JE, UNAJUA SABABU ZINAZOPELEKEA WANAWAKE WENGI KUTOKUSHIKA UJAUZITO?

Hali ya ugumba inatafsiriwa kama vile mwanamke kutokushika ujauzito angalau mara moja kwa mwaka  japokuwa anafanya tendo la ndoa kila mara lakini bila mafanikio.

Causes Of Infertility In Women - Home | Facebook

NUKUU: Visababishi vya ugumba wa mwanamke vinaweza kuwa vigumu sana kuvipima na kuvitambua. Zipo tiba nyingi sana ambazo zinategemeana na chanzo cha ugumba. Wanandoa wengi wenye matatizo ya ugumba wanaweza wakafanikiwa kupata ujauzito hata bila kutumia tiba.

 

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

 

Dalili kuu za tatizo la ugumba kwa mwanamke ni kutokuwa na uwezo wa kupata ujauzito.  Mzunguko wa hedhi ambao huwa mrefu(yaani siku 35 na zaidi), au mfupi(yaani chini ya siku 21), au mzunguko wa kubadirika badirika au kutokuona hedhi kabisa inaweza kumaanisha kwamba huna uwezo wa kupevusha mayai. Kunaweza kusiwepo na dalili zozote za nje.

 

Je, Nini Husababisha Hali Ya Ugumba Kwa Mwanamke?

 

Kwanza kabisa ni urutubishaji  na upandikizaji wa yai kwenye ukuta wa mfuko wa kizazi. Mambo hayo ni ya muhimu sana ili kumfanya mwanamke kuwa mjamzito. Lakini yapo mambo muhimu mengine kama yafuatayo:

 

  1. Unahitaji Kupevusha Mayai Yako

 

Kwa kawaida ili mwanamke aweze kuwa mjamzito, vifuko vyake vya mayai(ovaries) vinapaswa vizarishe na kuachia yai litoke, kitendo ambacho kitaalam kinaitwa upevushaji(ovulation). Daktari anaweza kukupima na kuhakiki ikiwa kama kazi ya upevushaji inafanyika au haifanyiki katika mfumo wako wa uzazi.

 

  1. Mwenzi Wako Anapaswa Kutoa Mbegu

 

Wanandoa wengi yaweza kuwa hili likawa tatizo kwao ikiwa kama wana historia za maradhi au kama waliwahi kufanyiwa upasuaji. Lakini daktari wako anaweza kukufanyia vipimo ili kuona afya na uwezo wa mbegu za mwenzi wako kama zina uwezo wa kurutubisha yai.

Age and fertility: Getting pregnant in your 20s | BabyCenter

 

 

 

  1. Mwanamke Unapaswa Uwe Na Mirija Ya Uzazi Iliyo Wazi Na Mfuko Wa Uzazi Ukiwa Katika Hali Ya Kawaida.

 

 

 

Yai  na mbegu za mwanaume hukutana pamoja kwenye mirija ya uzazi, na kiinitete(embryo) kinahitaji mfuko wa kizazi wenye afya imara ambapo kinaweza kukua.

The number of Y sperm, why will lose at the starting line?

NUKUU: Ili ujauzito uweze kutokea, yafaa kila hatua za mfumo wa uzazi wa mwanamke ziweze kufanya kazi kwa usahihi. Hatua hizi hizo ni kama ifuatavyo:

 

  • Vifuko vyote viwili vya mayai sharti viwe na uwezo wa kukomaza yai na kuliachia

 

  • Yai liweze kunyakuliwa na mrija wa uzazi

 

  • Mbegu za mwanaume ziweze kuogelea mpaka kwenye mlango wa kizazi, kupitia mfuko wa kizazi na kuingia kwenye mrija wa uzazi ili kulifikia yai kwa ajili ya kulirutubisha.

 

  • Yai lililorutubishwa sharti lisafiri kupitia mirija ya uzazi mpaka kwenye mji wa mimba.

 

  • Yai lilorutubishwa shatri lijipachike na kukua ndani ya mji wa mimba.

 

NUKUU: Kwa upande wa wanawake, matatizo mengi yanaweza kuharibu kazi ya mfumo wa uzazi. Ugumba kwa mwanamke husababishwa na mambo yafuatayo hapo chini:

 

  • Vivimbe kwenye vifuko vya mayai

 

  • Tezi ya pituitary kushindwa kuzarisha vichochezi

 

  • Yai kushindwa kukomaa

 

  • Kuwepo kwa homoni nyingi ya prolactin

 

Je, Kuharibika Kwa Mirija Ya Uzazi Kunakuwaje?

 

 

Mirija iliyoharibika au kuziba huzizuia mbegu za mwanaume zisiweze kulifikia yai au kuziba njia kabisa ya yai lililorutubishwa lisiweze kuingia kwenye mfuko wa uzazi. Visababishi vya mrija wa uzazi kuziba au kuharibika vinaweza kuwa ni:

 

  • Maambukizi katika via vya uzazi au PID kutokana na maambukizi ya magonjwa ya pangusa(Chlamydia), Kisonono au maambukizi mengine ya zinaa.

 

  • Kufanyiwa upasuaji kutokana na mimba kutunga nje ya kizazi

 

JE, TIBA ZAKE ZINAKUWAJE?

 

James and Ferdinand Herbal Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya ugumba kwa  mwanamke, nazo ni, REDEEMER, CARD HERB, MOTHER MEDICINE na VITAMAKA.

 

Je, unahitaji huduma? Kwa mawasiliano tupigie: 0752 389 252 au 0712 181 626

 

Arusha-Mbauda

 

Karibuni sana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *