Ikiwa kama kila ukifanya tendo la ndoa halafu mwanamke ukatokwa na manii dakika chache mara baada ya kumaliza tendo la ndoa hata kama haujainuka kusimama, tambua kuwa hiyo ni dalili mojawapo ya kwamba mbegu za mumeo au mwenzi wako sio bora. Ndugu msomaji naomba usome makala hii kwa makini kabisa…
JE, UNAYAJUA MAMBO 6 YANAYOCHANGIA KUWEPO KWA BACTERIAL VAGINALSIS?
Je, umewahi kufikiria namna gani mwili wako unapokuwa wenye afya, unashindwa hata kutambua sehemu zako za uke? Lakini hali inapokuwa mbaya, sidhani kama huwa ni vigumu mwanamke au binti kutojali jambo hili. Bacterial Vaginosis huwa ni maambukizi ya kawaida ukeni ambayo hupotea kwa nadra sana pasipo kugundulika. Bakteria hawa wakati…
JE, VIPIMO VYA UZAZI KUPITIA DAMU VYAWEZA KUBAINI MATATIZO YA UZAZI YA MWANAMKE? JE, NINI CHA KUFANYA BAADA YA KUPATA MAJIBU? TEGA SIKIO!!
Kipimo cha damu ya uzazi hutumika kupima kiwango chako cha homoni na mara nyingi huwa ni kipimo cha kwanza kabisa ambacho daktari wako atakuelezea kama unashindwa kupata ujauzito na kuhisi kuwa huenda una tatizo la ugumba. Matokeo ya kipimo cha uzazi kwanza hutumiwa ili kupima visababishi vya homoni katika…
FAIDA 7 ZA FRESH HERB NA NEOTONIC KATIKA UGONJWA WA PUMU(ASTHMA)
Pumu ni hali inayohusiana na njia za hewa pamoja na mapafu. Katika ugonjwa huu njia za hewa au mrija wa juu wa hewa husinyaa na kumfanya muhusika kushindwa kupumua. Hii pia inaitwa pumu ya koromeo(bronchial asthma). Pumu hujionyesha kwa dalili zifuatazo: Kukoroa au kutoa sauti ya milio…
JE, NINI KINACHOFANYA YAI LA MWANAMKE KUSHINDWA KUANGULIWA AU KUPEVUSHWA? JE, NINI DALILI ZAKE KWA MWANAMKE?
Na ieleweke kuwa, mwanamke inafaa sana ukawa makini kujali mzunguko wako wa hedhi ikiwa kama unahitaji au unatafuta kubeba ujauzito. Zaidi ya yote ni hivi, ili uweze kuwa mjamzito, jambo la kwanza inapaswa mayai yako yawe yanapevuka kila mwezi. NUKUU: Ni vyema kabisa kutambua kuwa, hedhi huwa ni dalili au…
JE, UNAFAHAMU CHANZO NA DALILI ZA MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKJO(UTI)? JE, NINI MADHARA YAKE?
Neno UTI ni la kiingereza ambalo kirefu chake ni Urinary Tract Infection, yaani maambukizi katika njia au mfumo wa mkojo. Maambukizi katika njia au mfumo wa mkojo(UTI), huwa ni maambukizi katika sehemu yoyote ya mfumo wako wa mkojo yaani kuanzia figo (kidneys); mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo(urethers), kibofu…
JE, YAWEZEKANA TABIA YA KUTOA MIMBA IKAMFANYA MWANAMKE KUPATWA NA LAANA MBAYA KATIKA MAISHA YAKE?
Siku hizi utoaji mimba unaelekea kuwa utamaduni wa wanawake wengi duniani, vilevile na hata katika nchi yetu hapa Tanzania. Jambo la kutoa mimba limekuwa la kawaida sana na inaelekea jamii imeanza kulizoea na kuliona kuwa ni tukio la kawaida. Ni kama vile halina madhara makubwa. Leo tunaanza kujadili mada inayohusu…
JE, UNAFAHAMU NINI KINASABABISHA TATIZO LA MAWE KWENYE KIBOFU CHA NYONGO(GALLSTONES)? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE?
Kwa kawaida kibofu cha nyongo huwa kiko maeneo ya chini ya ini. Kiungo hiki chenye umbo kama peasi huwa kina kazi ya kuhifadhi nyongo ambayo tayari imeshatengenezwa na ini, nayo hutumika kwa ajili ya kuyeyusha mafuta. Ini pamoja kibofu cha nyongo hushikamanishwa pamoja na utumbo mwembamba kupitia mrija wa nyongo.…
JE, UNAJUA CHANZO NA DALILI ZA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI? JE, NINI MADHARA YAKE IKIWA KAMA HAITAZIBULIWA?
Mirija ya uzazi ambayo pia kitaalamu hujulikana kama “Uterine tubes”huwa ni mirija miwili inayokuwa pande mbili za mfuko wa kizazi(uterus) ambayo hubeba yai lililokomaa kutoka kwenye kifuko cha yai(ovary) na kulisafirisha kwenda kwenye mfuko wa kizazi(uterus). Mirija ya uzazi pia hubeba mbegu za mwanaume zinazokuwa zikiogelea kwenye shingo ya kizazi…
JE, UNAJUA CHANZO NA DALILI ZA MIMBA KUTUNGA NJE YA KIZAZI (ECTOPIC PREGNANCY)?
Katika wajawazito 100, mmoja anaweza kuwa na tatizo la kupata mimba nje ya kizazi. Hali hii humaanisha kwamba, yai lililorutubishwa tayari limeshachomekwa katika tishu nje ya mfuko wa kizazi(uterus) badala ya ukuta wa mfuko wa kizazi(uterus). Yai hili huendelea kukua ndani ya kiini tete(embryo) ambapo limeshapachikwa. Mara nyingi mimba zinazotunga…