Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au kwa…
Fahamu Dalili 9 Za Ugonjwa Wa Gauti (Athritis)
Ugonjwa wa gauti ni aina ya uvimbe unaofanana kama ugonjwa wa baridi yabisi, ambao mara nyingi huwapata watu wanaopenda kula vyakula vya nyama mara kwa mara hasa ya mbuzi, swala au nyama choma, au vyakula vyenye vikolezo vingi, na vinywaji kama vile pombe. Na mara nyingi watu wenye tatizo hili…
Uchafu Mweupe Unaotoka Ukeni; Je, Ni Muda Gani Hubadirika Na Kuwa Sio Wa Kawaida (Mbaya)?
Ndugu mpendwa, je umewahi kutokwa na uchafu mweupe ukeni muda mrefu na ukaweza kuhisi kuwa unaweza kubadirika na kuwa sio wa kawaida? Basi katika makala hii utaweza kujifunza na kuelewa kutokwa na uchafu mweupe ukeni kunamaanisha nini, na je nini kisababishi chake na ni kipindi gani uchafu huu unakuwa sio…
Mbinu Za Asili Za Kupanga Uzazi Wa Mpango
Kufuatia chapisho langu kuhusu Madhara ya Vidonge vya Kuzuia Uzazi, tulipata maoni kadhaa kutoka kwa watu wanaotaka kujua ikiwa kuna mbinu zozote za asili za kupanga uzazi na ndiyo zipo. Katika ulimwengu uliojaa njia mbalimbali za uzazi wa mpango, watu wengi na wanandoa wanatafuta njia salama, za asili na zinazowezesha…
Fahamu Dalili Za Ugonjwa Wa Kisonono Kwa Mwanaume Na Mwanamke
Je, Kisonono Ni Nini? Huu ni ugonjwa mbaya wa maambukizi ya bakteria, nao huambukizwa kwa njia ya kujamiiana kupitia shahawa au majimaji ya kwenye uke ikiwa kama mmoja kati ya wapenzi wawili ana maambukizi na mwenzi wake hajatumia kinga, yaani mume na mke hawajatumia kinga. Je, Dalili Zake Zinakuwaje? Nusu…
Fahamu Madhara 6 Ya Ugonjwa Wa Pangusa (Chlamydia) Kwa Mwanamke.
Pangusa ni ugonjwa wa zinaa wa kawaida kabisa, nayo huwa ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria aina ya pathogen ambao wanaweza kuharibu mlango wa kizazi ama shingo ya kizazi (cervix) ya mwanamke, mrija wa mkojo pamoja na njia ya haja kubwa pande zote mbili, kwa wanawake na wanaume pia. Kwa kawaida sehemu…
Madhara 3 Mabaya Ya Ugonjwa Wa Pangusa (Chlamydia) Kwa Mwanaume.
Ugonjwa wa pangusa (Chlamydia) kwa kawaida huwa ni maambukizi ya zinaa unaosababishwa na bakteria wadogo sana, ambao kitaalamu huitwa Chlamydia trachomatis. Ni ugonjwa ambao pia umepewa jina la utani, “Maambukizi Ya Kimya kimya” kwakuwa unaweza ukaonyesha dalili kwa mbali au usionyeshe kabisa. Karibia asilimia 25%-50% ya wanaume wanaopatwa na maambukizi…
Fahamu Mambo Yanayosababisha Maumivu Ya Mgongo.
Maumivu ya mgongo ni moja ya vyanzo vinavyowafanya watu wengi kwenda kwa daktari au kushindwa kufanya kazi na kupelekea kuwa mlemavu. Watu wengi wana matatizo ya maumivu ya mgongo. Kwa bahati nzuri, unaweza kuchukua hatua za kuzuia au kupunguza sehemu nyingi za maumivu ya mgongo. Ikiwa kinga itashindikana, matibabu rahisi…
Jinsi Ya Kuandaa Ugali Mzuri Wenye Virutubisho.
Ugali ni chakula kinacholiwa na jamii za kiafrika. Chakula hiki chenye virutubisho vya wanga hutokana na unga wa nafaka (kama mahindi, mtama, uwele) au muhogo. Unaweza kuandaa ugali wako mzuri utakaokufanya uishi kwa muda mrefu bila kupatwa na magonjwa mara kwa mara kwa kutumia nafaka hizi: Mtama mweupe kilo 2 Uwele kilo 1 Ngano au muhogo kilo 1 Changanya…
Je, Nini Unapaswa Kufahamu Kuhusu Ulaji Wa Udongo?
Geophagia ni neno rasmi la kutamani kula vitu vichafu, ikijumuisha mkaa, majivu au udongo. Kula uchafu kunaweza kupunguza maumivu ya utumbo kwa baadhi ya watu, lakini pia kunaweza kusababisha matatizo ya kiafya kama vile upungufu wa damu na kusababisha sumu. Watu hula kwa makusudi mara kwa mara vitu ambavyo sio chakula.…