Kutokwa damu kwa muda mrefu kitaalamu tunaita, “Menorrhagia” yaani kutokwa na damu nyingi ya hedhi kwa muda mrefu au kutokwa na damu mfululizo bila kukoma. Ingawa kutokwa na damu nyingi ya hedhi ni jambo la kawaida, lakini wanawake wengi msikubali kutokwa na damu nyingi mpaka kufikia hali ya kuishiwa na…
JE, YAWEZA KUWA MIGUU KUWAKA MOTO NI DALILI ZA UGONJWA?
Hali ya miguu kuwaka moto huwa ni hisia zinazojitokeza miguuni mwako pale inapouma kwa kati tu au zaidi. Wakati mwingine maumivu ya miguu kuwaka moto yanaweza kuwa makali sana kiasi kwamba yakakunyima raha na kukukosesha usingizi usiku. Kwa hali hiyo basi, maumivu ya miguu kuwaka moto yanaweza pia kuambatana na…
JE, MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI(PID) YANAWEZA KUSABABISHA KUTOKUWA NA UWIANO SAWA WA HOMONI(HORMONAL IMBALANCE) KWA MWANAMKE?
Mpendwa unayesoma makala hii, bila shaka tuliwahi kujifunza tukaona kwamba ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi au PID, huwa ni maambukizi yanayokuwa kwenye viungo vya uzazi vya mfumo wa uzazi vya wanawake. Viungo hivi ni pamoja na tumbo la uzazi(uterus), vifuko vya mayai(ovaries), mirija ya uzazi(fallopian tubes), pamoja na…
JE, MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO(U.T.I) YANAWEZA KUSABABISHA MWANAMKE KUTOKUPATA UJAUZITO?
Maambukizi katika njia ya mkojo ambayo kitaalam tunaita UTI ni tatizo linalokuwa miongoni mwa wanawake ambalo husababisha na ukuaji usiohitajika wa bakteria aina ya E.Coli wanaokuwa kwenye mkojo. Wakati bakteria hawa wanapoondoka mpaka kufika kwenye njia ya mkojo, basi inaweza kutokea maambukizi mabaya ambayo hutambulikana kwa dalili kama vile homa,…
JE, NINI HUFANYA UUME USHINDWE KUSIMAMA?
Uume kulegea au kushindwa kusimama ni kutokuweza kudindisha na kuufanya uume kuwa mgumu kabisa wakati wa tendo la ndoa. Kuwa na tatizo mara kwa mara la kutokudindisha sio lazima iwe sababu ya kuwa na wasiwasi katika maisha yako. Ki wako ama tatizo la kutokudindisha ni hali endelevu, bila shaka lingeweza…
JE, MAUMIVU YA NYONGA HUASHIRIA NINI? JE, NINI VISABABISHI VYAKE?
Maumivu ya nyonga yanaweza kutokea kwa mwanaume na mwanamke pia na yanaweza kutokana na maambukizi, hali isiyo ya kawaida katika viungo vya ndani, au maumivu kutoka kwenye mifupa ya nyonga. Kwa wanawake, maumivu ya nyonga yanaweza kusishwa na mfumo wa uzazi. Matibabu yake yanategemeana na kisababishi chake. NUKUU: Maumivu ya…
JE, JINSI GANI MIRIJA YA UZAZI ILIYOZIBA INAVYOATHIRI UWEZO WA MWANAMKE KUPATA UJAUZITO?.
Unaweza kusikia watu wakizungumzia mirija iliyoziba pale wanapoelezea matatizo yao ya kutokupata ujauzito. Kama sehemu ya mwisho ya mrija wa uzazi ikiziba au kama mrija wa uzazi ukijaa majimaji kwa ndani, basi kitaalamu tunaita, “hydrosalpinx,” hali ambayo mara nyingi hupimwa kwa kufanyiwa uchunguzi mwanamke kama ana uwezo wa kupata ujauzito.…
JE, NI KAWAIDA MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO(YAANI UTI) KUSABABISHA KUKOJOA MKOJO WENYE DAMU?
Maambukizi ya UTI ni ya kawaida kabisa. Yanaweza yakatokea mahali popote ndani ya njia ya mkojo ambayo ni pamoja na figo, mirija ya mkojo, kibofu cha mkojo. Maambukizi mengi katika njia ya mkojo husababishwa na bakteria na huathiri kibofu cha mkojo pamoja na mrija wa mkojo. Pale njia ya mkojo…
JE, UNAYAJUA MADHARA YA UGONJWA WA PID IKIWA KAMA HAUTAZINGATIA MATIBABU YAKE?
Ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi(PID) ni maambukizi ya mirija ya mayai(fallopian tubes), vifuko vya mayai(ovaries), mfuko wa kizazi(uterus) pamoja na shingo ya kizazi(cervix). Ugonjwa huu usipotibiwa unaweza kusababisha makovu ama tishu kuoteana ikiwa na mkusanyiko wa ute mchafu kama vile usaha kwenye mirija ya mayai, na hivyo kuharibu…
VIJUE VISABABISHI VYA KUTOKWA NA DAMU NYINGI YA HEDHI MFULULIZO KWA MUDA MREFU, PIA YAJUE MADHARA YAKE.
Kutokwa damu kwa muda mrefu kitaalamu tunaita, “Menorrhagia” yaani kutokwa na damu nyingi ya hedhi kwa muda mrefu au kutokwa na damu mfululizo bila kukoma. Ingawa kutokwa na damu nyingi ya hedhi ni jambo la kawaida, lakini wanawake wengi msikubali kutokwa na damu nyingi mpaka kufikia hali ya kuishiwa na…