Damu nyingi wakati wa hedhi kwa kawaida hufafanuliwa kama kipindi cha hedhi ambacho hukaa kwa muda zaidi ya siku 8 na huhitaji kubadiri pedi mara kwa mara. Wakati hakuna sababu moja kuwa uvimbe wa fibroid kuwa husababisha hedhi ya muda mrefu, kuna nadharia chache: Uvimbe unaweza kukandamiza kizazi na kusababisha…
ZIJUE SABABU 8 ZINAZOFANYA KIPINDI CHA HEDHI KUCHELEWA
Je, Ni Kiasi Gani Hali Ya Kuchelewa Kwa Hedhi Inaweza Kuwa Jambo La Kawaida? Wasiwasi juu ya kuchelewa kwa hedhi, lakini unafahamu kwamba wewe sio mjamzito? Kukosa hedhi au hedhi kuchelewa ni hali ambayo hutokea kutokana na sababu nyingi mbali na ujauzito. Sababu za kawaida zinaweza kuanzia na kutokuwa na…
JE, UGONJWA WA PANGUSA UNAWEZA KUSABABISHA MIMBA KUHARIBIKA?
Pangusa ni miongoni mwa magonjwa ya zinaa ambayo ni ya kawaida kabisa, ambayo huwapata wanawake wengi kila mwaka. Kama ukipimwa ukakutwa na maambukizi ya ugonjwa wa pangusa huku ukiwa mjamzito, basi utakuwa na maswali mengi mno ya kujiuliza. NUKUU: Hapa kuna kile tumekiandaa ili uweze kuelewa juu ya madhara ya…
PID INAWEZA KUSABABISHA MIMBA KUHARIBIKA AU KUWA MGUMBA KABISA
Maambukizi ya PID ni maambukizi yanayosababishwa na magonjwa ya zinaa yasiyotibiwa au maambukizi mengine. Takwimu inaonyesha karibia watu zaidi ya milioni 1 hupatwa na maambukizi ya PID kila mwaka. Katika wanawake 8 mmoja anaweza kukutwa na maambukizi ya PID likionyesha matatizo ya uzazi. Mbali na madhara, lakini bado ugonjwa huu…
ZIJUE SABABU, DALILI, NA MADHARA YA KUVIMBA KWA UKE
Kuvimba kwa uke kunaweza kuashiriwa na kutokwa na uchafu, au kuwa na muwasho na maumivu ukeni. Kwa kawaida Chanzo huwa ni badiriko kwenye uwiano wa bakteria ukeni au maambukizi. Viwango vya homoni ya estrogen vinapopungua baada ya kukoma hedhi pamoja na maradhi mengine ya ngozi pia yanaweza kusababisha uke kuvimba.…
Je, Nini Faida Na Madhara Ya Kufunga Kizazi?
Kufunga kizazi, ni uzazi wa mpango wa kudumu. Wakati wa kufunga kizazi, mirija ya uzazi hukatwa, au kufungwa au kuzibwa kabisa ili kuzuia ujauzito daima. Kufungwa kwa mirija ya uzazi huzuia yai lisiweze kusafiri kutoka kwenye vifuko vya mayai (ovaries), na huzuia mbegu za mwanaume zisisafiri na kufika mpaka kwenye…
ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA KUVIMBA KWA TONSES(MAFINDOFINDO) NA TISHU LAINI PUANI (ADENOIDS).
Je, Tonses Na TishuLlaini(Adenoids) Ni Nini? Tonses(mafindofindo) na Adenoids(tishu laini) ni moja kati ya mtandao wa viungo muhimu mwilini vinavyo husika na kinga dhidi ya maambukizi ya virusi, bakteria ambao hujitokeza ili kuingia puani au mdomoni, lakini tishu hizi za limfu ndizo huzuia bakteria au virusi wasiweze kuingia ndani zaidi.…
FAHAMU MATATIZO YA NYAMA ZA PUA NA UGONJWA WA PUMU
Watu wengi wenye ugonjwa wa pumu pia wana matatizo sugu ya muda mrefu ya pua na njia ya hewa. Matatizo haya yanaweza kuwa ni: Kuvimba kwa tishu puani(rhinitis) Kuvimba kwa tishu kwenye njia ya hewa ndani ya mifupa usoni mwako(sinusitis) Kuvimba kwa njia ya hewa pamoja na tishu za puani.…
ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA MLANGO WA KIZAZI KULEGEA(INCOMPETENT CERVIX). JE, NINI MADHARA YAKE?
Mlango wa kizazi kulegea, pia huitwa mlango wa kizazi kutokuwa na uwezo, ni hali ambayo hutokea pale tishu dhaifu za mlango wa kizazi zinaposababisha au kuchangia kujifungua mtoto kabla ya muda wake au kuharibika kwa mimba. Kabla ya ujauzito, mlango wako wa kizazi, yaani sehemu cha chini ya mji wa…
JE, UNAJUA CHANZO CHA KIKOHOZI KIKAVU? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE?
Kikohozi kikavu ni kikohozi ambacho hudumu kwa muda wa wiki nane au kwa muda mrefu mara kinapompata mtu mwenye umri mkubwa, au wiki nne kwa watoto wadogo. NUKUU: Kikohozi kikavu ni hali ambayo inapompata mtu humfanya kukereka mno. Hali ya kikohozi kikavu inaweza kumfanya muhusika akakosa usingizi kabisa na akajisikia…