Hali ya kujaa maji kwa mirija ya uzazi ya wanawake huitwa kitaalamu huitwa, “hydrosalpinx”. Ni tatizo ambalo hujitokeza kwa wanawake kutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa ambayo yamekaa muda mrefu bila kutibiwa, kama vile kisonono, pangusa, malengelenge, nk, ambayo kwa ujumla tunaweza kuita maambukizi katika via vya uzazi yaani…
JE, UNAJUA NINI KINACHOSABABISHA SEHEMU YA UKE KUWA NA UVIMBE? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE?
Na ieleweke kwamba, tezi za Bartholin huwa ziko kila upande katika sehemu ya uwazi wa uke. Tezi hizi huwa zina kazi ya kutengeneza uteute ambao husaidia kulainisha uke. Wakati mwingine sehemu za uwazi zinazokuwa kwenye tezi hizi huziba, na kusababisha uteute au majimaji kukusanyikana kwenye tezi. Matokeo yake utaona…
JE, UNAJUA NINI KINACHOSABABISHA SEHEMU YA UKE KUWA NA UVIMBE? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE?
JE, UNAJUA NINI KINACHOSABABISHA SEHEMU YA UKE KUWA NA UVIMBE? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE? Na ieleweke kwamba, tezi za Bartholin huwa ziko kila upande katika sehemu ya uwazi wa uke. Tezi hizi huwa zina kazi ya kutengeneza uteute ambao husaidia kulainisha uke. Wakati mwingine sehemu za uwazi…
JE, WAJUA CHANZO CHA MIKONO NA MIGUU KUFA GANZI(NUMBNESS)?
Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya…
JE, DADA AU MAMA, UNAZIFAHAMU DALILI ZA AWALI ZA UJAUZITO?
Je, Ujauzito Ni Nini? Ujauzito ni kipindi ambacho wakati huo kiumbe kimoja au zaidi kinaanza kuumbika tumboni mwa mwanamke. Ujauzito unaweza kujitokeza kwa kujamiiana au njia nyingine ya kitaalamu kama vile kupandikiza. Hali ya kujifungua kwa kawaida hutokea baada ya wiki 40. Je, unahisi kuwa una…
JE, UNAJUA VYANZO NA DALILI ZA UGONJWA WA GOUT? JE, NINI MADHARA YAKE?
Ugonjwa wa gouti ni aina ya uvimbe unaofanana kama ugonjwa wa baridi yabisi, ambao mara nyingi huwapata watu wanaopenda kula vyakula vya nyama mara kwa mara hasa ya mbuzi, swala au nyama choma, au vyakula vyenye vikolezo vingi, na vinywaji kama vile pombe. Na mara nyingi watu wenye tatizo…
JE, UNAKIJUA CHANZO NA DALILI ZA KUVIMBA KWA MLANGO WA KIZAZI? JE, NINI MADHARA YAKE?
Na ieleweke kuwa mlango wa kizazi ni sehemu ya chini ya mfuko wa kizazi(uterus). Na huu ndio mlango ambapo damu ya hedhi hupitia kutoka kwenye mfuko wa kizazi(uterus). Wakati wa kujifungua mtoto, mlango wa kizazi hutanuka ili kuruhusu mtoto apite. Lakini kama ilivyo tishu yoyote ndani ya mwili, hivyo,…
JE, UNAJUA KWANINI MIRIJA YA MAYAI HUZIBA? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE?
Mirija ya mayai ni mirija miwili myembamba inayokuwa katika tumbo la uzazi, mmoja upande wa kulia mwingine kushoto, ambayo hulisaidia yai lililopevuka liweze kusafiri kutoka katika mfuko wa yai mpaka kwenye kifuko cha uzazi. Kitu chochote kinapojitokeza na kuzuia yai lisiweze kusafiri mpaka kufika kwenye kifuko cha uzazi(uterus), humfanya…
JE, UNAZIFAHAMU DALILI ZA UGONJWA WA PANGUSA KWA WANAUME?
Ugonjwa wa pangusa(Chlamydia) kwa kawaida huwa ni maambukizi ya zinaa unaosababishwa na bakteria wadogo sana, ambao kitaalamu huitwa Chlamydia trachomatis. Ni ugonjwa ambao pia umepewa jina la utani, “Maambukizi Ya Kimya kimya” kwakuwa unaweza ukaonyesha dalili kwa mbali au usionyeshe kabisa. Karibia asilimia 25%-50% ya wanaume wanaopatwa na maambukizi…
JE, WAJUA KWANINI MWANAMKE KUTOKWA NA DAMU YA HEDHI YENYE MABONGE?
Mwanamke huingi kweye hedhi kwa wastani wa muda wa siku 3-7. Kwa kipindi hiki hutoa damu kwa wastani wa milimita 30-80 kwa siku, damu ikiwa nyekundu bila mabonge yoyote. Kiasi hiki cha damu ni sawa na kutumia pedi 2 mpaka 3 kwa siku bila kulowa damu chepechepe. Kuna…