Katika wajawazito 100, mmoja anaweza kuwa na tatizo la kupata mimba nje ya kizazi. Hali hii humaanisha kwamba, yai lililorutubishwa tayari limeshachomekwa katika tishu nje ya mfuko wa kizazi(uterus) badala ya ukuta wa mfuko wa kizazi(uterus). Yai hili huendelea kukua ndani ya kiini tete(embryo) ambapo limeshapachikwa. Mara nyingi mimba…
JE, UNAZIFAHAMU DALILI 9 ZA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI AMBAZO WANAWAKE WENGI HUSHINDWA KUZITAMBUA?
NUKUU: Kupima na kutambua tatizo lako la uvimbe kwenye mayai ni jambo la muhimu sana kwa ajili ya tiba, lakini wakati mwingine huwa ni rahisi sana kushindwa kuzigundua dalili hizi. Sasa hebu tuangalie jinsi zinavyokuwa: Hivi leo tunaona idadi kubwa ya wanawake wamekuwa wakiathiriwa sana na ugonjwa wa…
JE, WAJUA CHANZO CHA MIGUU AU MIKONO KUWAKA MOTO, KUUMA, AU KUFAGANZI?
Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au…
JE, WAJUA CHANZO CHA MIGUU AU MIKONO KUWAKA MOTO, KUUMA, AU KUFAGANZI? Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana…
JE, UNAJUA KWANINI MBEGU ZA MWANAUME WAKATI MWINGINE ZINAWEZA KUWA DHAIFU? JE, NINI DALILI NA VISABABISHI VYAKE?
Ikiwa kama kila ukifanya tendo la ndoa halafu mwanaume unatokwa na mbegu dakika chache mara baada ya kumaliza tendo la ndoa hata kama hajainuka kusimama, tambua kuwa hiyo ni dalili mojawapo mbegu za kiume sio bora. Ndugu msomaji naomba usome makala hii kwa makini kabisa mpaka uimalize halafu utambue suluhisho…
JE, UNAWEZAJE KUJIEPUSHA NA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA KATIKA VIA VYA UZAZI(PELVIC INFLAMMATORY DISEASES) AU PID?
Inaonyesha kuwa yaweza ikawa ni vigumu sana kwa baadhi ya watu kuweza kujilinda ili kujiepusha na maambukizi ya magonjwa katika via vya uzazi au PID(Pelvic Inflammatory Diseases). Wakati mwingine bakteria wanaokuwa kwenye uke wanaweza kusafiri kupanda juu kwenye viungo vyako vya uzazi na kusababisha tatizo la PID. Lakini unao uwezo…
JE, KISONONO KWA MWANAMKE WAKATI WA UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI? JE, NINI DALILI ZAKE?
Je, unatambua kuwa unaweza ukapatwa na maambukizi na kisha yakampata mtoto wako aliyeko tumboni ambayo yanaweza kusababisha madhara makubwa katika ukuaji wake? Moja ya maambukizi hayo ni kisonono. Kisonono ni ugonjwa wa zinaa unatokana na bakteria ambao huzaliana na kuenea kwa kasi sana. Ikiwa kama ugonjwa wa kisonono utagundulika mapema…
JE, MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA PANGUSA(CHLAMYDIA) KWA WANAUME YANAKUWAJE? JE, NINI DALILI ZAKE?
Ugonjwa wa pangusa(Chlamydia) kwa kawaida huwa ni maambukizi ya zinaa yanayosababishwa na bakteria wadogo sana, ambao kitaalamu huitwa “Chlamydia trachomatis”. Ni ugonjwa ambao pia umepewa jina la utani, “Maambukizi Ya Kimya kimya” kwakuwa unaweza ukaonyesha dalili kwa mbali au usionyeshe kabisa. Karibia asilimia 25%-50% ya wanaume wanaopatwa na maambukizi ya…
JE, MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI AU PID YANAWEZA KUSABABISHA MWANAMKE ASIPATE UJAUZITO?
Maambukizi ya magonjwa katika via vya uzazi(PID) ni madhara yanayokuwa kwenye viungo vya uzazi. Hali hii mara nyingi hujitokeza pale bakteria wa magonjwa ya zinaa wanapoenea kutoka ukeni mwako mpaka kwenye mfuko wa kizazi, mirija ya uzazi pamoja na vifuko vya mayai(ovaries). Maambukizi ya magonjwa katika via vya uzazi mara…
JE, UNAJUA VYANZO NA DALILI ZA KUTOKWA DAMU KWENYE FIZI ZA MENO(GINGVITIS)?
Fizi kutoa damu ni jambo la kawaida na inaonekana kama ugonjwa husababisha masumbufu, kwakuwa fizi hubadirika na kuwa nyekundu sana, pia kuvimba. Yafaa kuwa makini mara uonapo dalili hizi na kuanza kuzitibu mapema tena kwa haraka bila kuchelewa. Hali ya fizi kutoa damu inaweza kusababisha magonjwa mengine mabaya na kufanya…