Katika wanawake 10 walio katika umri wa kuzaa, wanapopimwa, basi 1 anaweza kuonekana na tatizo la mvurugiko wa homoni. Mvurugiko wa homoni ni hali ambayo husababisha vivimbe maji vidogo vidogo kwenye vifuko vya mayai. Japokuwa vivimbe maji vyenyewe havina madhara sana, lakini mvurugiko wa homoni unaweza kusababisha ugumba kabisa na…
Je, Ni Kweli Ugonjwa Wa PID Unaweza Kusababisha Mlango Au Shingo Ya Kizazi Kuvimba?
Kuvimba kwa shingo ya kizazi kitaalamu tunaita, “cervicitis”, ambao ni sehemu ya chini, tena nyembamba inayokuwa mwishoni kabisa ndani ya maeneo ya uke wako. Dalili utakazoziona za kuvimba kwa shingo ya kizazi ni Pamoja na kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja, maumivu makali wakati unapofanya tendo la ndoa…
JE, NINI HUSABABISHA TEZI DUME KUVIMBA? NINI MADHARA YAKE?
Tezi dume ni tezi ndogo ambayo husaidia kutengeneza manii, nayo ipo chini kibofu cha mkojo. Mara nyingi tezi hii hupanuka na kubwa kadiri unavyozidi kuwa mzee. Tezi dume iliyovimba inaweza kusababisha dalili ambazo zinaweza kukusumbua, kama vile kuziba kwa njia ya mkojo kwenye kibofu cha mkojo. Inaweza pia kusababisha matatizo…
Haya Ndio Mambo 5 Yanayosababisha Mirija Ya Uzazi Kuvimba.
Mrija ya uzazi inaweza kupatwa na magonjwa mbalimbali na hivyo kupelekea kuvimba au kuziba. Leo nitapenda kuzungumzia juu ya kuvimba kwa mrija au mirija ya uzazi. Kuvimba kwa mrija wa uzazi kitaalamu tunaita “salpingitis”. Karibia matatizo yote katika mfumo wa uzazi husababishwa na maambukizi ya bakteria, hususani magonjwa ya zinaa…
Fahamu Mambo Haya Yanayomfanya Mwanamke Kutokwa Na Damu Ukeni Baada Ya Kumaliza Kushiriki Tendo La Ndoa.
Umeshamaliza kufanya tendo la ndoa na mpenzi wako, unapomaliza, ukitazama chini utaona damu kwenye shuka. Huna hedhi na wala hutakiwi kutokwa na damu muda wowote, je nini kinachokufanya kutokwa na damu muda huo? Wakati mwingine hali ya kutokwa na damu ukeni baada ya kujamiiana inaweza kuwa ya kutisha, lakini pia…
ZIJUE FAIDA ZA UNGA BORA WA NUTRI-REDEEMER
NUTRI-REDEEMER ni unga bora wa pekee uliotengenezwa kutokana na mchanganyiko wa vyakula vya nafaka vyenye virutubisho vingi vizuri tena vyenye afya bora mno. Moja ya mchanganyiko wa nafaka hizo ni ngano. Unga huu unatumiwa kama maziwa tena una faida nyingi za afya kama vile kudhibiti uzito wa mwili, kuboresha uyeyushaji…
ZIJUE AINA 4 ZA VIKOHOZI, DALILI ZAKE NA TIBA YAKE
Kikohozi ni njia ya mwili wako ya kuondolea kelo zinazokuwa kwenye koo, njia ya hewa Pamoja na kwenye mapafu na kinaweza kugawanywa katika aina kuu nne: Kikohozi laini Kikohozi kikavu Kikohozi kisichokoma Kikohozi kinachosababisha kuvimba kwa koo la hewa. Kikohozi kinaweza kukukinga na makohozi, moshi, vumbi na chavua. Lakini kikohozi…
Je, Ni Ukubwa Gani Wa Uvimbe Wa Fibroid Unaweza Kuwa Hatari Kwako?
Kwenye tumbo la uzazi lenye vivimbe vya fibroid kuna kuna vinyamanyama, ukuaji wake unaweza kusababisha afya kuwa mbaya baadaye. Makala hii leo napenda kuelezea vizuri juu ya vivimbe vya fibroid kwenye tumbo la uzazi. Vivimbe vya fibroid huwa sio saratani. Unaweza Kwenda kupima na kadi yako ukaandikiwa kuwa una uvimbe…
FAHAMU KINACHOSABABISHA KISONONO, DALILI ZAKE, NA KUPELEKEA KUWA NA PID. JE, NINI MADHARA YAKE NA TIBA ZAKE.
Kisonono ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria wanaoitwa Neisseria gonorrhoeae. Bakteria hawa husambazwa wakati unaposhiriki tendo la ndoa kwa njia ya uke, njia ya haja kubwa au mdomo. Mwanamke mjamzito pia humuambukiza mtoto wake wakati anapojifungua. Mtu yeyote mwenye ugonjwa wa kisonono anaweza kumuambukiza mtu hata kama hajaonyesha dalili. Tiba ni…
Zijue Sababu Zinazofanya Mzunguko Wa Hedhi Kubadirika
Kwa kawaida, mizunguko ya hedhi hukaa kwa siku nne hadi saba. Kwa mfano matatizo ya mzunguko wa hedhi ni Pamoja na mizunguko ambayo hutokea chini ya siku 21 au Zaidi ya siku 35, ukakosa hedhi siku tatu au Zaidi, na mtiririko wa damu ya hedhi ambayo ni nyingi na ya…