Ndugu mpendwa leo napenda tuangalie Kwa ufupi tu sababu na dalili za vidonda vya tumbo pamoja na Tiba zake. VISABABISHI 1. Msongo wa mawazo 2. Matumizi ya vyakula visivyo vya asili yake hasa vilivyokobolewa Kama vile unga wa sembe, ngano iliyokobolewa, maandazi, chapati, chips, nk. 3. Matumizi ya vivywaji vya…
JE, WAJUA AINA ZA UVIMBE(FIBROIDS AU MYOMA), DALILI ZAKE NA VISABABISHI VYAKE?
Leo napenda nikufunulie Kwa kina lakini kwa ufupi tu. Tukiangalia tatizo la uvimbe Kwa kina mama sasa linazidi kuongezeka kwa kasi sana. Mabinti wengi na hata wanandoa wanazidi kupatwa na janga hili. Baadhi ya kina mama wamekuwa wakiondolewa kizazi kwa ajili ya tatizo hili. Sasa hebu tuangalia ili tufahamu Kwa…
JE, WAJUA VYANZO, DALILI NA MADHARA YA UGONJWA WA U.T.I?
U. T. I ni neno la kiingereza linalotamkwa kwa kifupi lakini kirefu chake ni, “Urinary Tract Infection” likimaanisha, “Maambukizi katika njia ya Mkojo. ” Ugonjwa huu humpata mtu yeyote bila kujali jinsia au umri. VISABABISHI VYAKE Ugonjwa wa UTI unaweza kusababishwa na vijidudu vya namna nyingi. Bakteria aina ya Escherichia…
JE, WAJUA SABABU ZA KUVURUGIKA KWA MZUNGUKO WA HEDHI?
KUVURUGIKA KWA MZUNGUKO WA HEDHI Mzunguko wa hedhi umegawanyika katika maeneno makuu mawili; Upevushaji mayai(Ovulatory Circle) Kutopevusha mayai(Anovulatory Circle) Mzunguko wa mwanamke unaopevusha mayai unatoa ute wa uzazi unaovutika kama ute mweupe wa yai la kuku, na anaweza kupata ujauzito. Mzunguko Wa Mwanamke Usiopevusha Mayai Mwanamke hawezi kupata ujauzito ingawa…
JE, WAJUA VYANZO VYA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA, NA TUMBO LA CHINI KWA WANAWAKE?
JE, WAJUA VYANZO VYA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA, CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE? Haya huwa ni Maumivu yanayompata mtusehemu ya chini ya tumbo na nyonga. Kwa wanawake maumivu haya yanaweza kuwa dalili ya matatizo(maradhi) kwenye mfumo wa uzazi, mfumo wa haja ndogo, mfumo wa chakula au mifupa ya nyonga. Maumivu…
JE, WAJUA VYANZO VYA TATIZO LA TEZI DUME NA MADAHARA YAKE?
JE WAJUA CHANZO CHA TATIZO LA KUATHIRIKA KWA TEZI TUME, DALILI ZAKE NA TIBA ZAKE? Hii huwa ni ile hali ya tezi dume kuathirika kutokana na vyanzo mbalimbali kwa mfano; bakteria, nk. Kuathirika kwa tezi dume kunaweza kusababisha hata utendaji kazi wake kupungua, na inapatikana chini ya kibofu cha mkojo…