JE, UNAJUA SABABU, DALILI NA MADHARA YA MIRIJA YA UZAZI KUJAA MAJI?

  Je, Mirija Ya Uzazi Kujaa Maji Ni NINI?   Hali ya kujaa maji kwa mirija ya uzazi ya wanawake huitwa hydrosalpinx kwa kitaalamu. Ni tatizo ambalo hujitokeza kwa wanawake kutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa yasiyotibiwa (pelvic inflammatory disease). Mara nyingi husababisha tatizo la ugumba na maumivu ya…

JE, UNAFAHAMU KUWA FRESH HERB, NEO-POWDER NA NEOTONIC HUSAIDIA KUONDOA TATIZO LA MAWE YA FIGO?

Je, Mawe Ya Figo Ni Nini? Kwa asili haya huwa sio mawe, bali huwa vibongevibonge  vidogovidogo vigumu vinavyojengeka ndani ya kibofu nyongo ambacho ni kiungo kidogo tu kinachokuwa chini ya ini. Unaweza usitambue kuwa una mawe ya figo mpaka pale yatakapoziba kineli cha  nyongo(bile duct), na kusababisha maumivu ambayo utahitaji…

JE, UNAJUA VYANZO VYA KUTOKWA NA MAJIMAJI MACHAFU KATIKA VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE?.

    Ndugu msomaji, ikumbukwe kwamba, kutokwa na majimaji au ute katika via vya uzazi vya mwanamke ni jambo la kawaida wakati ambao mwanamke bado ana umri wa kuzaa, ikiwa ni sehemu ya mwili katika kuondoa sumu au kemikali. Ute huu kwa kawaida hauna rangi hadi ukikauka juu ya nguo ya…

JE, UNAJUA VYANZO, DALILI NA MADHARA YA UVIMBE SEHEMU YA VIFUKO VYA MAYAI(OVARIAN CYSTS)?

  Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary), hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke. Uvimbe huu ambao hupatikana ndani ya mayai ya mwanamke ndio unaojulikana kama ovarian cyst. Uvimbe huu hutokea kwa wanawake wa umri wowote ule na mara nyingi huonekana kwa wanawake…

JE, WAJUA VISABABISHI, DALILI NA MADHARA YA MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI(PID)?

  Ndugu msomaji nimeamua kulitoa somo hili kwa upana zaidi na kwa kulichanganua ili kila mmoja apate kuelewa kuwa PID ni nini, ina dalili gani, na madhara gani! Kwanza neno PID ni neno la kiingereza ambalo kirefu chake ni “Pelvic Inflammatory Disease”, ambalo kwa Kiswahili maana yake ni maambukizi ya…

JE, UNAJUA CHANZO NA DALILI ZA MIMBA KUTUNGA NJE YA KIZAZI (ECTOPIC PREGNANCY)?

Katika wajawazito 100, mmoja anaweza kuwa na tatizo la kupata mimba nje ya kizazi. Hali hii humaanisha kwamba, yai lililorutubishwa tayari limeshachomekwa  katika tishu nje ya mfuko wa kizazi(uterus) badala ya ukuta wa mfuko wa kizazi(uterus). Yai hili huendelea kukua ndani ya kiini tete(embryo) ambapo limeshapachikwa. Mara nyingi mimba zinazotunga…

JE, KWANINI DAMU IGANDE NA ITOKE KWA MABONGE WAKATI WA HEDHI?

  Kuganda kwa damu wakati wa hedhi huonekana kama jambo la kawaida kwakuwa ni hali tu iliyo katika sehemu ya mzunguko wa hedhi. Wanawake wengi, kwa mtazamo mwingine wakati wa mizunguko yao ya hedhi hushindwa kupitisha mabonge ya damu. Baadhi ya mabonge yanaweza kuwa makubwa yenye tishu nyeupe yakiambatana kwa…

JE, UNAZIJUA FAIDA ZA PHYTOGUARD?

  Phytoguard ni dawa ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea ya asili zaidi ya 12. Mimea hii inavirutubisho vya vitamini na madini aina mbalimbali. James Herbal Clinic imeandaa aina hii ya tiba kwa ajili ya magonjwa ambayo si ya maambukizi hasa mapungufu ya lishe mwilini.  Phytoguard inatibu magonjwa yafuatayo: ·      …

JE, WAZIJUA FAIDA ZA VITAMAKA?

    Vitamaka ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa vyakula na mimea ya asili aina 8. Ina uwezo mkubwa wa kuondoa magonjwa sugu na kuzuia magonjwa.   Faida zake ni kama ifuatavyo:   Mzunguko Wa Hedhi: Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri…