Madhara 6 Yanayoweza Kujitokeza Baada Ya Kupatwa Na Ugonjwa Wa Maumivu Kwenye Viungo Vya Mifupa (Arthitis).

Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya maungio hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100. Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu…

Madhara 6 Yanayoweza Kujitokeza Baada Ya Kupatwa Na Ugonjwa Wa Maumivu Kwenye Viungo Vya Mifupa (Arthitis).

Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya maungio hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100. Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu…

Fahamu Mambo 6 Yanayosababisha Miguu Na Mikono Kufa Ganzi.

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au kwa…

VIFO KUTOKANA NA SHAMBULIO LA MOYO VINAZIDI KUONGEZEKA

Shambulio La Moyo Shambulio la moyo hutokea wakati moyo unaposhindwa kusukuma damu na oksijeni ya kutosha ili kusaidia viungo vingine katika mwili wako. Shambulio la  moyo ni hali mbaya, lakini haimaanishi kwamba moyo umeacha kududunda. Kwa mujibu wa takwimu za sasa zinaonyesha kuwa karibia watu milioni 64.7 wanaugua ugonjwa wa shambulio la…

Epuka Kabisa Ulaji Wa Vyakula Hivi, Ili Ujilinde Na Magonjwa!

Ni kweli kwamba watu wengi tunapenda kununua vyakula kutoka “supermaket” kutokana na ubora wa bidhaa zake na wakati mwingine hata unafuu wa bei. Lakini ni vyema kujua pia kuwa siyo vyakula vyote vilivyomo humo ni vizuri kiafya. Katika makala ya leo, nakuletea orodha ya baadhi ya vyakula maarufu vinavyopatikana kwenye…

Mambo 12 Yanayosababisha Shinikizo La Juu La Damu (High Blood Pressure)

Na ieleweke kuwa, moyo ni msuli ambao husukuma damu na kuifanya isafiri mwili mzima. Damu inayokuwa na kiwango kidogo cha oksijeni husukumwa kuelekea kwenye mapafu, ambapo hewa ya oksijeni hujazwa tena. Hivyo basi, hewa ya oksijeni inapoingia kwenye damu husukumwa tena na  moyo na kusafirishwa kila mahali mwilini mwako. Ile…

Vyakula Vinavyotuua Kimyakimya Bila Kujua Katika Mazingira Tunayoishi.

Tukumbuke kwamba uzima wa mtu unategemea sana kinga aliyonayo mwilini, kinga ambayo hujengwa na ulaji wa vyakula vyenye virutubisho vya aina mbalimbali. Kwa namna ambavyo Mungu ametuumba, mwili unapaswa kujilinda wenyewe dhidi ya maradhi ya kila aina, iwe ni uvimbe tumboni, magonjwa ya moyo, kisukari, homa, magonjwa ya maambukizi, nk.…

Je, Uvimbe Kwenye Tumbo La Uzazi (Fibrodi), Unaweza Kusababisha Mwili Kuwa Mnene Sana?

Wanawake wengi wanahitaji kufahamu, je vivimbe vya fibroid husababisha uzito wa mwili kuongezeka? Ndiyo, vivimbe vya fibroid vinaweza kusababisha kuwa mnene sana na uzito wa mwili kuongezeka moja kwa moja na kwa njia isiyo ya moja kwa moja. Visababishi Vya Vivimbe Vya Fibroid, Je Vinaweza Kuufanya Mwili  Kupata Uzito Wa…

Fahamu Dalili 5 Za Kuvimba Kwa Mishipa Ya Korodani (Varicocele)

Je, Nini Maana Ya Varicocele? Varicocele ni kutuna kwa mishipa ya ndani ya pumbu inayobeba korodani (scrotum). Mishipa hii husafirisha damu iliyopungukiwa na oksijeni kutoka kwenye korodani. Varicocele hutokea wakati damu inapoingia kwenye mishipa badala ya kuzunguka kwa ufanisi nje ya korodani. Kwa kawaida varicoceles huanza wakati wa kubalehe na huendelea kukua. Kutuna…

Faida 9 Za Dawa Ya REDEEMER Katika Magonjwa Ya Mfumo Wa Uzazi

Redeemer ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa asali mbichi pamoja na mimea mbalimbali ya asili. Dawa hii husaidia kuondoa matatizo sugu na ya kawaida pia. Husaidia watu wa jinsia zote. Kwa kawaida dawa ya REDEEMER hutibu magonjwa mengi sana, lakini leo nitakuonyesha baadhi tu kama haya yafuatayo: Huondoa Na…