JE, UNAJUA NI NINI KINASABABISHA MWANAMKE KUTOKWA NA UTELEZI WENYE DAMUDAMU BAADA YA HEDHI?

  Unapoona hali ya kutokwa na utelezi wenye damudamu baada ya kipindi cha hedhi, basi tambua kuwa ni uchafu uliobakia ambao haukuondolewa wakati ulipokuwa hedhini.   Je, Hali Hii Inapojitokeza Inaweza Kukutia Wasiwasi?   La hasha! Hali hii isikufanye kuwa na mashaka sana kwani huwa inakoma ndani ya siku chache…

JE, UNAJUA VYANZO NA DALILI ZA KUTOKWA DAMU KWENYE FIZI(GINGVITIS)?

  Fizi kutoa damu ni jambo la kawaida na inaonekana kama ugonjwa husababisha masumbufu, kwakuwa fizi hubadirika na kuwa nyekundu sana, pia kuvimba. Yafaa kuwa makini mara uonapo dalili hizi na kuanza kuzitibu mapema tena kwa haraka bila kuchelewa. Hali ya fizi kutoa damu inaweza kusababisha magonjwa mengine mabaya na…

JE, UNAJUA CHANZO CHA KUTOKWA NA DAMU YENYE UTELEZI KAMA MAKAMASI UKENI(BLOODY MUCUS)?

  Je, unatokwa na damu  yenye makamasikamasi au utelezi kabla ya hedhi yako na wakati mwingine ukawa na mashaka kuwa huenda kuwa ni ujauzito?     Damu yenye utelezi inapotoka kidogo maana yake ni uchafu unaotoka ukeni ukiwa na mchanganyiko na damu kutokana na hali ya ujauzito, upevushaji mayai au…

JE, UNAFAHAMU MZUNGUKO WA MAGONJWA UNAVYOKUANDAMA PASIPOKUJUA?

  Kwa kawaida unaweza ukabaini tu kuwa hakuna ugonjwa wala maradhi yanayoweza kuendelea usiku kucha. Magonjwa na mardhi mengi husababishwa na uvunjaji wa kanuni za afya, tabia au mienendo mibaya ya ulaji na unywaji, uvutaji sigara au bangi, au kuufanyisha mwili kazi kwa muda mrefu bila kuupumzisha. Ugonjwa huanza mwilini…

JE, UGONJWA WA UTI UNAWEZA KUSABABISHWA KWA NJIA YA TENDO LA NDOA? JE, NINI MADHARA YAKE?

  Neno UTI ni la kiingereza ambalo kirefu chake ni Urinary Tract Infection, yaani maambukizi katika njia au mfumo wa mkojo. Maambukizi katika njia au mfumo wa mkojo(UTI), huwa ni maambukizi katika sehemu yoyote ya mfumo wako wa mkojo yaani kuanzia figo (kidneys); mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo(urethers),…

JE, WAJUA CHANZO CHA HOMA YA MATUMBO(TYPHOID) DALILI, NA TIBA YAKE?

  Mpendwa msomaji, naomba utege sikio nikueleze kwa kifupi tu uweze kujua habari ya homa ya matumbo.   Homa ya matumbo(Typhoid) kwa kawaida husababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhi. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kwa kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mtu aliyambukizwa. Bakteria hawa hutoboa na…

JE, UNAJUA SABABU ZA KUTOKWA NA MAJIMAJI MACHAFU KATIKA VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE? JE, NINI MADHARA YAKE?.

  Mpendwa  msomaji na ikumbukwe kwamba, kutokwa na majimaji au ute katika via vya uzazi vya mwanamke ni jambo la kawaida wakati ambao mwanamke bado ana umri wa kuzaa, ikiwa ni sehemu ya mwili katika kuondoa sumu au kemikali. Ute huu kwa kawaida hauna rangi hadi ukikauka juu ya nguo ya…

JE, UNAJUA CHANZO, DALILI, NA MADHARA YA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI?

  Tatizo la kuziba kwa mirija ya mayai ya uzazi au mirija ya kupitishia mayai ya mwanamke ni mojawapo ya sababu kubwa za ugumba kwa mwanamke ambapo mwanamke anakosa uwezo wa kuzaa. Mirija inapoziba yai linashindwa kukutana na mbegu ya mwanaume na kutungisha mimba. Matatizo ya ugumba kwa mwanamke yana…