ZIJUE SABABU NYINGI ZINAZOPELEKEA WANAWAKE WENGI KUTOKUSHIKA UJAUZITO?

Mwanamke kutokushika mimba kumegawanyika katika makundi makuu mawili. Kwanza ni hali inayoitwa “Primary infertility” ambapo mwanamke hana historia ya kupata ujauzito. Pili, kuna hali inayoitwa Sekondari infertility, hapa mwanamke anayo historia kama aliwahi kupata ujauzito haijalishi kama alizaa au alitoa ama iliharibika. NUKUU: Matatizo ya kutoshika mimba kitaalamu tunaita ‘infertility’…

FAHAMU VYANZO VYA UGONJWA WA KIFUA KIKUU(TB), DALILI ZAKE, MADHARA YAKE NA TIBA YAKE.

Kifua kikuu(TB) ni ugonjwa unaweza kuwa mbaya kabisa ambao huathiri sana mapafu. Bakteria wanaosababisha ugonjwa wa kifua kikuu(TB) husambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia matone madogo ya mate yanayotolewa baada ya kupiga chafya au kukohoa. Mara chache katika nchi zilizoendelea, maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu yalianza…

ZIJUE SABABU 7 ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUCHELEWE KUPATA HEDHI NA KUMFANYA ASHINDWE KUPATA UJAUZITO.

Wakati mwingine kipindi cha hedhi kinapochelewa, humfanya mwanamke kushindwa kupata ujauzito. Zipo sababu nyingi zinazopelekea kipindi cha hedhi kuchelewa, ikiwa pamoja na kutokuwa na uwiano sawa wa vichocheo(hormonal imbalance) au mabadiriko katika taratibu zako za mazoezi. Vipindi vya hedhi vya  kucheleweshwa vinaweza kuwa na shida na wakati mwingine  hupelekea wanawake…

ZIJUE TOFAUTI KATI YA VIVIMBE KWENYE MFUKO WA UZAZI(FIBROIDS) NA VIVIMBE KWENYE VIFUKO VYA MAYAI(OVARIAN CYSTS).

Vivimbe vyote katika ya fibroid na ovarian cysts huwa ni kawaida kwa wanawake, hasa kabla ya kukoma hedhi. Vivimbe kwenye mfuko wa uzazi huwa ni aina uvimbe mgumu ambao hujengeka kwenye msuli wa ukuta wa tumbo la uzazi(uterus). Kinyume chake, vivimbe maji kwenye vifuko vya mayai(ovarian cysts) huwa ni vifuko…

MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA: JE, KIZAZI HUATHIRIKAJE NA NINI HUSABABISHA?

Tendo la ndoa halipaswi kuwa na maumivu. Hata hivyo, karibia wanawake watatu kati ya wanawake wanne katika maisha yao wanaweza kupatwa na maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Maumivu wakati wa tendo la ndoa(dyspareunia) yanaweza kuingiliana na kupata ujauzito. Kwa mwanamke mmoja, maumivu wakati wa tendo la ndoa yanaweza…

JE, NINI KINACHOSABABISHA MANII KUKOSA MBEGU?

Wanaume wasiokuwa na mbegu kwenye manii wana ugonjwa unaoitwa, “azoospermia”. Ni hali inayotokea kwa asilimia 1% kwa wanaume wote na asilimia 15% kwa wanaume tasa au wagumba. Hakuna dalili halisi yoyote unayoweza kuiona, lakini huenda umekuwa ukijaribu kumpatia ujauzito mwenza wako lakini usifanikiwe, hivyo huu ugonjwa inaweza kuwa ndio chanzo.…

ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA MWANAMKE KUTOKWA NA UCHAFU UKENI WENYE RANGI

Ni kawaida kushangaa huenda rangi au muonekano wa uchafu unaotoka ukeni ni wa kawaida au unahitaji kuchunguzwa. Uchafu unaotoka ukeni unaweza kuwa ni rangi nyingi, na ishara mbalimbali za afya ya mwili wako. Je, Uchafu Unaotoka Ukeni Ni Nini? Uchafu unaotoka ukeni ni majimaji yaliyotengenezwa kutokana na tezi ndogo ndani…

JE, JINSI GANI UGONJWA WA  PID UNAVYOWEZA KUATHIRI KIZAZI CHA MWANAMKE?

PID inaweza kumfanya mwanamke kupata ujauzito kwa shida sana, na mwanamke 1 kati ya wanawake 10, anaweza kuwa mgumba kabisa kutokana na maambukizi hayo. Bakteria ambao huenea hata kufika kwenye mirija ya uzazi wanaweza kupelekea kuwapo  uvimbe ambao husababisha makovu  kujengeka. Na makovu hayo yanaweza kuunda vizuizi kwenye mirija ya…