Maambukizi ya UTI, kusema kweli hakuna mtu anayeweza kuwaza kwamba tatizo hili haliwezi kumpata. Maambukizi haya yanaweza kusababisha dalili za masumbufu kiasi kwamba zinaweza kuvuruga utaratibu wa siku moja baada ya nyingine. Lakini kuna wakati ambapo maambukizi ya UTI yanapokuwa yanakupatia changamoto hasa pale unapokuwa ukijaribu kupata mimba. Kutibu maambukizi…
Njia Yenye Nguvu Ya Kurekebisha Figo Zako Kwa Kutumia Dawa Za Asili.
Unahitaji kuzitunza na kuzilinda figo zako, kwa kuwa ni miongoni mwa viungo muhimu zaidi katika mwili, na ili kuzuia maumivu makali yanayotokana na magonjwa ya figo, kama vile mawe kwenye figo na kushindwa kufanya kazi kwa figo. Katika tatizo la ugonjwa wa figo, figo hupunguza ufanisi wake au huacha kabisa kufanya…
Mambo 8 Yatakayokufanya Usikie Raha Zaidi Wakati Unaposhiriki Tendo La Ndoa.
Mara nyingi tendo la ndoa huwa linahitaji maandalizi ya muda mrefu. Lakini kuna baadhi ya wana ndoa huwa wanafikiri maandalizi ya tendo la ndoa huwa chumbani peke yake pindi wanapokuwa kitandani, la hasha, suala la maandalizi ya tendo la ndoa huanza mapema na huanzia kwenye mawasiliano mazuri kati ya mume…
Haya Ndio Makundi Ya Vyakula Vilivyokaangwa Vinavyosababisha Wanaume Wengi Kupungukiwa Nguvu Za Kiume.
Moja ya njia sahihi za asili katika kutatua tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni kuanza kurekebisha mtindo wa ulaji na unywaji hata kama unatumia tiba au bidhaa kutoka James Herbal Clinic. Kufanya hivi ni kujiepusha na milo inayosababisha kupungukiwa nguvu za kiume ikiwa pamoja na uchafu wa mazingira, kemikali…
Mambo 6 Yanayosababisha Yai La Mwanamke Kushindwa Kukomaa.
Na ieleweke kuwa, mwanamke inafaa sana ukawa makini kujali mzunguko wako wa hedhi ikiwa kama unahitaji au unatafuta kubeba ujauzito. Zaidi ya yote ni hivi, ili uweze kuwa mjamzito, jambo la kwanza inapaswa mayai yako yawe yanapevuka kila mwezi. NUKUU: Ni vyema kabisa kutambua kuwa, hedhi huwa ni dalili au…
Mambo 10 Yanayoweza Kusababisha Kipanda Uso
Ndugu msomaji, ieleweke kuwa hali ya kipanda uso yaweza kuwa upande mmoja au zote mbili za kichwa, nayo huwa kwa masaa 4-72, na mara nyingi huwa mbaya sana lakini baadaye hupoa. Hali ya kipanda uso yaweza kuambatana na kichefuchefu, harufu mbaya, kero ya sauti au mwanga hali ambazo humfanya muhusika…
Je, Unaruhusiwa Kuendelea Kushiriki Tendo La Ndoa Baada Ya Kupata Ujauzito?
Hakuna sababu ya kukufanya uache kufanya tendo la ndoa kwakuwa umeshapata ujauzito, isipokuwa tu kama utakuwa umepewa maelekezo na daktari wako. Mtoto wako anakuwa amelindwa vizuri majiamji ya amniotic ndani ya mfuko wako wa uzazi ambayo humzunguka mtoto. Hivyo tendo la ndoa au kufika kileleni mwanaume au mwanamke hakutaleta madhara…
Mambo 7 Yanayomfanya Mwanamke Kutokwa Na Damu Nyingi Mfululizo Wakati Wa Hedhi.
Hali ya mwanamke kutokwa na damu nyingi kwa muda mrefu wakati wa hedhi, kitaalamu huitwa “Menorrhagia”. Ingawa hali ya kutokwa na damu nyingi huonekana kama jambo la kawaida kwa baadhi ya wanawake, lakini wengi wao huwa hawapatwi na hali ya kuishiwa damu. NUKUU: Lakini inaonekana kuwa, mwanamke unapopatwa na tatizo…
Sema Kwaheri Maumivu Ya Neva Ya Sciatic Kwa Siku Chache Tu Kupitia Pakeji Yetu Ya Dawa Za Asili!
Sciatica inahusiana na maumivu ambayo hupenya kwenye njia ya neva ya Sciatic, ambayo hutokeza kiunoni mwako na kushuka chini kwenye nyonga na kwenye makalio (matako) mpaka chini mguuni. Sciatica mara nyingi hutokea pale pingili za mgongo zinaposagika au wakati pingili zinapogandamiza sehemu ya mishipa ya neva. Hali hii husababisha kuvimba,…
Madhara 6 Yanayoweza Kujitokeza Baada Ya Kupatwa Na Ugonjwa Wa Maumivu Kwenye Viungo Vya Mifupa (Arthitis).
Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya maungio hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100. Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu…