Mambo 6 Yanayosababisha Yai La Mwanamke Kushindwa Kukomaa.

Na ieleweke kuwa, mwanamke inafaa sana ukawa makini kujali mzunguko wako wa hedhi ikiwa kama unahitaji au unatafuta kubeba ujauzito. Zaidi ya yote ni hivi, ili uweze kuwa mjamzito, jambo la kwanza inapaswa mayai yako yawe yanapevuka kila mwezi. NUKUU: Ni vyema kabisa kutambua kuwa, hedhi huwa ni dalili au…

Mambo 10 Yanayoweza Kusababisha Kipanda Uso

Ndugu msomaji, ieleweke kuwa hali ya kipanda uso yaweza kuwa upande mmoja au zote mbili za kichwa, nayo huwa kwa masaa 4-72, na mara nyingi huwa mbaya sana lakini baadaye hupoa. Hali ya kipanda uso yaweza kuambatana na kichefuchefu, harufu mbaya, kero ya sauti au mwanga hali ambazo humfanya muhusika…

Je, Unaruhusiwa Kuendelea Kushiriki Tendo La Ndoa Baada Ya Kupata Ujauzito?

Hakuna sababu ya kukufanya uache kufanya tendo la ndoa kwakuwa umeshapata ujauzito, isipokuwa tu kama utakuwa umepewa maelekezo na daktari wako. Mtoto wako anakuwa amelindwa vizuri majiamji ya amniotic ndani ya mfuko wako wa uzazi ambayo humzunguka mtoto. Hivyo tendo la ndoa au kufika kileleni mwanaume au mwanamke hakutaleta madhara…

Mambo 7 Yanayomfanya Mwanamke Kutokwa Na Damu Nyingi Mfululizo Wakati Wa Hedhi.

Hali ya mwanamke kutokwa na damu nyingi kwa muda mrefu wakati wa hedhi, kitaalamu huitwa “Menorrhagia”.  Ingawa hali ya kutokwa na damu nyingi huonekana kama jambo la kawaida kwa baadhi ya wanawake, lakini wengi wao huwa hawapatwi na hali ya kuishiwa damu. NUKUU: Lakini inaonekana kuwa, mwanamke unapopatwa na tatizo…

Sema Kwaheri Maumivu Ya Neva Ya Sciatic Kwa Siku Chache Tu Kupitia Pakeji Yetu Ya Dawa Za Asili!

Sciatica inahusiana na maumivu ambayo hupenya kwenye njia ya neva ya Sciatic, ambayo hutokeza kiunoni mwako na kushuka chini kwenye nyonga na kwenye makalio (matako) mpaka chini mguuni. Sciatica mara nyingi hutokea pale pingili za mgongo zinaposagika au wakati pingili zinapogandamiza sehemu ya mishipa ya neva. Hali hii husababisha kuvimba,…

Madhara 6 Yanayoweza Kujitokeza Baada Ya Kupatwa Na Ugonjwa Wa Maumivu Kwenye Viungo Vya Mifupa (Arthitis).

Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya maungio hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100. Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu…

Fahamu Mambo 6 Yanayosababisha Miguu Na Mikono Kufa Ganzi.

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au kwa…

VIFO KUTOKANA NA SHAMBULIO LA MOYO VINAZIDI KUONGEZEKA

Shambulio La Moyo Shambulio la moyo hutokea wakati moyo unaposhindwa kusukuma damu na oksijeni ya kutosha ili kusaidia viungo vingine katika mwili wako. Shambulio la  moyo ni hali mbaya, lakini haimaanishi kwamba moyo umeacha kududunda. Kwa mujibu wa takwimu za sasa zinaonyesha kuwa karibia watu milioni 64.7 wanaugua ugonjwa wa shambulio la…