VISABABISHI VYAKE?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *