Bawasiri ni mishipa ya damu kwenye njia ya haja kubwa ambayo ni sehemu ya kawaida ya mwili wako. Zinaweza kuwa za ndani yaani mishipa ya damu inayokuwa kwenye tishu yenye unyevunyevu ndani ya ukuta laini wa njia ya haja kubwa. Bawasiri zinaweza pia kuwa za nje, yaani mishipa ya damu…
YAJUE MADHARA YA UGONJWA WA KASWENDE
Bakteria mwenye umbo la kujikunja kunja ambaye kitaalam anaitwa Treponema pallidum anaweza kuvamia kila pembe ya mwili wako. Kila maradhi ya kaswende, dalili zake, ishara zake pamoja na madhara yake ya muda mrefu, kuwa huwa ni ya pekee sana. Kaswende inaweza kuharibu kila aina ya tishu na kila kiungo ndani…
ZIJUE SABABU ZINAZOFANYA MTOTO KUFIA TUMBONI(MTOTO ASIYE RIZIKI).
Mtoto asiye ridhiki ni pale mtoto anapofia tumboni kabla mjamzito hajafikisha muda wa kujifungua. Sababu huwa ni nyingi zisizoelezeka katika 1/3 ya matatizo haya. Wakati mwingine hali hii inaweza kusababishwa na matatizo ya kondo au kitovu, shinikizo la juu la damu, maambukizi, au kasoro za kujifungua, au maisha duni aliyokuwa…
JE, UVUMBE WA FIBROID UNAWEZA KUSABABISHA KUTOKUSHIKA UJAUZITO?
Uvimbe wa fibroid unaweza kutokea ndani au ya kizazi au kwenye mlango wa kizazi. Hivi sasa tatizo la uvimbe limekuwa la kawaida sana asilimia 80% kwa wanawake walio katika umri wa kuzaa. NUKUU: Tuliwahi kujifunza tukaona kuwa kuna aina tatu za vivimbe vya fibroid vinavyomtia changamoto mwanamke katika maisha yake,…
ZIJUE SABABU ZINAZOMFANYA MWANAUME KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME. JE, NINI MADHARA YAKE?
Upungufu wa nguvu za kiume ni kutokuwa na uwezo wa kudindisha au kusimamisha uume kwa ajili ya kufanya tendo la ndoa. Uume unapokuwa unadindisha vizuri halafu siku zingine unaishiwa nguvu, hilo linaweza lisiwe tatizo sana. Lakini kama upungufu wa nguvu za kiume utakuwa tatizo endelevu, hata hivyo unaweza kusababisha msongo…
FAHAMU KABISA KWAMBA VIVIMBE KWENYE VIFUKO VYA MAYAI VINAWEZA KUSABABISHA UGUMBA KWA MWANAMKE.
Baadhi ya vivimbe kwenye vifuko vya mayai(ovarian cysts) vinaweza kuambatana na kupungua kwa uwezo wa kupata ujauzito.Hata hivyo, hutegemeana na aina ya uvimbe ulionao kwenye kifuko cha yai. Vivimbe Vya Mayai Kwenye Kifuko Cha Yai Vinavyoweza Kuathiri Uwezo Wa Kupata Ujauzito Ni Pamoja Na: Endometriomas Hivi ni vivimbe vinavyosababishwa…
YAJUE MADHARA YA MAAMBUKIZI YA PID YANAPOKAA MUDA MREFU BILA KUTIBIWA.
Maambukizi katika via vya uzazi(PID) wakati mwingine yanaweza kusababisha matatizo ya muda mrefu, hasa ikiwa kama ugonjwa huo haujatibiwa haraka kwa madawa ya kuua bakteria hao. NUKUU: Lakini wanawake wengi wenye maambukizi katika via vya uzazi au PID wanaokamilisha dozi zao za ugonjwa wa PID huwa hawana matatizo ya muda…
VIJUE VYANZO, DALILI NA MADHARA YA MSHIPA WA NYONGA(SCIATIC NERVE).
Ugonjwa wa mshipa wa nyonga huwa ni maumivu ambayo hupenya na kuingia kwenye mshipa wa nyonga, ambao hugawanyika kutoka kiunoni na kushuka kwenye mapaja na matako kuelekea chini kwenye mguu. Kwa kawaida ugonjwa wa nyonga huathiri sehemu moja tu ya mwili wako. Ugonjwa wa nyonga mara nyingi hutokea pale pingili…
YAJUE MADHARA YA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI
Mirija ya uzazi ni mirija inayokuwa kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke inayokuwa sehemu zote mbili za tumbo la uzazi. Hali yoyote ya kuziba kwenye mirija inaweza kuzuia yai kurutubishwa na mbegu za mwanaume. NUKUU: Hali ya mirija ya uzazi kuziba husababisha ugumba kwa asilimia 25% hadi 30%. Hii huambatanisha…
ZIJUE SABABU KWANINI MLANGO WAKO WA UZAZI UNAWEZA KUJIFUNGA HATA KAMA HUNA UJAUZITO?
Je, Nini Maana Ya Mlango Wa Uzazi? Mlango wa uzazi ni njia inayokuwa katikati ya uke na mfuko wa uzazi. Ni sehemu ya chini ya mfuko wako wa uzazi iliyopo juu ya uke wako na huwa ina muonekano wa umbo kama donati. Uwazi unaokuwa katikati ya mlango wa kizazi tunaita…