Karibia asilimia 92% ya tikiti maji mara nyingi huwa ni maji—lakini pamoja na kutoa maji na kuhuisha, pia lina virutubishi vingi vya afya. Mwili wako unaweza kupata viondoa sumu (antioxidants) vya kutosha, lycopene, amino asidi, potasiamu, na vitamini A, B6, na C kwa ajili ya kufufua au kboresha mwili wako. Zaidi ya…
Mambo 10 Yanayoharibu Vibaya Figo Zako
Figo zetu zinafanya kazi kubwa sana kwa ajili ya afya yetu. Huchuja damu yetu, hutengeneza homoni, kunyonya madini, hutoa mkojo, huondoa sumu, na kupunguza asidi. Kwa hiyo, kama moja ya viungo muhimu zaidi katika mwili wako, figo zako zinastahili kutunzwa sana na kuzipenda ipasavyo. Uharibifu au kupungua kwa uwezo wa figo zako…
Fahamu Dalili Na Madhara Ya Uvimbe Wa Utando Wa Ukuta Wa Ndani Wa Mfuko Wa Uzazi (Endometritis)
Endometritis ni kuvimba au kuharibika kwa utando au ukuta wa ndani wa tumbo la uzazi (uterus).Endometritis husababishwa na maambukizi kwenye mfuko wa uzazi. Inaweza kuwa kutokana na pangusa (chlamydia), kisonono (gonorrhea), au mchanganyiko wa bakteria wa kawaida ukeni. Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea baada ya kuharibika kwa mimba au unapojifungua. Pia ni kawaida…
Epuka Tangawizi Ikiwa Kama Una Mambo Haya 4.
Tangawizi inaadhimishwa kwa faida zake za kiafya na bidhaa za tiba. Inajulikana kwa kusaidia usagaji chakula, kuongeza uzalishaji wa enzyme, na kuondoa sumu mwilini, tangawizi ni dawa ya kawaida ya asili. Walakini, licha ya faida zake nyingi, kuna hali ambapo mzizi huu wenye nguvu hauwezi kufaa kwa matumizi ya afya yako. 1. Watu…
Fahamu Dalili 9 Za Vivimbe Maji Kwenye Figo
Ugonjwa wa vivimbe maji kwenye figo huwa ni kundi la vifuko vilivyojaa majimaji (cysts) ndani au karibu na figo zako. Vivimbe hivi vinaweza kuzuia figo zako kushindwa kuchuja taka, uchafu au maji mengi kutoka kwenye damu yako. Ugonjwa wa vivimbe kwenye figo unaweza kusababisha figo zako kushindwa kufanya kazi kabisa. Je, Ugonjwa Wa Vivimbe Kwenye Figo Unakuwa…
Fahamu Tofauti Kati Ya Uchafu Wa Kawaida Na Usio Wa Kawaida Unaotoka Ukeni
Baadhi ya uchafu utokao ukeni huwa ni ishara ya kuonyesha afya ya uke wako. Je, unafahamu tofauti iliyopo kati ya uchafu wa kawaida na usio wa kawaida utokao ukeni? Kutokwa na uchafu ukeni ni sehemu ya asili ya kuwa mwanamke, lakini wakati mwingine mabadiriko ndani yake yanaweza kuonyesha tatizo fulani.…
Unataka Kupata Mimba, Basi Tambua Kusoma Kalenda Ya Mzunguko Wako Wa Hedhi.
Wanawake wengi wamekuwa wakiniuliza maswali mengi sana kuhusiana na jinsi ya mwanamke kupata mimba au kuzuia kutopata mimba. Naamini maelezo yafuatayo ukisoma kwa makini unaweza kupata ufahamu na kujibiwa maswali yako yote ambayo yamekuwa yanakutatiza. NUKUU: Pia ni vizuri kuzingatia na kutochanganya Kalenda ya mzunguko wa hedhi tunayoongelea hapa na ile…
Mambo 9 Yanayomfanya Mwanaume Kushindwa Kufika Kileleni.
Hali ya kuwahi kufika kileleni hujitokeza pale mwanaume anapowahi kutoa shahawa mapema zaidi kabla mwenzi wake hajawa tayari wakati wanapofanya tendo la ndoa. Hili pia limekuwa ni chanzo cha matatizo katika ndoa. Tukiangalia tunaona katika wanaume 3, mmoja anaweza kuwa na tatizo hili. Kadiri tatizo hili linavyozidi kuonekana mara kwa…
Fahamu Mambo 4 Yanayosababisha Mishipa Ya Damu Kuziba
Mishipa ya ateri iliyoziba ni mshipa wa damu ambao umezibwa kidogo tu au moja kwa moja kabisa na mlundikano wa damu iliyoganda au mafuta, hali ambayo inaweza kuzuia kabisa mtiririko wa damu kwenye viungo muhimu na tishu. Mishipa ina jukumu la kubeba damu iliyojaa oksijeni kutoka kwenye moyo hadi kwenye…
Fahamu Mambo 5 Yanayosababisha Damu Ya Hedhi Kuwa Na Mabongemabonge
Kuganda kwa damu na kuwa mabonge wakati wa hedhi huonekana kama jambo la kawaida kwakuwa ni hali tu iliyo katika sehemu ya mzunguko wa hedhi. Wanawake wengi, kwa mtazamo mwingine wakati wa mizunguko yao ya hedhi hushindwa kupitisha mabonge ya damu. Baadhi ya mabonge yanaweza kuwa makubwa yenye tishu nyeupe…